Ningejua Nisingeoa Maishani Mwangu

Mwezi uliopita nilipata nafasi ya kukutana baba yangu ambaye mara ya mwisho tulikuwa tumeonana mwaka 2012.

Tukiwa mimi, yeye na dada yangu mkubwa tukipata lunch baba yangu alitoa kauli moja ambayo nami imenibadili mtazamo wangu.

Alisema eti laiti angejua asingeoa, angeishi kama bachelor maisha yake yote.

Nahisi kauli yake ilitokana na kupishana mara kwa mara baina yake na mzazi mwenzake ambaye ni mama yangu.

Wazazi wangu wameenda age kidogo baba yangu yuko kwenye early seventy's wakati mamangu ni mid sixty's.
Wamekuwa katika ndoa for more than fourty years lakini uwa hawaishi kutofautiana mpaka sisi tumeshazoea hiyo hali.

Hiyo kauli yake imenifanya na mimi niwaze kuwa bachelor maisha yangu yote. 

Nitasaka mtoto but no kuishi na mwanamke wala ndoa..
Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwani maisha ya baba yako yatakuwa na uhusiano gani mpaka na ww usione umuhim wa kuoa

    ReplyDelete
  2. Hayo ni maamuzi yako yanatuhusu nini uowe usi owe juu yako.

    ReplyDelete
  3. Bora usioe hawa viumbe pasua kichwa piga anza mbele

    ReplyDelete
  4. Kama hujui ni hivi wanawake hawafugiki na watakupasua kichwa mpaka kufa. Mimi hapa nina ndoa ya miaka kama 15 na watoto 2 ila kiukweli ningejua nisingeoa coz ni majanga. Bora mzae tu kama best utunze watoto then usubiri kufa.
    Ni ngumu kwa kweli kuishi na mtu mmejuana ukubwani na tabia mbali mbali then umtengeneze awe kama unavyotaka.
    Hii sio kwetu wanaume tu hata wao am sure wanafeel the same.
    Ndoa ni ngumu na haina maana yeyote tunaiga tu but its not a big deal.
    Hata sijui nani alianzisha huu mchezo mchafu bora waislam wenzetu kusajili na kutupa kule sio issue.

    ReplyDelete
  5. Basi ushoga utastawi sasa

    ReplyDelete
  6. Tomba tomba ndio mpango mzima

    ReplyDelete
  7. Nyie wote hamjui ndoa ni ishu kubwa hapa duniani na nitamu sana pale tuu mnaposikilizana na kuelewana. Kikubwa ni hivi .usimruhusu mke akupande kichwani. Ni hilo tuu

    ReplyDelete
  8. Tatixo wwanaume waliowengi hawapendi kuckiliza ushauri wa wake zao yeye ndo msemaji wa mwisho labda akishauriwa na kimada huko ndo ana kuja nalo.na ss tumechoka kuendeshwa ckiliza ushaur wa mke.tenga mda wa kua na mkeo kama unavyotenga wa kimada.uone kama hamtaelewana

    ReplyDelete
  9. nyie mnaokataa kuoa mtakua mashoga sio bure

    ReplyDelete
  10. Kusikilizana ndo kila kitu ndani ya nyumba,we kaka acha ujinga na pia kuwa na msimamo kama mwanaume acha usenge....

    ReplyDelete
  11. kwa hiyo mungu alipoweka ndoa mnamuona hana maana, tatizo la ndoa za sasa kila mmoja anajua unategemea nini, na tatizo la wanaume wanapenda sana kusujudiwa utafikiri mungu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad