Uraibu huo unaohusisha uvutaji wa Tumbaku yenye ladha tofauti tofauti ambayo hutiwa ndani ya chupa kubwa na kuvutwa kwa mirija, umeshika kasi sana Tanzania hasa miongoni mwa vijana wadogo mjini Dar Es Salaam.
Baadhi ya watu wanaiona Shisha kama isiyokuwa na madhara ya kiafya ikilinganishwa na uvutaji wa Sigara.
Lakini wataalamu wanaamini kuwa uvutaji wa Shisha kwa muda wa saa moja ni sawa na kuvuta sigara miamoja.
Madaktari walitoa onyo kuhusu uvutaji wa Shisha wanakabiliwa na tisho la kuugua Saratani sawa na hatari inayowakabili wavitaji wa sigara.
shisha ni haramu, sigara 100 je?,
ReplyDeleteTumeona madhara ya uvutaji wa shisha lakini hujabainisha madhara ya uvutaji wasigara moja,
Ni serikali ya hovyo inayokaa kimya huku vijana wengi wakiathirika na unywaji wa viroba. Viroba ni janga la kitaifa,kenya who are always ahead of us wameshzvipiga marufuku viroba.
ReplyDeleteSerikali my foot ! Watu wanauza madawa ya kulevya na wanajulikana, inamaana serikali haiwaoni! Mateja wamezaga bara barani , watuhumiwa wanakamatwa nchi za watu ila wakifika TZ wako huru! Ina maana serikali haioni? Watoto wana bakwa na watu wazima na sheria haichukuliwi! Inamaana serikali haioni?? Leo hii mtu anavuta sisha kwa mapenzi yake na starehe zake, eti serikali imeipiga sisha marufuku!!! Shisha si kama sigara tu!!?? Yaani serikali kazi yake ni kupiga marufuku vitu vizivyo kuwa na kichwa wala miguu. Mara shisha, mara video za wavaa bikini, mara kanga moko, mara vigodoro, ivi kweli inaingia akilini hiyo!! Sad sad
ReplyDeleteHayo ndio mmeyaon. Taifa linateketea kwa kukosa nguvu kazi nyie mnapiga marufuku shisha? Vip kuhusu hivi viroba? Mwanafunzi anaenda shule na viroba kwenye mkoba, mkulima anaenda shambani na viroba, wananchi wamegeuza viroba kama kifungua kinywa. Ukowapi ule usemi wa nguvu mpya, hari mpya na kasi ya ajabu? Au ilikuwa nguvu ya soda?
ReplyDeleteTru...Shisha isnt good for health...nchi niliyopo wamepiga marufuku pia...inaweza kusababisha sudenly death n oda effects in the hrt....Good job serikali ...aya bado bangi na madawa pigen vita na iyo basiiiii
ReplyDeleteNchi uliyopo shisha inauwa watu hafla!! Nchi gani? 2. Tanzania shisha haijauwa watu ghafla ila unga unawatesa watu na kuwauwa pia. Unga upigwe MARUFUKU!! Sibora shisha inakuuwa ghafla, unga unakutesa na kuitesa jamii yako nzima before haijakuuwa!! Good job serikali my A**
DeleteKama madawa ya kulevya a bangi zinavyotumiwa kwa siri basi na shisha tutaendelea kuitumia kwa siri majumbani mwetu.OVER..
ReplyDeletehahahahahaha umenena mdau
ReplyDelete100.upo wapi tupate bia 2 3
DeleteTANZANIA is a dampo
ReplyDeletemwenye sikio na asikie..
ReplyDeleteViroba viliua kaka yangu tarehe 20/01/2014. R.I.P.
ReplyDeleteSio kosa lake ni serikali ya ccm ilimuua kwa.kuruhusu wananchi wake kunywa( sumu)viroba.
DeleteR.I.P
ReplyDeleteFuck the government, wauza unga,watoa vibali vya kufungua makasino,mabaa,wadhulumati,waizi,wala kodi za wanyonge,waharibifu wa mabinti za watu,wake za watu,....fuck politicians,fuck president,fuck member of parliament na kama unai support serikali fuck u too.
ReplyDeleteJipige mwenyewe dole la mkundu
DeleteNaomba kuuliza jamani viroba ndio nini? Maana naona kila mtu anaongelea viroba viroba!
ReplyDeleteViroba ni pombe aina ya.gongo,piwa au chang'aa ambayo hupakiwa kwenye pakiti ndogondogo za plastiki.Ni pombe rahisi inauzwa kuanzia shilingi 200 za kitanzania.Huuzwa.kinyume cha sheria kila mahali mpaka wanafunzi huvibeba viroba kwenye mabegi ya.shule kunywa na.kuuziana darasani.Anayekunywa huanza kutokwa na akili ,na mabega yake hupanda juu kama ya kuku mwenye utitiri.Viroba ni kama vidonge vya majira kwani.wanywaji karibu wote huishiwa na hamu ya kuDo hadi wanasaidiwa hiyo kazi.Wengi wakilewa hujinyea na.kujikojolea.Viroba huua wengi kwa ajali na hutoboa tundu kwenye koo kwa saratani.Viroba vimeshapigwa marufuku Zambia,malawi,rwanda ,kenya nk.hapa tanzania kama kawaida serikali ya ccm ipo usingizini.
Deleteni kweli kabisa, pamoja na hayo naongezea ufunguzi wa pub, baa bubu(karibu kila nyumba), na ufunguzi wa baa/casino mtaani zinazokesha usiku kucha bila kujali siku za kazi zenye kujaza makahaba wake na kiume bila kificho, nchi sijui inaelekea wapi! Mungu saidia watoto wetu.
ReplyDeletekiroba ni aina ya kilevi kama ilivyo konyagi iko katika pakiti ya ujazo mdogo kwa bei rahisi sana(hata mpiga debe anakunywa bila maumivu wala kujiuliza) inapatikana kila mahali hadi standi za daladala.
ReplyDeleteAsante mdau kwa kunijibu swali langu...Shukrani!
DeleteMlevi wa kiroba ni lazima ajinyee na kujikojolea mara kwa mara.Majanga.
DeleteWapige marufuku ushoga kwanza fuck government
ReplyDeleteViroba vimenifanya kilema,nimefilisika na mzazi mwenzangu hanitaki tena.mnanishauri nini wadau?
ReplyDeletemhhhhhhh.......wewe unaesema utatumia shisha ukiwa kwako....TUMIA WANGU UTUKOMOEEE mana utatukomoa kwelii
ReplyDeleteMbona sigara hawapigi marufuku?
ReplyDelete