"Nikifa Sitaki Kusifiwa" - Riyama Ali, Akerwa na Tabia ya Wasanii Kuleta Maigizo Kwenye Misiba

RIYAMA Ali mwigizaji wa kike asiye na kashifa katika tasnia ya filamu Bongo, amefunguka kwa kusema kuwa kama kuna msanii mwenzake au mtu mwenye mapenzi naye angependa kama ana sifa kuhusu yeye katika umahiri wa kuigiza na mengineyo basi atumie nafasi hiyo akiwa hai, haitaji kusifiwa akifariki kwani anaamini kuwa sifa hizo hatasikia.



 “Nasema mapema kabisa sitaki kusifiwa nikifa, sifa mtu uipate ukiwa hai kama ni faida au kufurahia mwenyewe ujionee lakini nimeshafumba macho kuna faida gani, sisikii sioni haya ya nini kwangu miye?,”anasema Riyama.



Msanii huyo amesema kuwa imekuwa tabia kwa baadhi ya wasanii kuleta maigizo katika misiba ya wasanii inapotokea mara nyingi waonapo televisheni ujipanga kwa ajili ya kuhojiwa na waandishi basi hata kama marehemu alikuwa na ugomvi naye basi atajifanya jana kabla ya umauti walikuwa wote na kumwachia usia kama rafiki.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ana sifa nzuri sana kwa kweli pamoja na kwamba wewe badala ya kuweka picha nzuri hapa umeamua kuweka picha aliyoigizia ukaweka hapa sijui iweje?

    ReplyDelete
  2. Ilo ni la ukweli umenena riyama

    ReplyDelete
  3. hiv wasanii wetu wakitulia bila skendo hawatajulikana?mbona kila kukicha bora ya jana na maskendo.big up lyma.

    ReplyDelete
  4. Good idea my dad

    ReplyDelete
  5. ndo ninachokupendea riyama wangu, sura nzuri,umbo zuri, sauti nzuri, unaigiza vzr uko makini na kazi zako huna skendo mbovu kama hayo makatapila ya mjini, makina mrs.domo na menzie, make up kama mazombi pori.

    ReplyDelete
  6. Mimi binafsi nakupenda sana dada kutokana na heshima uliyo nayo dada yetu, Twakuombea Mungu azidi kukupa kila kheri

    ReplyDelete
  7. Hilo nalo neno maana wasanii wa bongo movie ni wanafiki kologana wenyewe kwa wenyewe halafu mtu akifa wanazimia mnazimia nini mfyuuuuuuuuu Hamna Haya,keep it up riyama your the best

    ReplyDelete
  8. kuma 2 ww kwan we hutombwi? tena ww ndio unatombwa kwel yan. q chilla kakutomb 2najua ila 2me2lia2! acha sifa za kijinga kifo ki2 kingne kuma ww.

    ReplyDelete
    Replies
    1. we na wewe hapo juu ni mwehu tu, hujielewi, sasa umeongea nn na yeye amesema kipi? Mbona haviendani, panya tu wewe, acha tamaa za kijinga, hiloooooo hadi aibu.

      Delete
  9. Hilo kweli dadangu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad