Sikiliza wimbo mpya wa Diamond Platnumz – Mdogo Mdogo.

Miezi kadhaa iliripotiwa kuvuja kwa wimbo huu ambao uko kitofauti kidogo na aina ya muziki anaoufanya Diamond Platnumz,huu ni umeshakamilika na ameutoa kwa ajili yako unaitwa Mdogo Mdogo.
Bonyeza play kusikiliza.

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu ananikera anapenda kukaa kifua wazi, toka kambiwa anakifua kizuri basi ni shida

    ReplyDelete
    Replies
    1. si bure we ni shoga mamae

      Delete
  2. Peleka wivu wako wa kisenge huko mwezio anatengeneza hela we unamdis. utabaki kukalia majungu dai yulee yuko juu mwendawazimu mkubwa

    ReplyDelete
  3. hahahahaha duh daimond anawaumiza mioyo watu sababu hawaishi kumdis hata kwa zuri loh tubadilike jamani

    ReplyDelete
  4. Si ukae kifua wazi we pia jamani....nani kakukataza?mwenzio kapenda hivyo....

    ReplyDelete
  5. ukichukia ndipo anatoboa alf wew unaumia... Pooole...

    ReplyDelete
  6. Akae kifua wazi wakati kifua kimejaa minyama uzembe plus matiti?! Mwanamme acha wivu lol!

    ReplyDelete
  7. hakuna wivu hapa we ni shabiki wa domo mingine shabk wa kuba.domo hata apate mafanikio vip wewe shabiki unaetukana watu apa hakujui na wala hutopata faida yyt,na shabki wa kiba hivohivo, tangu lini shabiki wa yanga akisifia simba,?kwaiyo mashabiki wa domo acheni ujinga huu ni ushabiki tu hakuna mtu anaepata faida yyt sasa ya nini uungulumishe mitus wakat mafanikio ya domo hayakusaidii chochote?

    ReplyDelete
  8. hata Mimi stoshangaa kuna shabiki wa domo anamponda kiba na shabiki wa kiba kumponda domo,ni kitu cha kawaida ni ujinga sana kutukana matusi kwa maswala ya kishabiki

    ReplyDelete
  9. hahahaaaa mbona kigodoro tena? umezingua bro

    ReplyDelete
  10. lazima abadirike na sio kila siku ladha moja tu

    ReplyDelete
  11. Uyu fara kweli sasa ndo nn, hiyo umetaga domo bado kuatamia tu, labda ukaimbe kaswida tu sasa masjid

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad