Sikiliza na Download Wimbo Mpya wa Chege na Temba-Wauwe

Baada ya kutoka taarifa kadhaa za video ambayo ndani yake pia yupo Jokate,leo Chege na Temba wameamua kuuachia rasmi wimbo wao walioupa jina la Wauwe.zitumie hizi dakika 3 kusikiliza na kutoa maoni yako hapo chini ili baadae wakipita wasome ulichokisema kuhusu wimbo huu mpya ambao kashirikishwa Malomboso kutoka Yamoto Band.
Bonyeza play kusikiliza.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hawa watu huwa nawakubali sana

    ReplyDelete
  2. Babu kubwa safi sana kutoka kivingine lakini bess liloingia sec 9-10 lingetumika kwa sana ,.toooo good for dance floor

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad