"Kwasababu Nampenda Mpenzi Wangu Shilole Nimeamua Kujichora Tattoo ya Jina Lake 'Shishibaby' Kwenye Mkono wangu, wakati nachorwa iliuma sana kuliko tattoo yangu ya Kwanza na hii Tatoo Haita Futika Milele na Milele" Nuhu Mziwanda aliandika maneno hayo
Naye Shilole Alipost Picha hiyo ya Tatto na Kusema "Thanks My Love for This Umeonyesha Love ya Ukweli"
Je wewe Unaona ni Sahihi Kujichora Tattoo ya Jina la Mpenzi wako ambae hata bado hamjui kama mtaoana ? Na je Mkiachana itakuwaje?
mnh yaleyale ya kina diva . mapenzi ya kitoto sana haya hawafiki popote
ReplyDeleteNi mtazamo tu
ReplyDeleteHahahaaaa!!!!!!!mahaba niue hayo na siku wakiachana ajichore tena kwamba kaachwa
ReplyDeleteDuuh dogo akaze moyo madem wenyewe ni hawa wasanii wakibongo.
ReplyDeleteMgeni wa hao watu
ReplyDeleteMgeni sana wa hao wasanii atalia huyo na hayo mahaba niue yake ulimbukeni huo cku akiachwa ndiyo atajuta alichokifanya
ReplyDeleteDah huyu jamaa hajajua kuwa haifiki mwezi august 2014 watakuwa wameshaachana
ReplyDeleteHahahaaa umesema km mganga vile
DeleteNapenda sana couple yao ila Nina mashaka sana na shilole..au hana mapenz ya keel kwa mwenzie au anaona noma kujiachia kwa ajil ya maneno ya watu....coz huatumii Dk nyingi kujua kuwa dogo ndo anaeka waz mauhusiano yao kuliko shishi...siombei mabaya ila ngoja tuone looh
ReplyDeleteDaaa! wacha move iendeleeeee!
ReplyDeleteHahaaaa! haya mambo ya kuiga mabaya haya yangu macho
ReplyDeleteMziwanda mziwanda maji marefu hayoo huyawezi shauri yako nakuona kwa mbaaaliiii unazama...hilo gume gume limeshinda mitume..paka la bar dogo unapotea mazima bora upotee njia utaelekezwa na walimwengu ukipotea kuoa tutakupoteza mazimaaaa
ReplyDeleteda mwacheni dogo afaidi nyapu ya shishi baby
ReplyDeleteKwanza shilole ni Malaya sn nimefanya nae kazi frorida executive hotel kariakoo alikuwa anatembea na mkurugenzi wa pale na yule boss in mgonjwa mziwanda jiandae ht durayo kaishamtomba shilole yaani huyo Dada anamapepo ya ngono wageni wenyewe kawamaliza
ReplyDeletekaza mwanangu watasema menga xana kwakuwa upo na mtot mzuri shsh. achana nao hao wivu unawasumbu. juwa kwamba huyo dem ni superstar kwa kila mtu anamtaman angalau auze sura nae. usiwasikilize hao.
ReplyDeletemaweeeeh! dogo yuleeeh!
ReplyDeleteHuyu mziwanda akili zake zitakua hazimtoshi
ReplyDeleteAkikua ataacha...
ReplyDeleteayeeeeh! ayeeeeeh! she don want ferrariooh! she belong to miioooh! dogo kama davido! hahahaah!
ReplyDelete