Ni Ulimbukeni (UBOYA) Kuwa na Simu ya Gharama Wakati Hata Kitanda Huna

Ninasikitishwa na ulimbukeni wa vijana hasa wa kibongo kutumia fedha nyingi kununua simu za gharama ili mradi eti kufanana na fulani au nae aonekane...unakuta kijana mwingine kapanga chumba hana hata hata stuli lakini utamkuta ana galaxy note! mbaya zaidi hata kutumia hawezi kila siku wanakuja kusumbua humu mara nimeilock oh mara siwez kufungua net...pumbavu kabisa iyo hela kwanini usinunue itel.. elfu 35 halafu iliyobaki ukachonga kitanda na meza pale geto kwako?
Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yani niukweli mtupu co kitanda2 atanguo anagongea uku akiwa na bonge sm . Ujinga mtupu

    ReplyDelete
  2. Sim kali dem mkali ndo mjini vnavyoishi

    ReplyDelete
  3. Wanaweka heshima bar

    ReplyDelete
  4. Inategemea na matumizi ya simu, coz kuna simu ukiwa nayo unafanya kila kitu as a laptop, hivyo kama wewe hauna uwezo wa kununua acha watu wanunue, sio kila mtu anapenda simu ya toch

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ujaelewa mada soma tena, uckurupuke

      Delete
  5. Co kla mwenye simu nzuri kaingia dukani wengine wamenunua mikononi mwa mateja. simu ya laki saba unauziwa elfu sabini kwa nn maskini asinunue?!

    ReplyDelete
  6. Sometimes watu wanamiliki simu za deal ambazo zinakuwa cheap sana hivyo zinakuwa kama asset kwao anaeza uza kwa profit muda wowote anakuwa na shida. . .

    ReplyDelete
  7. Hujaelewa admin kaitoa hii mada kwa wale waliotoa pesa zao na kununua cm ya gharama kwa pesa yake mwenyewe wakati hana hata kitanda gettoni kwake!je huo ndo ujanja wa town!???

    ReplyDelete
  8. mpumbavu ww uliye andika mada hii! mtu anaweza kuwa na kilakitu ndan lkn bado akaomba msada wa kuelekezwa matumiz ya cm kama kufungua net nk.

    ReplyDelete
  9. Wew ni mpumbavu uliyendika hii mada mawazo yako ni sawa na kuku, tenainaonesha elimu yako class seven, that's why una mawazo finyu hivi.

    ReplyDelete
  10. Elimu ina anzia nusery school,then elimentary school,high school then colege,or university, wa darasa la saba ndio mwisho wake kufikiri usimdharau atafika tu,huku kwa Phd, mpeni muda,je wewe, utakuwa mtukanaji hadi lini?,tubadilike waulimwengu kabla Mola hajakasirika,kesho huijui,utatubu lini,matusi yako??

    ReplyDelete
  11. Dah! Samahan kaka nitajirekebisha umenigusa kweli.

    ReplyDelete
  12. Dah! Samahan kaka nitajirekebisha umenigusa kweli.

    ReplyDelete
  13. Dah! Samahan kaka nitajirekebisha umenigusa kweli.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad