Kwa muda wa siku mbili sasa huduma ya Mpesa kupitia mtandao wa Vodacom imekuwa haipatikani na hakuna kauli rasmi kutoka mamlaka zinazohusika kuhusu nini hatima ya pesa za watu au nini kifanyike katika tatizo lililopo.
Serikali ndio iliyoruhusu matumizi ya Mpesa na hata yenyewe inakubali kufanya shughuli zake kwa malipo ya kupitia mitandao hiyo, hivyo ni suala ambalo wao wenyewe wanalitambua na kulikubali.
Sasa kwa nini kama kwa siku mbili hakuna hii huduma na watu wanapesa zao huko TCRA au wizara mbona wako kimya?
kumamake voda wametupga hela zetu ,rais anasema anatuletea trey songs na usher.. hahaha ah kumamae
ReplyDeleteyan voda wamechemsha jabisa hela zetu za simu wanafanyia mitaji yao washenzi siku 3 lzm tuandamane
ReplyDeleteyaan kiukwel huduma za voda zinaboa kabisa, kama wameshindwa wauze kampun, wanafanyia biashara pesa zetu, upuuz mtupu
ReplyDeleteyan kabisa pesa zetu zinafanyiwa biaashara jaman tuandamane siku 3 wako kimya awatuombi samahani
ReplyDeleteivi jamani selikali mbona iko kimya au lao moja tunakufa wakiludisha tu natoa pesa zangu zote siludii tena
ReplyDeletePoleni ndg, DECI.....! Mi nilishaamua kurudi tu benki mapemaaaaa. Kutoa ef 10 umakatwa EF 3, nn hiki?
ReplyDeletemgomo baridi baada ya kuunganishwa kwa kampuni nyingine kwa hio huduma....mpesa ni walafi manina zao
ReplyDelete