Nimevumilia vya kutosha hii tabia sasa naona itakua imefika kikomo.
Naishi na mpenzi wangu hatujafunga ndoa tatizo nashindwa kumuelewa kila siku niendapo kazini na kurudi jioni lazima nimuachie elfu kumi na tano 15,000/-kusudi nikirudi jioni nikute mezani kumependeza nadhani mmenielewa cha ajabu jamani nakuta ugali na dagaa akibadili sana tembere kaomba kwa jirani.
Huu ni ungwana jamani? kumuambia nashindwa naona kama takua naingilia mambo ya jikoni ambayo hayanihusu na nisipokula huo ugali ananuna.
Sielewi nifanyeje na Nilikuwa nafikiria Kumuoa
ndo umuoe mpate mafanikio anajua bajeti c mchezo,maana wanaume hamna shukrani akinunua vyakula vingi muharibifu na bora aendelee kukukomesha hivohivo
ReplyDeleteMatako wewe, we ndo wake wapuuzi mnaowatesa waume zenu afu wakienda kutomba nhe,mnaanza kulalamika...pumbavu mkubwa wewe
DeleteEee polee jitahd kungea nae pesa anapeleka wapi huenda anamawazo endelevu na baada ya muda utayaona
ReplyDeleteUnalalamika bure huwezi kujua labda mwenzio anakibubu siku akikivunja ndio utaona kuwa kumbe anaakili!
DeleteUna uhakika kama unatoa bei hiyo? Siamini ww n mwongo. Kwan hata ukiacha elf tano watu wawil kwa siku lazma kutapikwa mlo kamili mzuri. Halaf eti huuliz basi ww n taahira kama si bwege. Unaogopa? Si uulize hela yaenda wap?
ReplyDeleteBas ww bwege kama s taahira. Nina mashaka huach hela hiyo. Eti buku 15 kila sku uuke ugal...dagaa alaf huuliz? Maana watu 2 hata elf tano yatosha kwa sku mlo mzur kabisa...!
ReplyDeleteMvi yako buku kumi na tano nayo hela hajanywa chai na kitafunio vitu vimepanda sokoni acha ufala
ReplyDeleteWewe ndio fala hapo juu vitu vimepanda ndio ugali dagaa kila siku ?nyooooo huyo dem aulizwe vizuri kaama anaweka pesa nyingine akiba au ana peleka wp pumbavu zake aaache rohoo mbaya yakumttesa kaka waawtu na miugali kila ciku.
ReplyDeletehebu jaribu hii jtatu muachie alfu kumi na tano kama kawa jnne mpe kama kawa jtano mpe elfu kumi pia muendeleze hivyo mpaka wiki inaisha jmosi kama hauendei kazini usiende popote shinda nae hom huku ukiacha elfu kumi jpili mpe kama kawa jtatu inauofuata usimwachie kitu jifanye umesahau jnne acha elfu tano mwendelezo kama huo utaona kama na akikuuliza usimjibu vibaya mwambie uchumi umeshuka, naamini kama ni mkeo basi atajirekebisha na kama sii mkeo utaona ugomvi utakuwa si wa kitoto
ReplyDeleteWewe tu ndo ume comment vya maana.
DeleteMatusi ya nini ww 5;19pm hujafundwa
ReplyDeleteFanya utafiti hapo mpo watu mbili ww! unatoboka mifuko halafu mwenzio akija analamba kumi unapendwa kwajili ya pesa tu mwenzio anapendwa kwa kazi yake.
ReplyDeleteFanya utafiti hapo mpo watu mbili ww! unatoboka mifuko halafu mwenzio akija analamba kumi unapendwa kwajili ya pesa tu mwenzio anapendwa kwa kazi yake.
ReplyDeleteI hope there is someone behind of all this. So you must carefull my br,
ReplyDeletehuyo ni wako komaa nae tu mshikaji wangu hayo ni yote ni vijimambo vidogo vidogo tu.Ukikuta tembere gonga tu mwanangu haina haja ya kuwazia au kumuuliza kwa nini kapika tembele.
ReplyDelete