Rihanna Anamzimikia Mchezaji wa Ghana Huko Brazil

Rihanna anamzimikia mchezaji wa Ghana, Kevin-Prince Boateng.

Da Bae doe! I might have to be team Ghana on this one idc idc idc pic.twitter.com/3GDQPU5KGe

— Rihanna (@rihanna) June 16, 2014

Kupitia Twitter, Rihanna alisema kuwa kutokana na mchezaji huyo anayekipiga pia FC Schalke 04, alijikuta akiwa shabiki wa Ghana ilipokuwa ikicheza na Marekani jana.

Hata hivyo huenda Riri aliangushwa na timu hiyo baada ya kufungwa bao 2-1.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mpe nyapu hiyo

    ReplyDelete
  2. Rihanna umejikwaa kisiki, Jamaa anapenda nyuchi ile mbayaa. Hanaga muda maalumu wa kugonoka.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad