Staa wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amefunguka kuwa kwa sasa hatakubali tena kusumbuliwa na wanaohoji juu ya maisha yake mapya ya wokovu.
Akizungumza na paparazi wetu, Mainda alisema mwanzoni alikuwa anapata shida sana kuishi na watu kwani yeye kama msanii kila anachofanya watu wanachukulia ndivyo sivyo na hata katika wokovu pia wanahoji kama atauweza kitu ambacho anaamini hatotetereka.
“Nimejifunza vitu vingi sana kutokana na ustaa wangu, watu wengi wananiangalia kwa jicho linginewanataka kuona je Mainda ana mabadiliko gani baada ya kuokoka? Ninapoteleza kama mwanadamu utasikia watu wanasema mimi si mlokole, siwajali kwa sasa,’’ alisema Mainda
Shikilia imani yako mumy wanadamu hawana jema. na Mungu wangu akubariki.
ReplyDeletemungu akutangulie mwayaa
ReplyDeleteUnaokakaje kabla hujakutana na adhabu yenyewe muwe mnafikiria!!!!!!!!!
ReplyDeleteHata wakuseme vp na mkorogo hauachi ng'oo...!
ReplyDeleteHadi ya kukute km ya Mbasha, mnakaidi dini yenu ya haki kwa sababu ya tamaa zenu. Km kwenye uislam kungekuwa kunagaiwa hela km makanisani , mngefanya fashion ya kuhamia huko mpate hela. Mungu anawajua wanafki ......
ReplyDeleteBaada ya kutombana sanaa na Ray umeamua uokoke sio?
ReplyDeleteacheni kutukana wewe boya wakati wanatombana ulikuwepo! dada somga bele achana nawapinga kilisto aho
ReplyDeleteumegongwaee sasa umeokoko,manywele ka sheitwan eti umeokoko duh,watilisha nyege kama nin kisha uwe umeokoka?
ReplyDeletenyie mnaotukana mshindwe kwa jina yesu.endelea na wokovu mpendwa na mungu akutangulie
ReplyDeletenyie mnaotukana mshindwe kwa jina yesu.endelea na wokovu mpendwa na mungu akutangulie
ReplyDeleteMuacheni siyeye namaishayake fanyeni yenu
ReplyDeleteSafi sana Mainda, kwa Yesu utapata pumziko,haijalishi alifanya na ray mara ngapi,au alifanya dhambi gani ,Bwana Yesu atabeba mizigo yote ya dhambi.Haleluya!
ReplyDeleteWe wa wapi? Kila siku tunaambiwa "kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe" we umeshika bwana yesu atabeba mizigo yote ya dhambi!!!
DeleteHahaaaa
ReplyDeletehahaha mlokole gani wa hivyo full vimini naa uwozo kibao kuokoka bongo?
ReplyDeleteHakuna wa kubeba mzigo wa mwingine mdipeane ujinga. Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
ReplyDeleteHuyo naona kamtangulia shetani wala si mungu.
ReplyDeleteww ujaokoka bali umeuwasha moto matako ww unajua kuokoka ni nywele unazaliwa nazo?
ReplyDeleteusiache mwaya
ReplyDeletehakika mungu ni muweza . Cc* wakati ndoo huu wa kubadilika murudie mumba wako naye atakupokea
ReplyDeleteGod is good.Songa mbele na Mungu anakupigania my love.
ReplyDeleteacha kueneza kwa watu kanisani umechoka kueneza club , dogo utakufa tulia
ReplyDelete