Picha za Gari Mpya ya Ney wa Mitego Aliyojinunulia Mwenyewe Kama Zawadi ya Siku yake ya Kuzaliwa

mastar mbalimbali wa Tanzania wamekua wakionyesha magari yao ambayo mengi yamekua ya kifahari,kwa mwaka 2014 ni mwaka unaonyesha wasanii wengi kumiliki magari ya gharama zaidi,mpaka sasa ni zaidi ya wasanii watano ambao wameonyesha magari yao ya kifahari.
Star wa single mbalimbali ikiwemo Nakula Ujana Ney wa Mitego nae yupo kwenye list ya wasanii wanaomiliki magari haya ya thamani hii ya Ney wa Mitego ni Nissan Morano ya mwaka 2007 na hii inakamilisha gari la pili kwenye kipindi kifupi baada ya ile Toyota Mark X.
Kwa maelezo ya mwenyewe Ney ingawa hakutaka kutaja bei kamili aliyonunulia lakini kasema ni zaidi ya Milioni 35 za Kitanzania,na hii aliinunua kama zawadi kwake siku ya June 09 alipokua
anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa.




Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mi nitampongeza akijenga hata room 2 mradi aishi kwenye nyumba yake...gari nitampongeza kiidogo

    ReplyDelete
  2. kwahiyo tugemee magari mengine kwakila cku yakuzaliwa kwake au cku yake hii ndo yenye hela nyingi! bado haijakaa kumkichwa hapo!

    ReplyDelete
  3. Hongera kwa gari zuri,hapo liko nyumbani kwako au kwenye nyumba ya kupanga?

    ReplyDelete
  4. Bora umekumbushwa kama bado huna mjengo,yasikukute ya mr nice
    bro.

    ReplyDelete
  5. Bongo supu kweli.
    Basilisk umnunulie alie kuza
    Wanufaisha madanguro

    ReplyDelete
  6. Hee watu mna wivu muacheni mtoto wa watu.. hata kama kanunua gari nyumba hana nyie inawahisu nn.. fanyeni yenu bana!!

    ReplyDelete
  7. Anonymous 11.52
    Na mbona gari kanunua yeye,kutuonyesha sisi inatuhusu nini?
    comments zinasaidia,sio wivu kama unavyofikiria wewe

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad