Sikiliza wimbo mpya wa Diamond Platnumz – Mdogo Mdogo.
12Udaku SpecialJune 13, 2014
Miezi kadhaa iliripotiwa kuvuja kwa wimbo huu ambao uko kitofauti kidogo na aina ya muziki anaoufanya Diamond Platnumz,huu ni umeshakamilika na ameutoa kwa ajili yako unaitwa Mdogo Mdogo.
Bonyeza play kusikiliza.
hakuna wivu hapa we ni shabiki wa domo mingine shabk wa kuba.domo hata apate mafanikio vip wewe shabiki unaetukana watu apa hakujui na wala hutopata faida yyt,na shabki wa kiba hivohivo, tangu lini shabiki wa yanga akisifia simba,?kwaiyo mashabiki wa domo acheni ujinga huu ni ushabiki tu hakuna mtu anaepata faida yyt sasa ya nini uungulumishe mitus wakat mafanikio ya domo hayakusaidii chochote?
hata Mimi stoshangaa kuna shabiki wa domo anamponda kiba na shabiki wa kiba kumponda domo,ni kitu cha kawaida ni ujinga sana kutukana matusi kwa maswala ya kishabiki
huyu ananikera anapenda kukaa kifua wazi, toka kambiwa anakifua kizuri basi ni shida
ReplyDeletesi bure we ni shoga mamae
DeletePeleka wivu wako wa kisenge huko mwezio anatengeneza hela we unamdis. utabaki kukalia majungu dai yulee yuko juu mwendawazimu mkubwa
ReplyDeletehahahahaha duh daimond anawaumiza mioyo watu sababu hawaishi kumdis hata kwa zuri loh tubadilike jamani
ReplyDeleteSi ukae kifua wazi we pia jamani....nani kakukataza?mwenzio kapenda hivyo....
ReplyDeleteukichukia ndipo anatoboa alf wew unaumia... Pooole...
ReplyDeleteAkae kifua wazi wakati kifua kimejaa minyama uzembe plus matiti?! Mwanamme acha wivu lol!
ReplyDeletehakuna wivu hapa we ni shabiki wa domo mingine shabk wa kuba.domo hata apate mafanikio vip wewe shabiki unaetukana watu apa hakujui na wala hutopata faida yyt,na shabki wa kiba hivohivo, tangu lini shabiki wa yanga akisifia simba,?kwaiyo mashabiki wa domo acheni ujinga huu ni ushabiki tu hakuna mtu anaepata faida yyt sasa ya nini uungulumishe mitus wakat mafanikio ya domo hayakusaidii chochote?
ReplyDeletehata Mimi stoshangaa kuna shabiki wa domo anamponda kiba na shabiki wa kiba kumponda domo,ni kitu cha kawaida ni ujinga sana kutukana matusi kwa maswala ya kishabiki
ReplyDeletehahahaaaa mbona kigodoro tena? umezingua bro
ReplyDeletelazima abadirike na sio kila siku ladha moja tu
ReplyDeleteUyu fara kweli sasa ndo nn, hiyo umetaga domo bado kuatamia tu, labda ukaimbe kaswida tu sasa masjid
ReplyDelete