Mzee wa Upako Anamvua nguo GWAJIMA Hadharani

Kasema Gwajima anafanya hadaa kwa wafuasi wake, kasema kama kweli anafufua misukule, mbona hafufui watu wanaofahamika?
Hafufui baba na mama zetu, hafufui majirani zetu, anafufua tusio wajua?

Gwajima mzee wa HUMMER3 na wafuasi wake mna lolote la kuoangea?

Post a Comment

49 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hii ni kweli kabisa!! Namuunga mkono Mzee wa Upako!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mzee Wa upako nakuunga mkonoooo

      Delete
    2. Umenena afufue mama zetu,kanisani kunazidi furika,waumini mambulula yanadanganywa yamo tu.

      Delete
  2. gwajima msanii alikuwa akiwavuta ili muende katika kanisa lake yake yamuende,e, na ynyinyi waumini wa kikristo kwa kuhama hamjambo, mkisikia tu kanisa flnani jipya mmeshahamia, eti madai yenu upako upako bongo, upako enzi za mitume bana sasa kuna biashara tu inaendelea na mtadanganywa sana

    ReplyDelete
  3. Wote hawana jipya

    ReplyDelete
  4. Ukimuona Pastor yoyote yule anae endesha migari ya thamani...majumba ya kifahari, wakati waumini wake ni hohe hahe! Kimbia na kaa mbali nae. Hakuna upako wala ubakuwaji, ila utapeli na ubinafsi tu ndio umewajaa hao wanao jiita watumishi wa Mungu. Ndugu zangu jifunzeni kusoma vitabu vya dini ili muwe mnajimbea dua wenyewe..laa sivyo mtatapeliwa nakupakuliwa mpaka mkome!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hapo umenena mdau, just a simple truth.
      Wenye macho na waone,wenye masikio na wasikie
      MDAU USA

      Delete
  5. Mie nawashauri ndugu zangu wakristo wote wabadili Dini waje kwenye dini ya haki ya Uislamu na tathmini ndogo niliyoifanya watu siku hizi wanabadili Sana dini Kuja katika uislamu,hakika kiama hakiko mbali..

    ReplyDelete
    Replies
    1. We nae Bwege tu kama hao wawili. Ushauri kwan hapa Angaza?!!

      Delete
    2. We umeona ushauri hadi Angaza Tu kwani Baba yako akikushauri Ina maana mko Angaza tumia akili ndugu siku zinakwenda Anza kuchunguza utabaini ukweli njoo katika uislamu kwenye dini ya haki

      Delete
    3. eeee kwenda hukooo kwani kwenye uislam hakuna majanga tena nyie ndo msiseme kutwaa kuua wenzenu!! uislam si dini ya haki wala nini ukristo ndiyoo. achana na hawa wengine wanaigiza ukristo mungu ndo atawahukumu.

      Delete
    4. Yaani mtu ajiunge kwenye dini inayoamini kuua asiyeamini ni huduma kwa Allah? Huko wanaingia wenye mtindio wa ubongo!

      Delete
  6. Dini nizile zamwanzo enz za babu zetu,uislamu,usabato,roman,ruthelan,anglicana hizo ufufuo cjui wat wat ubatili mtupu.watuwangu wanaangamia kwakusa maarifa biblia ilishasema hivyo.sasa wacha waendelee kuangamia wanayataka

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yaani Kati ya wote waliotoa Comments zao we ndo akili huna hata kidogo kaka hapo juu

      Delete
  7. USITUBABAISHE NA DINI YAKO ZAMANI KULIKUA NA DINI?

    ReplyDelete
  8. Utajiju hata upagani nayo dini inakufaa.kachambie costic

    ReplyDelete
  9. Hivi gwajima anapata wapi Hela?Ni tajiri kupitiliza Ana Hela ndefuuuuuu magari ya kifahari,maprado kanunulia walinzi wake na flora mapyaaaaa

    ReplyDelete
  10. mzee wa upako na gwajima wote ni 1+1,toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo utaona kwenye jicho la mwenzi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haaaa mdau Nimekupenda uko wapi nikupe ofa ya bia.una akili sana.

      Delete
  11. dini ya kulazimisha wasichana wasisome bali waolewe kweli ni utindio wa ubongo

    ReplyDelete
  12. mzee wa upako ulishawahi kutoa vipande vya sabuni usawa wa kibiriti,eti watu wakiogea wanapona,mbaya zaidi ukataka uwekewe sh.elfu tano kwenye bahasha,watu hawakupona na elfu tano umechukua hiyo nayo unasemaje?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mamaaa mdau Unasema kweli?awekewe elfu tano kwenye bahasha?awa wachungaji woote wezi.

      Delete
  13. Woote hao wezi tu.hakuna binadam mwenye upako.mwenye upako ni MUNGU WA IBRAHIM, ISAKA NA YAKOBO..YY AMBAYE NIKO AMBAYE NIKO ww binadam upako huo ni wawap kama c wakuzimu na kuwafanyia watu viini macho mpate hzo sadaka za watu maskin hasa ww unaejidai kumzodoa mwenzako.ww unamaombi kwa bei tofaut daaa unatoa aibu kumtaja hata mungu ama jina la mwanae.na kama nikweli mungu amekupa karama ua kuomba kunaandko linasema mmepewa bure toen buree.aaahhh nasikia hadi hasira kweli. ILA NAWAAMBIEN NYINYI WOTE MNAOKULA MADHABAHUNI PA BAALI SAA YA MUNGU INAKUJA MTAUMBUKA NYOTE MAANA HZO NGUVU MNAZOTUMIA ZITAKUWA HAKUNA TEEENA

    ReplyDelete
  14. Lusekelo usiwaponde wenzio wakati hata wewe una mapungufu,
    kwenye biblia tunaona waliokuwa wanaongoza makundi walikuwa na majina kama ,mchungaji,mhubiri,nabii,mwalim nk.wewe hiyo mzee wa upako umeitoa wapi kama sio usanii?

    ReplyDelete
  15. Wa upako alienda kwao mwakaleli kumzika mama yake, baada ya mazishi aliingia kwenye gari safari kurudi dar, hhata kurudi nyumbani kunawa mikono na kuwashukuru waombolezaji waliomuandalia mama yake makazi ya milele hakuthubutu

    ReplyDelete
  16. huyu mzee wa upako simpend kw sababu alikataa kumuombea babu yng mpk 2tume sadaka aka2miwa akasema atatuambia lin 2mpeleke mgojwa bt mpk leo tangu 2012 mpka mzee akafariki hatujawah kuitwa mwiziii,anayaona ya mwenzie tu yake hayaon

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pole mpendwa ndo maana wakristo tunahtaj tufundishike hasa kwa mambo ya rohon na kumjua mungu kihalis na utendaji kaz wake wengi wameitwa shamban mwa bwana ila hawajakaa wakaisikiza ile saut iliyowaita kuwa mungu amataka nn kwao wanakimbilia kujipa majina makuubwa,,mara mabii,mitume n.k aaahhh mungu hapend ila anangoja saa yke.hz ishara za waaminio mpndwa ni haki ya kila aaminie. Ttzo wakristo hatuelewi tunakaz ya kudanganywa tu hapa.maombi gan ya kutoleana hadi pesa kwana.karb tanga ndg yngu upate mafundisho uiponye nafsi uende mbingun.hlo tu kwangu mm linanipa sbb ya kunifanya nisonge mbele
      NI HIDUMA YA HEMA LA MAOMBEZI NGOMEN TANGA KARIBUUU

      Delete
  17. Haya sasa!mzee wa upako umepita kwenye mizinga ya nyuki ukiwa umejifukiza manukato?Utashambuliwaje!

    ReplyDelete
  18. Tena mzee wa upako achunge sana kauli zake,hata akiwa madhabahuni hanaga kauli nzuri hata kdogo. Anatambaga eti yy akifa bac mambo yote yatakua yameisha,who is him by the way? Waumin wake keshawateka akili zote,kawanyunyizia unga wa ndele mpaka nawahurumia sana,ila hata neno la Mungu linasema hivi: watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa,plz ndg zangu chambuen mbivu na mbichi. Na mccte kuzijaribu hizo roho. Plz b careful with these new churches zinazokua na miujiza mingi na ya kiini macho. Wanatumia nguvu za giza wote hao,,,,kumwombea mtu ili apone mnadhani ni kupakwa mafuta au kunywa maji au kuvaaa bangili au kuvaa vilemba vyeupe au kuanguka chini?? C rahic kumwombea mtu na kumponya haraka haraka kama mnavofikiria. Acheni kudanganyika ndg zanguni,mcipende vitu vya shortcak co vyema. Mungu wangu wa mbinguni na Bwana wetu Yesu kristo atusaidie .

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli ndg yng tunaangamia kwa kukosa maarifa na hakika kila andiko ktk biblia lazima tutaviona kihalis kwa macho

      Delete
  19. No comment. Ila ni kheli ya Wakristu kuliko wislam.

    ReplyDelete
  20. LUSEKELO KAMA KUNA MAHALI HUWA UNAJIHARIBIA NI KUPONDA WENZIO AU SIFA MIMI NI MUISLAM LAKINI HAMUIGI MFANO WA JOSEPHAT MWINGIRA JIFUNZENI KWAKE.TENA WEWE NA GWAJIMA NDIO MPO KIKAZI KWELI HAKUNA WA KUMSEMA MWENZAKE NAFUU YA GWAJIMA .BADILIKA MZEE KWA NINI HUWEZI KUENDESHA IBADA BILA KUMPONDA MTU?KANISA LAKO LINASHUKA BADALA YA KUONGEZEKA KUNASIKU NILIWAHI KUFIKILIA KUJA KWAKO LAKINI NILISHINDWA KUTOKANA NA UJIKO WAKO
    .ACHA YA WENZIO FANYA YAKO KWANI NI LAZIMA KILA JAMBO LA MWENZIO WEWE NDIO UWE MSEMAJI WAKE ALIKUOMBA

    ReplyDelete
  21. Sijui ni Mungu yupi anayetumikiwa mpaka mtu anapata uwezo wa kuiponda huduma ya mwenzake.. kwanini msionyane kwa upendo maana huyo mnaetuambia mnaponya kwa jina lake yeye hayuko kama nyie!

    ReplyDelete
  22. Angalieni Mikasi Mzee wa upako alihojiwa na Salama, hana dili mfanyabiashara huyo kama Gwajima, yeye na kwajima kama Boko Haramu.

    ReplyDelete
  23. Hahahaaaa. ..Wadau mmemaliza kila kitu teh teh hata mimi huyu anaejiita mzee wa upako fake hua hanibariki kabisa mwizi balaa wala asimseme Gari ma, hawaoni Mwl Mwakasege mbona hana tamaa km wao. Wakristu amkeni sasa muda wa kutishwa kwa kutumia vifungu vya biblia umekwisha, jitambueni

    ReplyDelete
  24. tobaaaaaa huyu mzeee wa upako kweli kapita kwenye kundi la nyuki

    ReplyDelete
  25. wewe unesema bora ya wakiristu kuliko waislam..............cjakuelewa bado............mana huelewi nn unasems\a

    ReplyDelete
  26. Wajikwezao watashushwa hadi shimoni...si mzee wa upako, wala Gwajima wala nabii Malisa na wote wanaofanana na hao wanaihubiri ile kweli...kweli haihubiri utajiri wa mali, kweli haihubiri miujiza ya kinadharia/kutunga, kweli haitangulizi fedha mbele, kweli haitangulizi prado, hammer, majumba ya kifahari huku waumini wakigugumia maumivu....

    ReplyDelete
  27. ilishindikana kumrudisha amina chifupa wiki nzima na hitimisho la jumapili gwajima mwenyewe akachomoka na kudai wazazi wa amina chifupa na serikali imemkataza asimrudishe. watz wote munaodanganywa kitoto wapuuzi coz kuna mambo ya kutumia akili ndogo ukagundua usanii ni upi. amkeni

    ReplyDelete
  28. wote freemason tu kazi kumfania shetani kazi mzeee wa upako simpend wala huyo ki gwajima ingekuwa mm ningewafungia wasikusanye watyu na wakamatwe kwa uwiz wa pesa za maskini wakidanganya kupitia jina la YESU waache ushetani

    ReplyDelete
  29. Anonymous. 10:13 na 11:21 dini inayoamini kuua watu, kuteka watoto wa kike, kuolewa kuvaa mavazi ambavyo ndani yake huna imani na Mungu unajali mavazi ya nje ni dini hiyo au........au waliomo wana mtindio wa ubongo. Jibu hili hapa Ukristu ndo dini sahihiya kweli iliyoshushwa kwa haki hamia huku kwenye Ukristu haki tupu usafiw a roho ambao unatambulikwa hata kwa Mungu wetu baba.

    ReplyDelete
  30. me hapa bdo cjaelewa,
    ishakuwa kama CCM na CHADEMA,
    nna wasi wasi na wote hao,,,huyo cjui mwagija na mzee wa upako mwnyewe,,,,,,,maandiko yanasema 'wakutanapo wawili kwa ajili yangu me npo kati yao'.....sasa celew malumbno ya nn,,,,,,
    igeni kw kakobe,.,.,wasije umbuka.,.,
    haya mtu unacomment kuwa anashangaa watumish wa Mungu wanalumbana,.,.,afu muda huo huo nae anaponda dini ya mwenzake,.,.hv ana akili kweli tumboni mwake,.,.,nan ana uhakika kuwa dini flan ndio ya ukweli.,.,.,? tulizaliwa tukakuta wazaz wetu wana hzo dini,.nas tukafuata,.,.,
    sasa masuala ya kusema dni flan haifai,.,.,huo ni ukosefu wa maarifa,.,.na vle vle ni chuki binafs,.,.fuata imani yako na mwngne afuate ya kwake,.,.,.
    IMANI YATOSHA

    ReplyDelete
  31. naomba tusitukanane kuhusu dini ya mtu,.,.masuala ya kusema cjui flan ahamie cjui dni flan ndo ya haki,.,yy kajuaje,.,.,??
    or kuhalalisha kuuwa watu ndo uhalali,.,.,??
    au kugombania kuchinja wanyama/mifugo ndio uhalali,.,.?
    bas chinjeni hadi nguruwe,.,.,!!!
    coz c wanataka kuchinja,.,.?wasibague,.,.,
    wachinje hadi nguruwe hapo itakuwa sawa,.,.,
    na sio kuanza kusema cjui hamia dni flan,.,.,ndo wale wale tu

    ReplyDelete
  32. ya kaizari mpe kaizari na ya MUNGU mpe MUNGU

    ReplyDelete
  33. gwajima anmtomba flora kweli?flora ni mzinzi sana anafikiria hela au mali ndio kila kitu,,stupid woman..na mzee waupako hebu muwache mwanzio kila mtu anakula kwa ujanja wake.

    ReplyDelete
  34. flora muogope mungu,uliyoyatenda sio sahihi kabisa.Muombe msamahaa mumeo '

    ReplyDelete
  35. flora malaya sana mlikuwa hamjui tabia yake ,hata mama yake anamtetea bure si chochote mtoto wa mbwa ni mbwa

    ReplyDelete
  36. flora malaya sana mlikuwa hamjui tabia yake ,hata mama yake anamtetea bure si chochote mtoto wa mbwa ni mbwa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad