Ofisi ya Kanumba Imeishia Wapi? Movies Zenyewe Hatuzioni

Hivi najiuliza sana ile ofisi ya Kanumba mdogo wake Seth alidai anaiendeleza na wakaja watoto wengine wa yule baba yao wakajidai wamejipanga kuendeleza mtanange,
HIvi imeishia wapi mana hata muvi zenyewe hatuoni...HAIJAFUNGWA KWELI na vifaa kuuzwa?
Kuna kitu Kinaendelea ? Mwenye habari Atujuze

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Watu wanaondoka na nyota zao

    ReplyDelete
  2. wahenga walisemaaa,Asiye kuwepo na lake halipoo

    ReplyDelete
  3. Well said anoy 2:53

    ReplyDelete
  4. Ningeshangaa iendelee vip! Watu kuanzia zamani hamuigizi baada ya kanumba kufa eti ndo wanajifanya wanajua kuigiza. Hawana vipaj, si wafanye kaz zao zingine.

    ReplyDelete
  5. no one like kanumba hata kina ray wababaishaji tuu wanawake ndo usiseme wamekua machangudoaa kuvunja nyumba za watu na kungombea wanaume....

    ReplyDelete
  6. Kanumba was very good man

    ReplyDelete
  7. hamna kama kanumba hii bongo movie imebaki jina tu wamejishikisha uku wanauza madawa afu washindane kuvaa, kufanya starehe na kujulikana kwenye magazeti ya udaku,

    ReplyDelete
  8. Unajua marehem kanumba naalivokuwaanaigiza kaole namaisha Yake yuko chini ndivo ilivovokuwa siyorey mshaaaaaaambaaaaaaa hadi leo

    ReplyDelete
  9. Ukishakufa na vyaki vinakufa pia,hata katika maisha ya kawaidakwenye familia zetu mtu aliyekuwa amesimama kiuchumi mara tu anapoiaga dunia wengine hufikiria ni namna gani ya kugawana mali bafdala ya kufikirjinsi watakapozizalisha mali za marehemu.

    ReplyDelete
  10. kanumba ndo mpango mzima bongo mov wengine woooote vibamia tu kanumba kasha kwenda na movi za kibongo atuangalii tena kanumba kiboko lakini bac tena daaaa!

    ReplyDelete
  11. Acheni hizo alipokua hai hamkumsifia now kafa ndio mnamsifia, kwa sasa JB ni noma

    ReplyDelete
  12. Mwenyezimungu ilaze pema roho ya marehem.

    ReplyDelete
  13. Alivyokuwa akijitaidi kwenda hapa na pale ili kuendeleza gurudumu la bongo move mlikuwa mkimcheka na kumkihaki eti hajui lugha. Sasa mungu kampenda zaidi mnamsifia. Wote ndio walewale

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad