Mwezi uliopita nilipata nafasi ya kukutana baba yangu ambaye mara ya mwisho tulikuwa tumeonana mwaka 2012.
Tukiwa mimi, yeye na dada yangu mkubwa tukipata lunch baba yangu alitoa kauli moja ambayo nami imenibadili mtazamo wangu.
Alisema eti laiti angejua asingeoa, angeishi kama bachelor maisha yake yote.
Nahisi kauli yake ilitokana na kupishana mara kwa mara baina yake na mzazi mwenzake ambaye ni mama yangu.
Wazazi wangu wameenda age kidogo baba yangu yuko kwenye early seventy's wakati mamangu ni mid sixty's.
Wamekuwa katika ndoa for more than fourty years lakini uwa hawaishi kutofautiana mpaka sisi tumeshazoea hiyo hali.
Hiyo kauli yake imenifanya na mimi niwaze kuwa bachelor maisha yangu yote.
Nitasaka mtoto but no kuishi na mwanamke wala ndoa..
kwani maisha ya baba yako yatakuwa na uhusiano gani mpaka na ww usione umuhim wa kuoa
ReplyDeleteHayo ni maamuzi yako yanatuhusu nini uowe usi owe juu yako.
ReplyDeleteBora usioe hawa viumbe pasua kichwa piga anza mbele
ReplyDeleteKama hujui ni hivi wanawake hawafugiki na watakupasua kichwa mpaka kufa. Mimi hapa nina ndoa ya miaka kama 15 na watoto 2 ila kiukweli ningejua nisingeoa coz ni majanga. Bora mzae tu kama best utunze watoto then usubiri kufa.
ReplyDeleteNi ngumu kwa kweli kuishi na mtu mmejuana ukubwani na tabia mbali mbali then umtengeneze awe kama unavyotaka.
Hii sio kwetu wanaume tu hata wao am sure wanafeel the same.
Ndoa ni ngumu na haina maana yeyote tunaiga tu but its not a big deal.
Hata sijui nani alianzisha huu mchezo mchafu bora waislam wenzetu kusajili na kutupa kule sio issue.
Basi ushoga utastawi sasa
ReplyDeleteTomba tomba ndio mpango mzima
ReplyDeleteNyie wote hamjui ndoa ni ishu kubwa hapa duniani na nitamu sana pale tuu mnaposikilizana na kuelewana. Kikubwa ni hivi .usimruhusu mke akupande kichwani. Ni hilo tuu
ReplyDeleteTatixo wwanaume waliowengi hawapendi kuckiliza ushauri wa wake zao yeye ndo msemaji wa mwisho labda akishauriwa na kimada huko ndo ana kuja nalo.na ss tumechoka kuendeshwa ckiliza ushaur wa mke.tenga mda wa kua na mkeo kama unavyotenga wa kimada.uone kama hamtaelewana
ReplyDeletenyie mnaokataa kuoa mtakua mashoga sio bure
ReplyDeleteKusikilizana ndo kila kitu ndani ya nyumba,we kaka acha ujinga na pia kuwa na msimamo kama mwanaume acha usenge....
ReplyDeletekwa hiyo mungu alipoweka ndoa mnamuona hana maana, tatizo la ndoa za sasa kila mmoja anajua unategemea nini, na tatizo la wanaume wanapenda sana kusujudiwa utafikiri mungu
ReplyDelete