Ney wa Mitego Ajinunulia Gari Mwenyewe Kama Zawadi ya Siku ya Kuzaliwa Kwake

Jana ilikuwa ni Siku ya Kuzaliwa kwa Mwanamuziki Ney wa Mitego na aliamua kufanya sherehe kwa mara ya kwanza kusherehekea siku hiyo kwa vile huu ndio mwaka wake wa kwanza kuwa na mafanikio katika muziki , Ney aliandika haya katika profile yake

"Nimejinunulia Gari Aina ya Murano Kama zaiwadi ya Birthday yangu , Limenigharimu Shilingi Mil 36 za Kitanzania , ni la Mwaka 2007 so bado ni Jipya Kabisa, One Love kwa mashabiki wangu

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sasa anamwambia nani ushamba tu

    ReplyDelete
  2. Hana jipya huyo mpaka atangaze jamani ulimbukeni ni shida sana

    ReplyDelete
  3. watu wanananua ndege kina jagua na wala hawajitangazii ushambaa!

    ReplyDelete
  4. Jamani. Bora si amesema. Manake hamkawii. Kusema amenunuliwa hilo gari

    ReplyDelete
  5. Ushamba gani.?! wivu tu

    ReplyDelete
  6. Hongera bro ney hao hawana chakusema uswahili umewajaa

    ReplyDelete
  7. Na nyie nunueni mkajitangaze.
    kuma zenu za nyuma wachawi nini?
    mlitaka awambie kafirwa?

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwan mpaka utukane bana uoni aibu matusi ujui ni ushamba

      Delete
    2. Eti kwn lazima utukane we mbona umefirwa na utangazi mshamba kuzoea matusi tu mshamba ndiyo mbona alivyonunua boxer hajasema

      Delete
  8. sasa hiyo gari iko wapi, udaku wakati mwingine mnaboa, hamnaga uhakika na habari zenu ni mambo ya kizamani sana habari zenu siku hizi ni teke linalokujia sio anolojia sasa mtarudidisha zama za anolojia wekeni picha tuone

    ReplyDelete
  9. Ushamba mzigo Nay wa manzese

    ReplyDelete
  10. Bongo supu...TZ

    ReplyDelete
  11. Hongera kaka.

    ReplyDelete
  12. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  13. Acha wivu wewe makalio ya sisimizi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad