Penny 'Mungu ni Mkubwa Ki Ukweli Nilikuwa na Hali Mbaya Kiafya'

MTANGAZAJI wa maarufu wa runinga Bongo, Peniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa ugonjwa uliompiga juzikati ulikuwa ‘serious’ kiasi cha kuona ni Mungu tu amemwokoa.

Akichezesha taya na paparazi wetu, Penny alisema anamshukuru Mungu anaendelea vizuri kwani alikuwa na hali mbaya baada ya kubanwa na ugonjwa wa Athma kwa siku tatu nzima akiwa anasaidiwa kupumua na mashine ya oxygen.

“Ukweli nilikuwa na hali mbaya huwa nasumbuliwa na Athma mara kwa mara lakini naweza kubanwa kwa siku moja ila ya safari hii imekuja kwa nguvu sana kwa sababu ilikuja na mafua makali jambo lililosababisha nilazwe kwa siku tatu katika Hospitali ya  AAR huku nikipumua kwa kutumia mashine, kweli Mungu ni mkubwa, ninaendelea vizuri,”
Tags

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na joketI nae anaumwa Athma,

    ReplyDelete
  2. Pole dada mungu ni muweza wa yote

    ReplyDelete
  3. pole penny,kumbe penny mzuri

    ReplyDelete
  4. Ana sugu za mkorogo

    ReplyDelete
  5. HUYU MBWA ANA UMWA WIVUU CHEZEA WEMA WEWE

    ReplyDelete
  6. Penny Ni mzurI sema Ni mfupi,sio tall Kama mke mwenzie.

    ReplyDelete
  7. Msaada tutani,uzuri Ni weupe?au hata weusi Ni wazuri?maana naona Masada Wa mujini Ni mwendo Wa kunywa vidonge wawe weupe,Nasema wanakunywa vidonge maana wanakuwa mpaka kwenye ngozi ya kichwa.

    ReplyDelete
  8. Wa kawaida tuu sema weupe wa mchina Una msitiri

    ReplyDelete
  9. Replies
    1. Nana unaugonjwa wewe unaugua unamtukana mtu bila sbbu yamcngi kisa uko team makorokocho.ukatibiwe huo ugonjwa unaokula ubongo Wako.mkowengi kweli wenye ugonjwa huo.

      Delete
    2. hahah nana..umenifrahisha kweli angekufaa huyu anamaliza hewa ya dunia kuna watu wanahitaj kupumua vizur km kina wema sio hiki kiandunjeeeeeeeeeee

      Delete
  10. Ulikua na rangi nzuri tulivyokua secondary hata cjui nani kakudanganya ujichubue..hujapendeza

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na rafiki yake juli Masaburi ukimuona utakimbiaaa,kala vidonge kawa mweupeeee mpaka ngozi ya kichwa na huku alikuwa na weusi wake Wa kuteleza mzuri tu,ushoga huu Wa kuigana mambo yasiofaa unipite mbali,lulu kanumba Ni make up sidhani Kama na yeye amejichubua Kama haya mavichaa mawili(juli na penny)mshaurini na shoga yenu halima Wa diamond(kimwana)ale hayo madonge yenu ya kichina.mtakufa siku Si zetu wasagaji wakubwa.

      Delete
  11. utajichubua kote lkn kwenye #maku #hata unywe Tina au usugue na
    msasa kitu km ngozi yamamba

    ReplyDelete
  12. Pole penny kweli sikiliza mashabiki wako wacha kujichubuwa hayo madawa ndio yanakosesha uzazi.miye ni mwarabu lakuni napenda sana ngozi za ki africa lakini mna jiharibu sana nani kawadanganyeni kama weupe ni mzuri

    ReplyDelete
  13. peni mwenyewe kapona tu kuzurula hata hapunmziki, nimemuona huko mtaa wa pili kenye harusi kakongoraka mifupa mitupu ndo kabakia uyuko na huyo wifi yake sijui mke mwenzie kimwana.

    ReplyDelete
  14. Sasa watu waki achana lazima iwe uwaduwi kati yao mmependa kwa vizuri mna achana kwa vizuri kila mtuu anashika 50 zake

    ReplyDelete
  15. Penny bado Ana mpenda nasseb ndo maana siku hizi Hana raha,ingekuwa yeye ndo kamuacha naseeb angemove on ila kutwaaaa kwa kina dada za naseeb.aibuuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad