Ukienda guest au hoteli yoyote hapa TZ unakuta sabuni hizi za EVA zimewekwa kwenye bafu la choo cha chumba ulichopanga..
Kwa kawaida ni adimu sana kuikuta inatumika nyumbani,hivo nadhani hata watengenezaji wa hizi sabuni wanajua kuwa soko lao kubwa ni nyumba za wageni..
SABUNI HIZI ZINA HARUFU SANA..
Wanawake wanazijua sana harufu za sabuni hizi na ikitokea umerud nyumbani na harufu yake una maswali magumu ya kujibu,.
Inavosemekana baadhi ya ndoa zimevunjika kwasababu ya harufu ya hizi sabuni..
Ni wakati mwafaka wa kampuni inayozitengeneza kuangalia kama kuna umuhimu wa kuweka harufu kali kwenye bidhaa yao hii..
Wasiozijua kwa jina picha hiyo hapo..
Siku hz hazina harufu
ReplyDeleteMwandishi ulijuwaje au yashakukuta? Pamoja na 12:04
ReplyDeleteNan a2mie visabun hvyo! Ss 2naendaga na sabuni zetu!
ReplyDeleteDuh kwel we kiboko mwenzetu mpka una beba na sabuni
DeleteAsante kwa taarifa
ReplyDeletepia ni nzuru kwa punyeto!
ReplyDeleteHahahahahaha
DeleteMke wako nae kama anajua harufu ya sabuni hiyo nae ana utata labda na yeye alishaenda gesti akaogea ndo maana anaijua harufu hi yo so wote wezi tu bora kama ndoa hamziwezi mkae singo kuliko Kuanzisha familia halafu watoto wanakuwa victims wa ushenzi wenu
ReplyDeletela msingi michepuko sio dili mubaki njia kuu...mdau elvis frm USA
ReplyDeleteNooma sana, watu wanachepuka balaa ni shida, jamani hebu tuache kuchepuka, maana mmoja anapo chepuka mwingine akigundua lazima nae achepuke
ReplyDeleteMchepuko ndio dili njia kuu foleni.....!
DeleteSafi sana mdau 11:06, yes we can!!!
DeleteHahahaha!! Eti na nizuri kwa punyeto # Anoymous 4:27
ReplyDelete