Ray C Anakuja na Taarab, Asema Khadija Kopa Ajiandae

Msanii wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C amefunguka kwa kudai kuwa ujio wake mpya kwenye muziki atakuja pia na nyimbo za taarab, huku akimtaka Khadija Kopa ajiandae.

Akizungumza na Sporah Show hivi karibuni, Ray C amesema kwenye albam yake ambayo inakuja hivi karibuni kunamchanyiko wa nyimbo mbalimbali zikiwemo taarab na zakihindi.

“Nimefanya taarab kama mbili na zook, yani nimebadilishika kabisa, kuna kwaito , kuna bongoflave ,uwindi hindi kidogo, taarab nimeimba pia ,kwaiyo Khadija Kopa ajiandae”Alisema Ray C.

Pia Ray amedai kuwa aina ya muziki anaokujanao kwa sasa hivi ni ule wa kuonyesha kipaji chake zaidi cha kuimba na siyo kucheza.
Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mkorogo shoga na huo wanja kama jini

    ReplyDelete
  2. Haitakulipa mrudie mungu imba gospel itakutoa vibaya angalia nyakati ulivyo kuwa artificial ita kucost mama

    ReplyDelete
  3. Bangi dawa zimearibu kichwa hazijaisha kichwani mwako. mkorogo uko kama jini alafu afya yako sio nzuri mimi navyokuona there ia something kuvimba sio kuvimba hata sielewi pole sana.

    ReplyDelete
  4. Usiwe inamtaja malkia wa mipasho ovyo hata siku moja juwezo jilinganisha nae we teja la mjini.

    ReplyDelete
  5. mbona alikua mzuri sana sasa ndo kaharibu.amepoteza ule mvuto wake wa asili.kama nyimbo zitakua kali sawa swala c kuchanganya tarabu,kwaito hindi.ni mtazamo wake ila havutii alikua super natural beautiful sasa hii da!

    ReplyDelete
  6. Naona unahangaika tu huna mpya nawe!

    ReplyDelete
  7. Vp km akipata ajal kuna kushona kwl? ivo ulivyo kaa nguruwe la kisasa

    ReplyDelete
  8. Muacheni asiposhoneka niyeye mwili niwake,maamuz niyake,imba tu hata hip-hop kama unaweza siumeamua kama itabamba itakuwa poa isipobamba poleyako.

    ReplyDelete
  9. ENDELEA MA MAISHA YAKO DADA BINADAMU HATUKOSWI NA MANENO,WANAKULISHA HADI WAKUKATISHE TAMAA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad