Picha: Lulu Michael Afunga Ndoa ya Siri Azianika Picha za Ndoa Yake, 'Already taken'

Elizabeth Michael aka Lulu is already taken! Na sasa ni mke halali wa ndoa kwa ndugu yetu….!

Sentensi niliyoiandika hapo juu inaweza kuwa rahisi na ya kweli moja kwa moja kwa kuangalia picha za harusi zilizowekwa na muigizaji wa kike Elizabeth Michael aka Lulu kwenye Instagram akiwa ametupia shela na anapewa pongezi kwa kuamua kufunga ndoa.

Lakini ni  vigumu sana kuthibitisha kuwa amefunga ndoa kwa kuwa inawezeakana kabisa kuwa alifunga ndoa kwenye filamu yake mpya inayokuja ila ameamua kushare picha kwenye Instagram kuvuta umakini wa mashabiki wake kuupokea mzigo mpya.

Lulu amepost picha kadhaa Instagram akiwa na shela na kuonesha hatua anazopiga kwa ajili ya kusubiri ndoa yake na kuandika ‘Abt to be some1's Only’, kwenye post ya picha inayomuonesha kwa nyuma.

Mwisho aliweka picha akiwa tayari kwa ajili ya kuvishwa pete na akaandika, “The I do Part”.

Mashabiki wake walimwagia sifa na hongera lakini wengi walichukua tahadhali kama niliyoichukua mimi kuwa huenda ni filamu yake mpya.

“Kwanini lakini unaturusha roho iv? get serious bas” Aliandika shabiki wake mmoja.

Ni vigumu kutenganisha maisha ya uigizaji na maisha ya kweli kwa kuangalia picha. Tusubiri tuone.

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyie kweli wajinga.....That is a movie.....Magazeti mengine bana uchosho tu

    ReplyDelete
  2. Hugo Malaya anamchuna

    ReplyDelete
  3. Kama ni harusikajioa mwenyewe? Bwana harusi wapi?

    ReplyDelete
  4. ukiwa malaya kazi!!!

    ReplyDelete
  5. andunje aolewe na nani kuma kubwa chupi linapwaya...hiyo ni scene ya vichekesho vyao wanavyorekord..tutolee usenge hapa

    ReplyDelete
  6. Hongera kwake kwan c mtoto wa kike bwna

    ReplyDelete
  7. Atakaye muoa lulu awe na moyo,lulu Ni uzuri Wa mkakasi ndani kipande cha mti,ajatulia kabisa,ukiwa na Hela ndefu lulu unampata dk I tu.ameshatumikaaa limebaki boya

    ReplyDelete
  8. lulukama umeolewa kweli naomba utuliee sana .pia nasikia lulu ni mchagga ,wachagga hawawe waraisi kama lulul.

    ReplyDelete
  9. hahah lulu awe mchagaa...lulu malaya wa kihaya huyoo mhaya asie na elimu na hakiri anauza kuma tuu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad