Pic of The Day:Mbunge Akwea Bado Bado Kuwahi Ndege Airport

Adha ya Foleni jijini Dar es Salaam imemkumba mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka nchini Tanzania, Shy-Rose Bhanji aliyekuwa akisafiri kwa ndege na kulazimika kukwea bodaboda ili imuwahishe Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere Dar es Salaam hii leo.
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sioni cha ajabu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwanini hajavaa helmet?

      Delete
    2. Kwanini hajavaa helmet?

      Delete
  2. Kumbe wanajua km zinawaisha wanazikatazia nn kuingia town?

    ReplyDelete
  3. Bila kofia???

    ReplyDelete
  4. Boda boda ni hatari , madereva wanakunywa viroba kama maji

    ReplyDelete
  5. Mbunge anavunja sheria kwa kutovaa kofia hakamatwi,sisi walalahoi ndo tunapigwa tanji.

    ReplyDelete
  6. safi sana mh..

    ReplyDelete
  7. Lipi la ajabu hana tofauti na MIMI! Wa kawaida sn

    ReplyDelete
  8. kuto vaa helement ni sawa na kuto vaa kondomu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad