Sabuni Hizi Zinaongoza Kuachanisha Ndoa

Ukienda guest au hoteli yoyote hapa TZ unakuta sabuni hizi za EVA zimewekwa kwenye bafu la choo cha chumba ulichopanga..

Kwa kawaida ni adimu sana kuikuta inatumika nyumbani,hivo nadhani hata watengenezaji wa hizi sabuni wanajua kuwa soko lao kubwa ni nyumba za wageni..

SABUNI HIZI ZINA HARUFU SANA..
Wanawake wanazijua sana harufu za sabuni hizi na ikitokea umerud nyumbani na harufu yake una maswali magumu ya kujibu,.

Inavosemekana baadhi ya ndoa zimevunjika kwasababu ya harufu ya hizi sabuni..

Ni wakati mwafaka wa kampuni inayozitengeneza kuangalia kama kuna umuhimu wa kuweka harufu kali kwenye bidhaa yao hii..

Wasiozijua kwa jina picha hiyo hapo..
Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Siku hz hazina harufu

    ReplyDelete
  2. Mwandishi ulijuwaje au yashakukuta? Pamoja na 12:04

    ReplyDelete
  3. Nan a2mie visabun hvyo! Ss 2naendaga na sabuni zetu!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Duh kwel we kiboko mwenzetu mpka una beba na sabuni

      Delete
  4. Asante kwa taarifa

    ReplyDelete
  5. pia ni nzuru kwa punyeto!

    ReplyDelete
  6. Mke wako nae kama anajua harufu ya sabuni hiyo nae ana utata labda na yeye alishaenda gesti akaogea ndo maana anaijua harufu hi yo so wote wezi tu bora kama ndoa hamziwezi mkae singo kuliko Kuanzisha familia halafu watoto wanakuwa victims wa ushenzi wenu

    ReplyDelete
  7. la msingi michepuko sio dili mubaki njia kuu...mdau elvis frm USA

    ReplyDelete
  8. Nooma sana, watu wanachepuka balaa ni shida, jamani hebu tuache kuchepuka, maana mmoja anapo chepuka mwingine akigundua lazima nae achepuke

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mchepuko ndio dili njia kuu foleni.....!

      Delete
    2. Safi sana mdau 11:06, yes we can!!!

      Delete
  9. Hahahaha!! Eti na nizuri kwa punyeto # Anoymous 4:27

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad