Picha Chafu Za Wema Sepetu Na Diamond Platnumz Zatinga Bungeni..!!

Hilo liliibuka juzi mjengoni katika kipindi cha maswali na majibu ambapo Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Saidi Mtanda alitaka kujua hatua zilizochukuliwa na serikali katika kukabiliana na tabia za watu maarufu kupiga picha zisizo na maadili kisha kuziweka mtandaoni.
Katika kujibu swali hilo, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia alisema: “Tunajitahidi kuhakikisha wanaofanya hivyo wanachukuliwa hatua stahili ili kukabiliana na matendo hayo ambayo ni kinyume na maadili.”

Katika kuonesha kutoridhika na majibu ya waziri, Mheshimiwa Mtanda alipopewa nafasi aulize swali la nyongeza alisema: “Mheshimwa spika nahisi swali langu halijajibiwa ipasavyo. Nilichotaka kujua ni hatua ambazo zimechukuliwa kwa baadhi ya watu mastaa kama vile Wema na Diamond ambao hupiga picha zao zisizofaa kisha kuziweka mtandaoni.”
Kufuatia swali hilo, Nkamia alisimama na kujibu kwamba, serikali imeweka mikakati na njia sahihi za kukabiliana na tabia hiyo na kwamba wale ambao watabainika watachukuliwa hatua zinazostahili.

Licha ya majibu hayo, bado wabunge walionesha kutoridhika, hali ambayo Spika Anne Makinda aliiona na yeye akaongezea “Waheshimiwa wanataka kujua na za hivi karibuni zilizovuja mtandaoni” ambapo jibu la Nkamia lilikuwa:
“Mheshimiwa kuhusu hizi picha za juzi zilizosambaa mtandaoni, tunazifuatilia kujua zimeanzia wapi na taarifa zake zikoje kwani hata mimi bado sijaziona ila tutachukua hatua tutakapobaini zilikotokea.
Tags

Post a Comment

39 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. picha chafu aje na wanatoaa uchafu, udaku mna udaku kweli

    ReplyDelete
  2. This must be a big brother show, but I really dunno which of them cos am not following anyone at the moment, but the hathub luv thing is sort of kul and sexy!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sure it is, bt this kinda stuff doesnt really suit diamond though

      Delete
  3. Bunge la tanzaniA halina mijadala ya ku deal apart from upuuzi

    ReplyDelete
  4. Ok vyakujadili vimeisha kumbe tayari tuna maji elimu bora mjini na vijijini umeme miundo mbinu bora mjini na vijijin hatuna mikataba mibovu ajira kwa wahitimu zipo waalimu wapolisi wafanya kaz umma mishahara ...basi sawa ngoja tujadili hizo takataka 2 hapo nchi ipo poa tuliyowatuma mmetimiza...mitaa imepimwa watu hawajengi ovyo..

    ReplyDelete
  5. Serikali za kikafiri na sheria zenye kufuata matamanio ya nafsi huwa hazina mambo ya msingi ya kujadili,kwenda kujadili ushenzi ushenzi tu,mataahiri wakubwa kabisa

    ReplyDelete
  6. ujinga tu fungeni social network kama mnauwezo hamuzi kufunga badala ya kujadili vitu muhim kwa taifa mnajadili upuuzi majitu yanapewa peasa za walipa kodi bureeee kichwani hamna kitu

    ReplyDelete
  7. huyo mbunge alimtongoza wema naona akakataliwa kaona alipeleke bungeni. wabunge mmekosa ya kuongea? kutwa kucha mko kwenye blog za umbea. na hzo ndo hoja mnazipeleka bungeni, kwakudili na blog umbea. mtutolee upuuzi.

    ReplyDelete
  8. Hoi pic walah in an to a udenda nataman na mm niwe apo looh....mnafaudu walah....wabunge tuachen time ujana mshindwe...

    ReplyDelete
  9. Hilo ni bunge la katiba au nila wema na diamond

    ReplyDelete
  10. Sor la bajeti

    ReplyDelete
  11. Ovyooo yao yanawashinda mafisadi wakibwa

    ReplyDelete
  12. Mnaboha na nyie wapuuzi nini diamondi na wema kila kukicha upuuzi wenu tu jaribuni kuwa wastaarabu bwn kiukweli mnakera.

    ReplyDelete
  13. Mnaboha na nyie wapuuzi nini diamondi na wema kila kukicha upuuzi wenu tu jaribuni kuwa wastaarabu bwn kiukweli mnakera.

    ReplyDelete
  14. Mnaboha na nyie wapuuzi nini diamondi na wema kila kukicha upuuzi wenu tu jaribuni kuwa wastaarabu bwn kiukweli mnakera.

    ReplyDelete
  15. Mnaboha na nyie wapuuzi nini diamondi na wema kila kukicha upuuzi wenu tu jaribuni kuwa wastaarabu bwn kiukweli mnakera.

    ReplyDelete
  16. Jadilin kutuongezea mishahara walimu bac maana tunaona na nyie mnataka kuingia kwenye team's

    ReplyDelete
  17. Huyo kwenye bathtab ni wema ao mrembo mwengine alikuwa anapewa sukari

    ReplyDelete
  18. Ni wasenge hawa maboya(manitch)

    ReplyDelete
    Replies
    1. Manitch???Hivi wabongo Mbona hatujajaaliwa lugha ya kiingereza?tunatia aibuuu

      Delete
  19. na wewe almas na wema mnachosha bwana, kila siku nyie tu, na hayo madomo yenu kama mnapigia mswaki hamira, punguzen saa zingine muwe mnaapply na ustaarabu, na mkizaa mtoto atakuwa na domo lililoning'inia ka mamba, coz make up tu ndo zinawaweka mjini. Mfyuuuuuu!

    ReplyDelete
  20. Haaaaaaa wanasema wanatuonyesha wanapendana,hao watu wenye ndoa miaka na miaka bila kuonyesha huu ujinga hawapendani?
    mmeshawahi kuona baba na mama zenu wameweka picha kama hizi kwenye albam zao huko makwenu,tuseme walikuwa hawapendani?
    pumbavu malimbukeni nyie,mnatia kinyaa,mnachosha wazinzi namba moja

    ReplyDelete
  21. Anonymous 11.30,point nzuri kwa wenye akili,but kwa wema na almas huwa wanaona waonewa wivu hawajui kama wanajidhalilisha
    walishaweka pamba kwa masikio.

    ReplyDelete
  22. Muangalieni komba sio diamond

    ReplyDelete
  23. Nasibu Si muislam?Si nasikiaga waislam hawanywi pombe,awachori tattoo,au?

    ReplyDelete
  24. Muislam gani huyo wa kula kiti moto

    ReplyDelete
  25. wanaharibu uislam tu hao.

    ReplyDelete
  26. 3.08 ,mkundu wako, kwani wabongo tumezaliwa kwenye kingereza wewe mwenyewe ni wa tandale kuna kingereza?

    ReplyDelete
  27. Simuelewi huyo mbunge alikuwa anataka nini zaidi kutoka kwa hiyo couple hapo, maana hata hao kina wema na diamond ni wapuuzi flan tu, kwanini asizungumzie issue zenye akili bungeni?

    ReplyDelete
  28. Du lakin i picha yao kama wako Ulaya!waacheni watoto wa watu wale bata zao jamani hee!

    ReplyDelete



  29. mwisho wa dunia jamaani tuombe mungu atunusuru watoto wetu.


    ReplyDelete
  30. we nae ndo kuma kweli ..mwisho wa dunia unahusu nini!!!

    ReplyDelete
  31. Ukiona wabunge wanaanza kujadili wema na diamond basi ujue vichwa vyao vimejaa ushuzi, badala ya kujadili maendeleo, elimu maji, ujenzi na mishahara bora, hawa wabunge wetu ni wasenge sana, sijali kama kuna jamaa yangu ni mbunge wala nini, bunge letu ni la wala rushwa na mafisadi tu!!!

    ReplyDelete
  32. jinsi ya kutengeneza pesa kupitia computer yako

    ReplyDelete
  33. Nyie nao wema na diamond wanakula maisha acha movie ielendelee i love ths cple

    ReplyDelete
  34. wabunge mikundu 2.

    ReplyDelete
  35. Kuna mengi ya kujadili, fanyeni
    Kilichowapeleka


    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad