Sikiliza na Download Wimbo Mpya wa Ali Kiba na Abdul Kiba-Pita Mbele


Wimbo huu ulianza kuzinduliwa siku ya Jumapili ndani ya New Maisha Club wakati ndugu hawa walipokua wakifanya show,mashabiki wao walishangilia sana wakati wimbo huu ulipokua unaimbwa,Wameamua kuuachia rasmi hapa unaweza kuusikiliza na kuudownload,wimbo unaitwa Pita Mbele.
Bonyeza play kusikiliza.
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sio nyimbo mbaya,ila low class. ukimsikiliza ali kwenye nyimbo alizoshirikishwa is doing well e.g abby skills ft alikiba & shetta!
    kwa staili hii bado sana hata kwa akina mavoko!

    ReplyDelete
  2. wivuuu huo mbona hukukosoa kigodoro cha dada mond manina zako we mdau hapo juu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbele cpiti na wimbo wenyewe mbaya!

      Delete
  3. kiba ushacho kimuziki pumzika tu!

    ReplyDelete
  4. Wewe ndio upumzike mbeba mikoba ya D,,,

    ReplyDelete
  5. mbayaaaa, haiko poa, endelea tu na biashara sio lazima wote muimbe

    ReplyDelete
  6. NYIMBO kama nyimbo ni poa lakini beat zake ziko too speed yaaani dizaini flani Afrobeat au mchiriku pia baada ya dk3 nyimbo inakuwa kama inaanza au inakwisha
    KEEP IT UP

    ReplyDelete
  7. kiba anapotea hvyoo..akomae anachofanya nao nymbo kelele 2 hailewek shda m2pu! kashapotea

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad