Marry Nagu ametoa taarifa bungeni kuwa kauli ya Steven Masele ni yake na si ya serikali,ila ile ya ikulu ndio ya serikali.
Maneno ya Kakobe sasa yanatimia. Watavurugana kama Babeli. Ikulu yakana Masele, Nape atampinga Mwigulu, Nagu atasema Masele kakosea, Kinana atawakana mawaziri na kuwaita mizigo hivyo ni indirect attack kwa Rais aliyewateua, Muhongo atasema Ole sendeka ni mnafiki na hana elimu alifeli shule, Mwigulu atachahamaa eti viongozi wanatoa sana misamaha ya kodi ndio maana nchi ina matatizo, Kesho lukuvi atamkana nagu. Alhamisi waziri mkuu atasema taarifa ya ikulu sio ya serikali,ni ya sefue. Yani mchezo bado unaendelea.
Orodha ni ndefu ila wanapingana kwa maneno sasa na waishia kuzipiga ngumi Siku moja.
Ah we uko wapi?rubani si yupo marekani anakula bata na diamond?
ReplyDeleteKula bata na platinum cc tukichoka tunaenda kulipua bunge
ReplyDeleteHahaha......mshikaji hapo juu umeua. Eti rubani yuko majuu anakula bata na domo, au sio....duh.....kaaazi kwelikweli.
ReplyDeletenagu kapinga kauli gani ya masele?
ReplyDeleteJinga sana wewe unakopi kutoka jamii forums unaleta hapa,kichwa cha habari ni comment ya mtu jf hayo maelezo pia ni comment ya mtu,havina uhusiano.Uvivu wa kufikiri,sio lazima upost eti! Yani unacopy nza nzima,ovyo sana
ReplyDeletehawa waandish ndo mana juma nkamia anawatukana mnaanza kulalamika
ReplyDelete