Picha: Hatimaye Mwili wa Tyson Wazikwa leo Nchini Kenya

Mwili wa aliyekuwa mwongoza filamu za Kibongo, marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson’ (41) aliyefariki dunia Mei 30, mwaka huu kwa ajali mbaya ya gari nchini Tanzania na kusafirishwa kwao,Kenya umezikwa siku ya leo kijijini kwao Siaya  nchini Kenya.


Mtoto wa Marehemu, Sonia akilia kwa uchungu wakati wa kuweka udongo katika kaburi la baba yake …

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pole sana mdogo wangu sonia. Mshukuru mungu kwa kila jambo

    ReplyDelete
  2. Mungu awatie nguvu ktk kpnd hk kigumu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad