Ray C Ashawishiwa Kugombea Ubunge 2015 ili Kupigana na Vigogo Wanaoingiza Madawa Nchini


Makundi  mengi  ya  vijana  ndani  ya  mtandao  wa  facebook  yamekuwa  na  imani  kuwa  msanii  Rehema  Chamila  anaweza  kuwa  mtetezi  wao  mkubwa  endapo  ataamua  kuingia  kwenye  siasa...
Vijana  hao  wanaamini  kuwa  Ray C kwa  sasa  amepitia  changamoto  nyingi   hivyo  wanaamini  kama  akipewa  nafasi  ya  kuingia  bungeni  inaweza  kuwa  chachu  ya yeye  kupigana  na  watu  wanaoingiza  madawa  ya  kulevya  nchini  na  kuwaokoa  vijana  wengi  wanaopotea  kutokana  na  matumizi  ya  dawa  hizo


"Ray C kwa  nini  asiingie  tu  kwenye  siasa  na  akatutetea  kwenye  mambo  ambayo  hata  yeye  alikutana  nayo  hadi  yakataka  kumtoa  roho, tunaamini  anaweza  endapo  ataamua  kufanya  hivyo" alidai  kijana  mmoja  ndani  ya  mtandao  wa  facebook

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umeweza kutoka ktk madawa yakulevya ss uko ktk janga la mkorogo afu hujielewi kwa hilo?! Nalo ni tatizo pia,binadam gani anarangi km hiyo? Yani unatisha!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Duh kweli kabisa mdau!yaani utafikiri kinda la popo!zaman alikuwa mzuri sana black beaty lakin now?

      Delete
    2. Ray hakuwa mweusi. Basi tu kuona weupe alokuwa nao hautoshi

      Delete
  2. Kufulia ni shidaaaa

    ReplyDelete
  3. Kuwa mbunge si sababu,mbona mbunge wa ccm kinondoni Idd Azzan anatuhumiwa kujihusisha na madawa ya kulevya?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yupo pia na mh.Tambwe viti maalum ccm tabora,Riz1.

      Delete
  4. Mkorogooooooo, huoooo yaani dada amekuwa feki, hafaii, anapaka carolite

    ReplyDelete
  5. Anatafuta pa kutokea tu kwanza umr umemtupa mkono

    ReplyDelete
  6. Mbunge asokua na elimu ni mbunge? Labda awe mbunge wa mkorogo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wabunge kibao hawana elimu mbona

      Delete
  7. Watu wa media ndiyo zao hapo wameshapewa kitu kidogo kumpaisha. Swali la msingi ni. Je,ana uwezo? Ubunge haupatikani kwa sababu tu ya uzoefu wa kuwa teja au umaarufu wa jukwaani

    ReplyDelete
  8. Tanzania Ina maana?utashangaa anapewa ubunge ka kina kamata,ila nakushauri ukifika bungeni funga mdomo kula mahela ukijitia mdomo watakuua,ohooooo,zitto Kabwe wamemshindwa kumrestsha kwa kuwa na yeye anayaelewa mambo,Ni mtoto Wa kigoma.

    ReplyDelete
  9. Zitto kesharosti bado tu kuipuliwa.

    ReplyDelete
  10. mkorogo umekufanya uonekane mzee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad