Papii Kocha na Baba yake Nguza Viking Wawatoa Watu Machozi Baada ya Kutumbuiza Maadhimisho ya Magereza Day

Msanii Nguza Viking (kulia) na Mwanae Jonson Nguza Maarufu kwa jina la Papii Kocha ambao wanatumikia Kifungo chao kwenye Gereza la Ukonga jijini Dar,wakiwa na Bendi ya Wafungwa wakiimba Wimbo Maalum kuhusu Urekebishaji wa Wafungwa unavyofanyika Magerezani,Wanamuziki hao walitumbuiza katika Maadhimisho ya Magereza Day yaliyofanyika Juni 20, 2014 katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga. Tukio hilo lilifanya watu kuwalilia kwa uchungu

Post a Comment

27 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dah jamani Papii imeshindikana kabisa duh asamehe tu jamani

    ReplyDelete
  2. Sijawahi kuwaonea huruma...je Kama kweli alilawiti watoto Wa watu...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuma we angekuwa babako ndo ungemwonea huruma... mkundu wako! Vuzi we!

      Delete
    2. Huna haja ya kutukana wewe. Wangekuwa wamekwa dada zako au binti yako ndio ungeelewa ee? Mimtu mingine bwana

      Delete
    3. Yaaani we uliyetukana unajisumbua ...wakae Tena na waozee huko huko tuzae watoto halafu mje kutuharibia ..tena we nguza Kama wangekuwa watoto wangu wale jela usingefika ningekuua kabla polisi hawajakufikia

      Delete
    4. lakini mliuona mwenendo mzima wa kesi yao ulivyopelekwa pelekwa?, halafu katika hali ya kawaida inawezekana wewe na baba yako mzazi mkakaa chumba kimoja kulawiti watoto wadogo kama wale?,uliona hata wale watoto walioulizwa jinsi walivyobakwa ilionyesha wazi kuwa wali karirishwa majibu, kuna mengi nyuma ya pazia
      tusitoe majibu rahisi kwa maswali magumu jamani
      ni mtazamo tu

      Delete
  3. Duh haiwezi kuwa kweli baba na watoto kubaka watoto wa dogo kiasi kile maana yule ni mtu aliyekua na pesa zake kama angekua na ham angepata mwanamke yoyote anaemtaka yeye. Sio vile vitoto hiyo ni siri anaijua mwenyewe sababu

    ReplyDelete
  4. alafu ile barua aliyomtumia mheshimiwa rais wetu mbona hatujaona majibu yake? Au haijamfikia? Au ndio hata kimya ni jibu

    ReplyDelete
  5. Matendo mabaya hufanyika gizani.haiwezekani baba n'a mwanae walawiti wakiwa pamoja

    Wabongo fungueni macho.wakongo hao wanawasingizia.Mheshimwa awasamehe kwani islamudini Safi
    huyombunge kijana amuombebake awaachie. Makambaje nayeawekwendani?

    ReplyDelete
  6. Dahhh kumuombea Babu seya na Papii watokee afu tunamuacha Emanuel Mbasha aende huu ni Unafiki dahhh Watu wanatupoteza cc Wanyonge asww haki zetu tunaibiwa kisa hatuna kitu.....PAPII na NGUZA One dei Yes....Imma Pole bana dahhh ila yataisha

    ReplyDelete
  7. Amakweli nchii hii yaliyochini ya kapeti niya aibu makubwa.ila tukumbuke dunia hii siyetu iwe isiwe utakufa je ushawahifikiria hatma yako itakuwaje ukijuahilo huwezi kuwanarohombaya kiasihiki.ilakama hujali utaishi kiunyama unyama nahatakifo chako kikiwa cha ajabu nistahiliyako.maisha nikuchagua who ever did this kama kwachukizao hizo tutashuhudia mengi.hakuna ndumba kwamungu utavuna ulichokipanda ulimwengu ukikushuhudia.

    ReplyDelete
  8. Ili swara ni la kuangaria kwa makini inawezekanaje kufanya kitendo kama icho yeye na watoto wake kutakuwa na mkono wa pesa sio poleni mungu yupamoja nanyi Shelia duniani haki mbiguni

    ReplyDelete
  9. Kama ni kweli walifanya hiko kitendo adhabu hii ni ndogo kwao walistahiri kupewa adhabu kali kuliko hii lakini kama hawakufanya hivyo wanasingiziwa tu hakika Mungu atawalipa na Namuomba Mungu awajaalie kheri nyingi na baraka waweze kutoka gerezani..

    ReplyDelete
  10. mungu ndio anajua tusio yajua,tuwaombee dua

    ReplyDelete
  11. Watu wanashabikia hizi ishu bila kujua ukweli wa mambo au kwa vile wanawaburudisha kwa muziki?? Mnakimbilia kusema kabambikiwa kesi mnadhani ni simple hivyo? Kwa ambayo hawajui sikia sasa, babu seya na mwanae ni kweli walichukua wale watoto na wakawafanyia ujinga wote na lengo lao ilikuwa kuuza mkanda wa x nje ambapo president kikwete alipoenda nje ndo alibanwa kuwa how comes watoto wadogo wanafanyishwa ngono na kurekodiwa?? Kikwete akaonyeshwa ule mkanda ndo akagundua kuwa ni akinya babu seya coz ni maarufu. Aliporudi ndo akapeleka ule mkanda mahakani kesi ikaanza. Ndo mana wanamhusisha kikwete na hii ishu ila ndo iko hivyo. Sasa wewe unayelaumu je Ingekuwa mwanao ungefurahi?? Watoto wa watu wengine wameharibika nyuma kabisa alafu nyie mnashabikia. Acheni ujinga bana. Nendeni ukonga pale muongee na wafungwa wenzake utasikia wanachosema. Sio mnakaa vijiweni hamtafuti ukweli ulivyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Una ushahidi?tugee na cc huo mkanda tuuone na kama unao tupe na sisi tuuone sio unatuletea maneno mengi na pengine ww mwenyewe umesimuliwa.toa ushahidi kwa wanaokaa vijiweni waache kushobokea inshu hii

      Delete
    2. Nafanya kazi hosptl ya serikali.wale watoto karibu wote walilawitiwa.sijui nani alifanya hivyo ila kweli waliharibiwa

      Delete
    3. Yaaani na wasitoke maisha hii adhabu ndogo sana sana ...we babu sea ungefira huyo nguza viking au Francis basi Kama ulibanwa sana ...tunazaa kwa uchungu mkali halafu mje kutuharibia watoto..kikwete sio mjinga na Big up sana KIKWETE

      Delete
  12. mungu wakukhukevwatu hawa

    ReplyDelete
  13. malipo ni hapahapa duniani, Mungu ndio anajua kilichopo nyuma ya pazia hivyo hatupaswi kuhukumu. kama walifanya hivyo bado mungu atawahukumu tena lkn kama hawakufanya hivyo aliewahukumu hatahukumiwa zaidi na zaidi

    ReplyDelete
  14. Hakuna asiyekosea,naamini ipo siku mtakuwa nasi tena uraiani.Mungu awape afya na nguvu kwa wakati wote mnaohudhuria kifungo

    ReplyDelete
  15. Naanza kwa kusema hivi ni vijimambo tu. Kuna ishu kubwa kubwa ambazo tunatendeana chini ya carpet. Kuna matukio mengi tu ya kijamii ambayo yanakiuka maadili yetu na huwezi kuyajua mpaka yasemwe. Kuna watoto wanabakwa na mababa zao, wajomba, kuna watoto wanabakwa na hao mababa na wajomba na wanapata mimba lakini mambo yanachukuliwa kifamilia, kuna watoto wa kiume wadogo wanalawitiwa na mababa wa kambo na kujengewa hofu ya kuyasema hayo na bado familia zinawabeba. Ifike mahali kila mwanajamii akemee maovu kwa sauti ya pamoja ili kuleta jamii inayojiamini na kujitambua hapo baadaye. Kwa upande wa kina Papii na babake kama kweli walitenda basi adhabu itaendelea lakini kama hawakutenda ila ni sababu za kisiasa za kutoka huko walikokuwa basi mwisho wake umefika na mungu atatoa hukumu palipo pazito patakuwa pepesi.

    ReplyDelete
  16. ukweli utakuwa kwao (mtendaji) na Mtendwa lakini kama ni kweli wanastahiki kufungwa na kama sio kweli hakimu aliyewafunga atakutana na hakimu wa kweli kesho. kwa sasa tuamini ni kweli kwa vile mahakama imesema baada ushahidi na hakimu kuridhia, jukumu lote lipo kwake, hivi wangapi wanafungwa hatulalamiki? au ndio ufisadi akifanya wako mambo yake mazuri akifanya wa mwenzako mwizi!! tafakari

    ReplyDelete
  17. vizibitisho vya watoto tungewaona.

    ReplyDelete
  18. tatizo wabongo mshazoea kuvalishwa miwani za mbao kwa nini mkanda usiwekwe mahakamani kila mtu akajua haki imetendeka mahakama siku zote hawafungi mtu bila ushahidi sasa inakuwaje hakim akaangalie mkanda nyumbani kwake aje afunge watu acheni mambo hayo sasa na sisi ifikie hatua tuwe kama wenzetu mambo yote waweke mezani albino kila leo wanapoteza maisha serikali inashindwa kuwawekea eneo maalum la kuwalinda jamani!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad