Stori: Haruni Sanchawa na Shakoor Jongo
HABARI zilizotua kwenye meza ya Uwazi juzi zinadai kuwa familia mbili, ya Emmanuel na Flora Mbasha zimeweka kikao kwa siku tatu mfululizo kutaka kuinusuru ndoa ya wawili hao lakini imeshindikana huku pembeni ikidaiwa kwamba ili mambo yakae sawa lazima Mbasha alipe shilingi milioni 60.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, kikao hicho kiliitishwa na baba wa Mbasha kwa kushirikiana na ndugu wengine wa pande zote mbili.
“Mbasha na mke wake, Flora walikutanishwa sehemu fulani jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kupatanishwa. Kikao kilikuwa kizito, wakubwa wa familia zote walikuwepo lakini Flora alikataa mara tano kurudi kwenye ndoa yake.
UWAZI LAPIGA HODI NYUMBANI KWA MBASHA
Juzi Jumapili, Uwazi lilitia timu nyumbani kwa Mbasha, Tabata-Kimanga jijini Dar na kubahatika kuzungumza na baba na mama wa Mbasha bila kumpata Mbasha mwenyewe.
Mzee huyo aliyejitambulisha kwa jina la Maneno alikiri kuwepo kwa kikao kwa muda wa siku tatu tofauti lakini akasema mambo yalishindikana.
“Mimi nilikuja Dar kutokea Dodoma wiki moja iliyopita baada ya kupata wito wa mwanangu kuhusu mgogoro wa ndoa. Nilipofika hapa, sikumkuta Flora, nyumba ilikuwa tupu.
“Kikao kiliitishwa na pande zote mbili, akiwemo Mchungaji Gwajima ambaye alionekana kusuluhisha mgogoro wao lakini dalili za Flora hazikuonesha kuwa tayari kurudi kwenye ndoa yake,” alisema mzee huyo.
KUNA MKONO WA MTU
Mzee Maneno aliendelea kusema: “Mimi kama mtu mzima, nilichokiona katika ndoa ya mwanangu kuna mkono wa mtu. Ila sasa ametumia mbinu kubwa sana kumrubuni Flora na yeye kakubali kurubunika.”
MAMA MZAZI NAYE
Kwa upande wake, mama mzazi wa Mbasha, Zulfa Maneno alisema kwake ni masikitiko makubwa kwa sababu mtoto wake alishakuwa na jina kubwa kimataifa na mkewe pia.
Alisema: “Mimi kwenye kikao nilipomwona Flora anakataa ndoa yake mara tano, kila akiulizwa anasema hataki kurudi mpaka mara tano, nikajua hakuna ndoa.
“Ninachojua, mgogoro huo wa ndoa ulitengenezwa kwa makusudi kabisa ili ndoa ivunjike. Ila kama aliamua kumwacha mwanangu angefanya hivyo kwa amani na si visa kama hivi.”
Kuhusu kutakiwa shilingi milioni sitini ili Flora arejee kwenye ndoa yake, wazazi hao walisema hawajui kitu labda kama yanasemwa pembeni.
KULIKUWA NA MGOGORO
Habari zaidi zinadai kwamba, fedha zinazotakiwa kulipwa ni kwa sababu, ndoa hiyo ilikumbwa na mgogoro kabla ya kuibuka kwa madai ya Mbasha kumbaka shemeji yake.
Flora aliwahi kufungukia hilo kwamba, kabla ya kutokea kwa madai ya ubakaji, alitibuana na Mbasha na akaamua kuondoka nyumbani kwenda kuishi hotelini.
DALILI MBAYA
Kuna madai kwamba, siku ambayo Mbasha alikwenda kujisalimisha polisi (Juni 16, 2014), Flora alipigiwa simu kujulishwa lakini hakutokea kituoni.
Ikazidi kuelezwa kwamba, siku Mbasha anapelekwa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar kujibu madai ya ubakaji, pia Flora alijulishwa lakini hakutokea mahakamani hapo.
Mbali na kupelekwa mahakamani, habari za uhakika zinasema hata pale Mbasha alipokosa dhamana na kupelekwa kwenye Gereza la Keko, Flora alijulishwa, lakini hakufanya lolote.
“Je, kwa hayo yote ni kweli Flora anaipenda ndoa yake? Si jibu lipo wazi kwamba hakuna ndoa.” alisema mtu mmoja aliye karibu na familia hiyo.
MBASHA BAADA YA KUTOKA JELA
Ushahidi wa majirani umeweka bayana kwamba, Mbasha alipotoka gerezani na kufika nyumbani kwake, Tabata-Kimanga, Dar, walimfuata na kuangua kilio mbele yake huku wakimpa pole kwa mkasa mzima.
Baadhi ya majirani waliozungumza na Uwazi juzi, walisema kuwa siku hiyo nyumbani kwa Mbasha kulikuwa na dalili zote za kuwepo kwa msiba kwani vilio vilitawala.
MADAI
Mbasha, alipandishwa mahakamani Juni 17, mwaka huu kwa madai ya kumbaka mara mbili shemeji yake (jina tunalo).
Siku hiyo alikosa dhamana na kupelekwa Gereza la Keko ambapo Alhamisi ya Juni 19, mwaka huu alirudishwa tena mahakamani hapo kwa ajili ya dhamana. Kesi yake itaanza kusikilizwa Julai 17, mwaka huu huku ikielezwa kuwa upelelezi umekamilika.
GPL
dah kumbe wanawake mna roho mbaya!!!! duh! hata kumuonea huruma bwana wako? na injili unaimba kwa shhaaaangweee!
ReplyDeleteFlora ni nomaa umembwaga mshikaji na ukampeleka jela. ushauri wangu kwako achana na mziki maana umetuboa
ReplyDeleteChezea penzi LA nje ya ndoa tamuje,nyie wazazi tafuteni namna ya kumsaidia kijana wenu atoke kwenye hayo matatizo,hiyo ndoa mkiilazimisha sana watu watajawekeana sumu,ila hilo pepo lililokukumba dada majibu yake siku c nyingi utayapata,uyo mchungaji atakuacha,na tz hakuna mwanaume ataekuthubutu kwa roho ngumu hiyo,utalia na kuhangaika na dunia,umzuri kwakuwa una Mumeo na maarufu,but umaarufu wako ndo umeishia hapo na mume humtaki,pole we mungu akupe macho uone bidada,
ReplyDeletewaandishi nanyi ni wa wachochezi namba moja,mnayoandika mengine siyo,mimi ni jirani wa hao wanandoa,mengi mnayoyaandika ni kwa kupamba magazeti yenu,hivyo sio jamani.
ReplyDeleteflora watch out midomo ya watu wengi sana imekuapiza hutaweza tena kufanikiwa kimaisha ondoa hizo laana kwanza. usiidharau hii midomo ukaona ni mabishano ya kawaida tu kuna nguvu ya uumbaji kwenye haya maneno wanayokulaani nayo kila mtu
ReplyDeletelaana utaipata wewe unayelaani wenzio. ovyo mnamlaani kama nani hv mnajua aliyipitia hebu kwendeni huko mnataka afie hapo kwa matatizo mseme kifo kimewatenganisha ovyo kabisa angaikeni na yenu. Flora unaijua biblia unajua unayopitia sie wapita njia wasafisha vinywa tunajua ya mitaani tu hatuna jipya wazijua sababu ambazo biblia inaruhusu ndoa kufika mwisho sikiliza moyo wako.
DeleteHaaa kama na wewe umekuja kusoma coment za watu like niku add
ReplyDeletesasa ukiwa jirani ndio utajua nini kimeongelewa kwenye kikao cha family mfyuuuuu
ReplyDeleteHivi mbasha mnamuona yuko perfect? Mtu akishondwa ndoa mwacheni.hv mnajua flora amemvumilia mangapi! Ndo mjue mwanamke akichoka kachoka kweli hageuki nyuma.
ReplyDeletena hatuta sikiliza nyimbo zake amuimbie mchungaji
ReplyDeletekwenda zako we flora kama ulijua huwezi ndoa ulitafuta nini kanisani bazazi mkubwa wewe kumtia mwenzio nuksi tu,utalaaniwa we,huyo aliyekupangisha hoteli ni mume wa mtu tena ni mchungaji,unazidi tenda dhambi juu ya dhambi,eti umeokoka,unatuonyesha mifani gani sisi tunaosali kanisani kwake?akununulie gari,akupeleke uingereza kusoma,akusomeshee mtoto,Mbasha kulalamika tu mkafumua kesi ya ubakaji,mbasha na shemejio wameanza tembea leo?wewe uko hotelini unakula raha umemuacha mdogo wako na mumeo unategemea nini?kenge wewe,tuone utapoishia mjaa laana ya mchungaji kulola,you will never be happy,kumtesa mwenzio kiasi hiki,Paka shume weee kula raha na gwajima mwisho wake utauona.
ReplyDeleteNIMSAMEHE MTU MARA NGAPI? YESU ANAJIBU, SAMEHE SABA MARA SABINI, FROLA IDADI HY IMETIMIA??
ReplyDeleteufukala wa Mbasha umemfanya mkewe amkimbie ingekuwa Mumeo ana hela ndefu unafikiri yooote haya yangetokea?kama kabaka wala usingemtangazia mtu ungejinyamazia kimyaaaaa mkayamaliza kifamilia,umenikwaza sana flora nilikuwa nasali kanisa la hawala yako sasa hivi sikanyagi tenaaaaaaa
ReplyDeletemke wa gwaj wake up and smell the coffee,fanya utafiti wako wa kina kuhusu mumeo na flora,ohoooooooooo
ReplyDeleteflora wewe umeokoka mbona unapaka wanja kama shangingi lililokosa bwana?
ReplyDeleteHihihihihihihiiiiiiiiii...!!!!
Deletesio picha hiyo kuna picha umepiga miwanja umeipandisha ukooooo,duuuu
ReplyDeletefrola analilia hogo la ngwajima miache atobwe nje nazan ndo ameonjeshwa na boro la nje chezea mtarimbo wee chezea kupigwa katerelo
ReplyDeleteFanya ufanyavyo lkn maisha yako yataishia pabaya sana, hii ni dunia bidada, mungu ampe nguvu mbasha kuyashinda majaribu
ReplyDeleteLabda anataka aishi bila mume kama Bahati bukuku.hawa si mashangingi.sijui hata wanatuimbia nn.Mungu alisema kifo ndio kitawatenganisha,
ReplyDeleteWe fala kweli unajua bahati gonjwa aliloletewa na mmewe? Ulitaka afie apo ndani kiss eti aonekane ana mume, kweli ubongo wako umeganda we kima
Deletejamani mmenisema sana. lkn katu sigeuki nyuma gwajima ana mboo ya maombi inanifikisha kileleni mimi mwenyewe maskini nikaishi na masikini mwenzangu mniache na gwajima wangu mfyuuu
ReplyDeleteaaaaastaghafulillah!
ReplyDeleteTehetehetehe..... anyomous wa 9:39 umenivunja mbavu kweli
ReplyDeleteHalafu Gwajima kesha vuruga dada huyu nilikuwa napenda sana wimbo wake wa mwanamke asiye na busara atavunja ndoa yake kwa mikono yake mwenywe, halafu yeye mwenyewei ameonyesha jinsi asivyo na busara. Hawa wahubiri wa kitanzania ni watu wa ajabu kweli, yaani Gwajima kavuruga ndoa ya Flora kwa sababu za tamaa zake za kimwili, siyo za kiroho, vile vile Mwingira naye alivuruiga ndoa ya mfuasi wake mmoja hadi kumwambukiza magonjwa kwa tamaa hizi hizi. Yaani wachungaji hawa hawatosheki na wanawake wote wanaopiga foleni?
ReplyDeleteMungu awatangulie katika jambo hilo
ReplyDeletejaman flora kumbuka kila kitu kina mwisho huyo unayedhani anakufaa ipo siku utajuta walaah nakwambia....Mungu hapendi kuachana flora!!
ReplyDeleteNIMSAMEHE NDUGU YANGU MARA NGAPI? YESU AKAMJIBU SISEMI MARA SABA TU BALI SABA MARA SABINI. Flora Mbasha sio malaika asikosee, msamehe, weka wazi nakosa yake mbele ya wazazi wenu, sema kwa namna gani umemvumilia na ambavyo wewe ni mkamilifu usiyemkosea wewe. Mwache atubu kwa Mungu na kwenu pia kwa maanadhambi imeandikwa ungamianeni dhambi zenu ninyi kwa ninyi. Mpe nafasi ya kutubu. Nawaombeni namba ya Flora niongee nae Jamani. MIOYO YETU INAFADHAIKA SAANA.
ReplyDeleteFlora nakusihii sana kama ndoa yako huitaki tena kwa kuwa mumeo ni mzinzi hakikisha wewe u safi na sio mzinifu ili kumuhukimu mumeo Ila kama na wewe unafanya hiyo dhambi basi sameheaneni. Flora Gerezani sio pa kumpeleka mumeo. Fantastic jitihada Zorro UMSAMEHE.
ReplyDeleteFlora muombe Mungu akusaidie kufanya maamuzi yaliyo sahihi usikurupuke utaja juta maisha yake yote, angalia wimbi la laana unazopata na ujiulize kwa nini mbona aliyekosea hajalaaniwa hivi.....kaz kwako bidada.
ReplyDeleteJamani mbona mnamhukumu sana Flora mnajua amepitia nini
ReplyDeleteAsingeenda funga ndoa kanisani,angeenda bomani,ukifunga kanisani ndoa ujue hata ukimfumania kitandani unaambiwa umsamehe Mara sabini
DeleteMwanangu,ukiamua kumfuata YESU, uwe tayari pia kwa Majaribu Lakini,Atakae vumilia mpaka mwisho, ATAOKOKA.
ReplyDeleteFrola, mbona umeupu nguza urefu msalaba ambao ni daraja lako la ushindi.? Ukifika kwenye mto mpana utavukaje? Ili hali msalaba(daraja) umeshaukata.? Utabaki nyuma,au utadumbukia majini(dhambini)
YESU anasema. "Atakae kuja kwangu,ajikane mwenyewe,kisha auchukue mzigo wake anifuate."
Anaendelea kusema kuwa, ....amwachae mke/mume,akaolewa au kuoa,ANAZINI.
Sasa,huoni kama umemfungulia mlango shetani afanye makao rohoni mwako.?
Uhakika wa ya kwamba mbasha kabaka au hakubaka, sina.
Lakin,inasemekana kwamba mdogo wako alibakwa mara3. Je.! Wewe ulikuwa wapi mpaka yote haya yatokee.? Ulikuwa unatumia muda gani wa kuwa nae, au ndo yale ukiondoka asubh unarudi ucku,na ukiguswa unasema nimechoka.? Unafikiri Mbasha mpaka anafanya hivo,hakuwa na kiu ya ndoa.? Na nani wa kummalizia kiu hiyo.? C.wewe.?
Ckulaumu,ila sarafu ina pande mbili,geuza na tazama pande zote mbili. Pia ukinawa uctazame 2 kiganjan, geuza nyuma ya viganja uone nimenawa vizuri kweli?
Uambiwayo ni mengi lakin,usiyameze mara moja,yacheue,yatafune upya meza yaliyo mema.
MAAMUZI YAKO YA LEO, NI MATOKEO YA KESHO. Ukiweza like,nikuadi