mastar mbalimbali wa Tanzania wamekua wakionyesha magari yao ambayo mengi yamekua ya kifahari,kwa mwaka 2014 ni mwaka unaonyesha wasanii wengi kumiliki magari ya gharama zaidi,mpaka sasa ni zaidi ya wasanii watano ambao wameonyesha magari yao ya kifahari.
Star wa single mbalimbali ikiwemo Nakula Ujana Ney wa Mitego nae yupo kwenye list ya wasanii wanaomiliki magari haya ya thamani hii ya Ney wa Mitego ni Nissan Morano ya mwaka 2007 na hii inakamilisha gari la pili kwenye kipindi kifupi baada ya ile Toyota Mark X.
Kwa maelezo ya mwenyewe Ney ingawa hakutaka kutaja bei kamili aliyonunulia lakini kasema ni zaidi ya Milioni 35 za Kitanzania,na hii aliinunua kama zawadi kwake siku ya June 09 alipokua
anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa.
so what
ReplyDeleteMi nitampongeza akijenga hata room 2 mradi aishi kwenye nyumba yake...gari nitampongeza kiidogo
ReplyDeletekwahiyo tugemee magari mengine kwakila cku yakuzaliwa kwake au cku yake hii ndo yenye hela nyingi! bado haijakaa kumkichwa hapo!
ReplyDeleteHongera kwa gari zuri,hapo liko nyumbani kwako au kwenye nyumba ya kupanga?
ReplyDeleteBora umekumbushwa kama bado huna mjengo,yasikukute ya mr nice
ReplyDeletebro.
bado nyumba
ReplyDeleteBongo supu kweli.
ReplyDeleteBasilisk umnunulie alie kuza
Wanufaisha madanguro
Hee watu mna wivu muacheni mtoto wa watu.. hata kama kanunua gari nyumba hana nyie inawahisu nn.. fanyeni yenu bana!!
ReplyDeleteAnonymous 11.52
ReplyDeleteNa mbona gari kanunua yeye,kutuonyesha sisi inatuhusu nini?
comments zinasaidia,sio wivu kama unavyofikiria wewe