Makundi mengi ya vijana ndani ya mtandao wa facebook yamekuwa na imani kuwa msanii Rehema Chamila anaweza kuwa mtetezi wao mkubwa endapo ataamua kuingia kwenye siasa...
Vijana hao wanaamini kuwa Ray C kwa sasa amepitia changamoto nyingi hivyo wanaamini kama akipewa nafasi ya kuingia bungeni inaweza kuwa chachu ya yeye kupigana na watu wanaoingiza madawa ya kulevya nchini na kuwaokoa vijana wengi wanaopotea kutokana na matumizi ya dawa hizo
"Ray C kwa nini asiingie tu kwenye siasa na akatutetea kwenye mambo ambayo hata yeye alikutana nayo hadi yakataka kumtoa roho, tunaamini anaweza endapo ataamua kufanya hivyo" alidai kijana mmoja ndani ya mtandao wa facebook
Umeweza kutoka ktk madawa yakulevya ss uko ktk janga la mkorogo afu hujielewi kwa hilo?! Nalo ni tatizo pia,binadam gani anarangi km hiyo? Yani unatisha!
ReplyDeleteDuh kweli kabisa mdau!yaani utafikiri kinda la popo!zaman alikuwa mzuri sana black beaty lakin now?
DeleteRay hakuwa mweusi. Basi tu kuona weupe alokuwa nao hautoshi
DeleteKufulia ni shidaaaa
ReplyDeleteKuwa mbunge si sababu,mbona mbunge wa ccm kinondoni Idd Azzan anatuhumiwa kujihusisha na madawa ya kulevya?
ReplyDeleteYupo pia na mh.Tambwe viti maalum ccm tabora,Riz1.
DeleteMkorogooooooo, huoooo yaani dada amekuwa feki, hafaii, anapaka carolite
ReplyDeleteAnatafuta pa kutokea tu kwanza umr umemtupa mkono
ReplyDeleteMbunge asokua na elimu ni mbunge? Labda awe mbunge wa mkorogo
ReplyDeleteWabunge kibao hawana elimu mbona
DeleteWatu wa media ndiyo zao hapo wameshapewa kitu kidogo kumpaisha. Swali la msingi ni. Je,ana uwezo? Ubunge haupatikani kwa sababu tu ya uzoefu wa kuwa teja au umaarufu wa jukwaani
ReplyDeleteTanzania Ina maana?utashangaa anapewa ubunge ka kina kamata,ila nakushauri ukifika bungeni funga mdomo kula mahela ukijitia mdomo watakuua,ohooooo,zitto Kabwe wamemshindwa kumrestsha kwa kuwa na yeye anayaelewa mambo,Ni mtoto Wa kigoma.
ReplyDeleteZitto kesharosti bado tu kuipuliwa.
ReplyDeletesoma kuhusu tendo la ngono kati ya diamond na sister ake
ReplyDeletemkorogo umekufanya uonekane mzee
ReplyDelete