Msanii wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C amefunguka kwa kudai kuwa ujio wake mpya kwenye muziki atakuja pia na nyimbo za taarab, huku akimtaka Khadija Kopa ajiandae.
Akizungumza na Sporah Show hivi karibuni, Ray C amesema kwenye albam yake ambayo inakuja hivi karibuni kunamchanyiko wa nyimbo mbalimbali zikiwemo taarab na zakihindi.
“Nimefanya taarab kama mbili na zook, yani nimebadilishika kabisa, kuna kwaito , kuna bongoflave ,uwindi hindi kidogo, taarab nimeimba pia ,kwaiyo Khadija Kopa ajiandae”Alisema Ray C.
Pia Ray amedai kuwa aina ya muziki anaokujanao kwa sasa hivi ni ule wa kuonyesha kipaji chake zaidi cha kuimba na siyo kucheza.
mkorogo shoga na huo wanja kama jini
ReplyDeleteHaitakulipa mrudie mungu imba gospel itakutoa vibaya angalia nyakati ulivyo kuwa artificial ita kucost mama
ReplyDeleteBangi dawa zimearibu kichwa hazijaisha kichwani mwako. mkorogo uko kama jini alafu afya yako sio nzuri mimi navyokuona there ia something kuvimba sio kuvimba hata sielewi pole sana.
ReplyDeleteUsiwe inamtaja malkia wa mipasho ovyo hata siku moja juwezo jilinganisha nae we teja la mjini.
ReplyDeletembona alikua mzuri sana sasa ndo kaharibu.amepoteza ule mvuto wake wa asili.kama nyimbo zitakua kali sawa swala c kuchanganya tarabu,kwaito hindi.ni mtazamo wake ila havutii alikua super natural beautiful sasa hii da!
ReplyDeleteNaona unahangaika tu huna mpya nawe!
ReplyDeleteushuzi.
ReplyDeleteVp km akipata ajal kuna kushona kwl? ivo ulivyo kaa nguruwe la kisasa
ReplyDeleteHovyooooooo
ReplyDeleteMuacheni asiposhoneka niyeye mwili niwake,maamuz niyake,imba tu hata hip-hop kama unaweza siumeamua kama itabamba itakuwa poa isipobamba poleyako.
ReplyDeleteENDELEA MA MAISHA YAKO DADA BINADAMU HATUKOSWI NA MANENO,WANAKULISHA HADI WAKUKATISHE TAMAA
ReplyDelete