Picha chafu zinazodaiwa kuwa za star wa filamu nchini Shamsa Ford na mbunge wa Chadema, Salvatory Machemli zimeanza kusambaa kwa kasi mitandaoni tangu jana,. Picha hizo zinawaonyesha wawili hao wakiwa kitandani kwenye mahaba mazito. Hata hivyo picha hizo zinatia shaka kuwa sio halisi ni za kutengenezwa ingawa hatuna uhakika kwa asilimia zote kwasababu msichana anayedaiwa kuwa Shamsa Ford ana umbo tofauti na la star huyo, Shamsa ana umbo la kawaida ki-shape lakini msichana huyo anaonekana kuwa na umbo namba nane.
Jana baada ya kuona picha hizo ambazo zimeenezwa hasa kwenye pages za kisiasa kwenye mitandao ya kijamii zikimuandama mbunge huyo wa ChademaSwahiliworldplanet ilimtafuta Shamsa na kumueleza kila kitu na kwa kujiamini Shamsa alisema sio zake hizo picha zimetengenezwa na pia msichana anayeonekana kiumbo wako tofauti na hata sura na akasema anajiheshimu sana na ana familia yake asingeweza kufanya jambo kama hilo, alipoulizwa je anafahamiana na Mh. Salvatory Machemli pia alikana kujuana nae achilia mbali kuwahi kukutana nae "zimedaiwa kuwa ni mimi but sio mimi, naomba uangalie hizo picha vizuri au kama upo WhatsApp nikutumie halafu uone je ni mimi? kabla sijakujibu" Shamsa alifunguka
Star huyo anayefanya vizuri na filamu kibao aliendelea kwa kusema "si umbo hata sura ni tofauti, sijawahi hata kumuona huyo mheshimiwa, nahisi ni watu ambao wananichukia wanataka kunichafua, kiukweli nawaomba mashabiki wangu kabla ya kuanza kunihukumu waziangalie kwanza hizo pictures vizuri, mimi nina familia na najiheshimu"
Kwa upande mwingine baadhi ya wachangiaji mitandaoni wamedai kuwa picture hizo ni za kutengenezwa kwasababu Mh.Machemli ana kitambi lakini katika picha hizo hazimuonyeshi akiwa na kitambi, wengine wamesema kuwa picha hizo zimechukuliwa katika mtandao mmoja wa ngono na kufanyiwa photoshop lengo lake likiwa ni la kumchafua kisiasa mbunge huyo ambaye anadaiwa kukumba na misukosuko ya mara kwa mara. Hata hivyo ukweli wanaujua wenyewe.
NB. Tumeshindwa kuziweka picha hizo zikiwaonyesha mwili mzima kutokana na sababu za kimaadili.
Hii ya machemli ni photoshop,lakini ile ya kapten Komba na kisichana.kalikovaa kanga moja ni ya ukweli mtupu.
ReplyDeleteHuyo dada hata sio shamsa ford cjui ni nani, wizara ya mawasiliano wfnye uchunguz juui ya upuuzi huu wa photoshop
ReplyDeleteSio shamsa huyo..
ReplyDeleteKusoma hatujui basi hata picha tuone jamani kweli huyo ni shamsa huyo
ReplyDeleteAtakuwa mama yako huyo siyo shamsha mbwa koko wewe
DeleteSio Shamsa Shamsa anamikono minene ila ya komba ukwel mtupu halooo uzee mwisho Chalinze
ReplyDeletehuyo sio Shamsa angalieni vizuri pic.
ReplyDeleteWabunge waONGOZA kwa mICHEPUKO,uZE mWISHO CHALINZEEE...ongezeko la posho waenda kuchepukia
ReplyDeleteHuyo si shamsa mnamchafua tu dada wa watu wala si yeye hiyoooo.
ReplyDeleteHUYO SIO SHAMSA.....MJADALA UMEFUNGWA
ReplyDeleteMnao taka kumchafua mme shindwa ktk jina la bwana, bidada tangu aolewe ametulia sana ana jiheshim sana so msimuandame mwacheni afaid ndoa yake
ReplyDeleteWakuache shamsa miaka mia nane yaani unavyojiheshim roho zinawauma wanaona wakuchafue ili uachwe wamechemka sana tu
ReplyDeletewashindwe nawalegee wavulugaji wandoa zawatu mnaona sifa wasenge nyie
ReplyDeleteNi bora mara kumi wangeweka ya Mchungaji Gwaj na Flora Mbasha tungeelewz,hii ni feki.
ReplyDeletesoma kuhusu tendo la ngono kati ya diamond na sister ake
ReplyDeletediaomond na dada yake?
ReplyDeleteMdau 12:08 ahsante kwa msaada wako na pole kwa usumbufu ila hujaombwa kutupa taarifa maana hata sisi tunavyanzo vyetu vya habari, isitoshe huo ni undugu wa mbali sana
ReplyDeletewala wasmsingizie shamsa hana tabia za ajabu,mitandao jamani sa hiv mnaboa sanaaaa...kuweni na habari za uhakika jamani,mnaweza mkatoa za ukweli jamii isiwaamini tena coz mnatoa habari za uwongo kila mara.....this is really nonsense.
ReplyDelete