Sitakaa Nimwamini Mwanamke Maisha Mwangu

Nimeamini ule msemo wa mwanamke sio ndugu yako na sitakaa katika maisha yangu nimwamini mwanamke, sijaamini kama Frorah angemwacha Mbasha aingie jela ama kweli hujafa hujaumbika hivi kweli mwanaume hata kama mmekosana unaweza kukubali apelekwe jela, wanawake sio hawana ubinadamu...Naamini kabisa Flora alikuwa na uwezo mkubwa wa kuingilia hilo na kuyamaliza kinyumbani...Nahakika asilimia 100 Mbasha akifungwa Jela baada ya miaka kadhaa atajutia alichofanya cha kukaa na kuangalia mume wake akienda Jela Bila Msaada wowote....Flora angeibuka Shujaa Kama Angeibuka na Kufuta kesi na kuyamaliza kifamilia 
Je wewe Kwa hilo Unasemaje?
Tags

Post a Comment

48 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hebu wewe kama ungekuwa flora ungefanya nini me naamin hicho alichokifanya flora wewe ungefanya mara nane yake na kuua ungeua. Ziacheni ndoa za wenzenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona kama yako alvyombaka housgal wen hamkumpeleka gerezan fala wewe!

      Delete
  2. We nae nenda kafumuliwe malinda ya mkundu huko!... utakuwa umezaliwa guest mkundu wewe!

    ReplyDelete
  3. Anonymous 1.05 kula tano,mimi naamini kuna jambo kubwa kwenye hii ndoa ambalo sisi tunaoshabikia hatulijui,si rahisi mke kuacha mume wa ujana wake ila ni rahisi mume kuacha mke wa ujana wake,hiyo ipo mkubali! msikubali!kikubwa ni kuwaombea.

    ReplyDelete
  4. Na utakuta wanaoshabikia wengi hata ndoa hawaijui

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hayajaolewa manungaembe hayo ndo mana yanashabikia huyo flora mjinga.wala utamu wa mume hawaujui dats why.

      Delete
  5. Masuala ya ndoa ni magumu sana na ukiona ndoa yao ina miaka12 kama kuvumilia wamevumiliana sana na hapo imefika mwisho ss wote hatujui ila tunaoliona hili tu ujui kishamfanyia mangapi anayavumilia ndani leo kaona hapana maana sidhan kama ni kosa la kwanza mtu anaweza ajawa hivi

    ReplyDelete
  6. Pole sana mzee kijana Mbasha mkeo angekujali mngeyamaliza kifamilia.Mwanamke ni mtoto wa mama mwingine. Mkristo gani hasamehe?Yesu alimsamehe aliyemkana mara tatu,mfalme Daud alimsamehe aliyemtafuta kumuua. Flora Yu wapi?

    ReplyDelete
  7. Wewe hapo juu hujui lolote ktk ndoa yao piga kimya kama Yesu alisamehe saba mara sabini kimpango wake hapa tunaongelea Mr na Mrs Mbasha wao sio Yesu na huwezi kuwafananisha na Yesu, unajua mangapi Flora kamvumilia Mbasha? Au mnaropoka tu na vichwa vya habari mwanamke sio ndugu yo, nyie wanaume acheni mfumo dume mpaka kwenye swala la mapenzi Flora na Mbasha ndio wanajua nini kinaendelea kati yao.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nungayembe wewe hujui maana ya ndoa kama hyo flora.

      Delete
    2. nungayembe wewe unayemwita mwenzii nungayembe. ndoa maana yake kubaka? ndoa maan yake kutoheshimiana ovyo kabisa. kwa shida na raha unadhani ndo ufanye upuuzi utetewe haipo hiyo.

      Delete
    3. Kweli maneno ya mkosaji yani wewe na akili zako unategemea ummpe mmeo raha zote afu achepuke hapo ni tabia za kikuda za wanawake maarufu kusahau wanaume na mambo ya ndoa na kujali makeups.saloon na umaarufu ni ujinga. Unamuacha msela na nyege zake unapeleka kopo kwa gwajima ni ubinadamu huo kweli?????

      Delete
  8. Sawa sisi sio ndugu zenu ndio maana mnabaka ndugu zetu wadada wa kazi mnamichepuko kibao nje huko sie tuvumilie tu kma mnatamani vitu vipya kila siku hata sisi tunatamani kuonja vipya kma nyie..wanaume ni washenzii sana kma kweli kabaka afungwe why not wanawake kibao waburebure why ndugu ni kutokutumia akili acha yamkute mbona wengine wakibaka mnasema wafungwe..ukweli wanao wao na mungu..mwacheni flora mbona nyie wake zenu wanachapwa hadi na mashamba boy nyie kutwa kujipinda na michepuko nje mkirudi mnanuka pombe mnakoroma mnalala mnajiona wajanja...pole mbasha na flora mungu na sheria ndio watajua hatma yenu...

    ReplyDelete
    Replies
    1. You must be an angry woman type.

      Delete
  9. Kwanza haingii akilini mwanamke kuikimbia nyumba yake jamani,basi bora tungesikia flora kahamia kwenye mjengo mwingine,eti kahamishia makazi hoteli,kweli jamani???Flora alikumbatia sana maovu ya mumewe kiasi kwamba leo hii hata aongee vipi ni sawa na bure,anaonekana ni mbaya.Simlaumu kwani hivi ndivyo mambo ya ndoa yalivyo. kuongea, tuongee lakini mimi sitakaa niamini kamwe.

    ReplyDelete
  10. Godoro usilolilalia.....hujui maumivu ya kunguni wake......na pia katika maisha duniani mbigiri hazipo porini tuu......hata mijini zipo tena ni kali sana mana zinachoma moyo na mwili kwa ujumla....tuwaombee yaishe na ukichaguliwa kua mtumishi hutakiwi kufanya maovu.....ukitumia mgongo wa YESU uonekane malaika halafu wafanya mambo ya kishetani lazima yesu akutoe nishai.....mungu atasaidia tutayasahau ya hawa yatakuja mengine....maisha stori.....ingawa tuu mungu atulinde na mabaya tusichekane yanapojiri shetani nae ana nguvu sana ni kama mawimbi ya bahari yaltembeavyo....0717337536

    ReplyDelete
  11. Sina uhakika kama amebaka au laa!! Shahidi ni mioyo yao, naumia sn kuona hii ndoa inavurugika, Florah sifa pekee yakua mke ni pamoja na kuwa na huruma, upendo wa dhati, ujasiri(ndio maana mama akathubutu kuzaa), uvumilivu na heshima, hebu tazama wanawake waliomliliia Yesu( bila kujali macho ya watu) walionyesha upendo, ndoa ni shida na raha, na hizo ndio shida zenyewe mama!! Msamehe mumeo bana kumbuka usiku wenu wa ndoa mlivyochekeana kwa bashasha, acha hizo ndg yangu, kumbuka shetani yupo njiani anapitapita kutafuta watu wake Ayubu 1 1:11

    ReplyDelete
  12. Mh! Kwakweli, wanaume wanapotendewa huona wameonewa, kwasababu imezoeleka kuwa mwanamke ni jalala la maumivu yote. Mke akifumania mume ni rahisi kusamehe, ila mume akifumania mke ndugu huvaa vibwebwe.

    ReplyDelete
  13. ishi kwa akili na hawa viumbe cyo ndg yako huyo....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Try to hav a postve thinking wwe boya, kwan ni maovu mngap men wametenda bt women just overlook and forgivve, hatujui wat is the real problem ya hii family so just shut the f**k up. Kamma vip kaijumbie dunia yako mwenyew uishi na mamen wenzako,

      Delete
    2. You must be a divorcee...duuuh punguza hasira kwa wanaume biiiitch...

      Delete
  14. Kikubwa tuwaombee ukweli upo nafsini mwao.

    ReplyDelete
  15. "SITAKAA NIMWAMINI MWANAMKE MAISHANI MWANGU"inatosha hata kama umemuamini mamako ni mwanamke pia.Haya mambo ni pande zote za shilingi
    ,maouvu yenu wanaume hamuyaoni,Ttena toa ujinga wako hapa.juzi nimemaliza kesi ya mume kuuza nyumba na kumuacha mke anahangaika na watoto watano,na bado ndugu, kisa anataka kuoa dogodogo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nyumba yenyewe unakuta ulijibana ikajengwa ulichangia pia hata kwenda kusimamia ni mchango anauza anaenda kuhonga malaya kusa umezeeka kwani alikuoa mzee mi siwaelewi baba zetu wanatembea na wadogo zetu wanadharau mama zetu kisa umri umeenda hawana mvuto kumbe hata wao umri umeenda si kma zamani wanajidharaulisha kuvulia nguo vitoto..mi natamani wote waovu mungu awaumbue hakuna mwanamke anaeacha mume mzuri tunavumilia mengine yanaumaaaaaa jamaniii kma hajabaka sheria ipo mungu yupo...wanaume sio wakutetea miaka hamsini anaweza baka miaka 5 tuvumilie kweli

      Delete
  16. Mwanamke Malaya tuuu, anataka maisha ya mtaani

    ReplyDelete
  17. Flora anataka ajiuze tu kwa wakubwa Serikalini, Tunamfahamu tabia yake. AMEAHIDIWA HUYOOO!

    ReplyDelete
  18. DAAH,MBASHA KAACHWA JAMANI ,BRO UMETUNYANYASA!

    ReplyDelete
  19. Flora,mbasha mmmh.napita mie

    ReplyDelete
  20. Hakuna mzuri hapo ndg zangu kikubwa sisi kupitia hilo tujifunze ili tusije tukaangukia pua.

    ReplyDelete
  21. Jamani wanawake tuwatii waume zetu, utandawazi usivuruge hekima yetu, binafsi napenda sana mwanaume akitoa kalipio lolote lile naona naaam! Sasa kuna mwanaume ndani nina miaka 15 ya ndoa bit sijawahi kabisa kushika simu ya mume wangu na wala sijawahi kumkandamiza mbele za watu lkn akikosea anakiona cha moto chumbani namsema huyo!!! Hadi akitaka t**mu ananipa madolali kwanza ndio nampa, lkn kiukweli najisikia kufunga kwa ajili ya hii familia, Florah huwezi kushindana na mwanaume mumy, acha hayo yapite! Ungekua hujaokoka ningesema njoo tunywe lager mbili tusikilize live band tungesahau tu yaliyotokea, Ee Mungu simamia hii familia

    ReplyDelete
  22. Hata mciwatete wanaume nyie xa iv manaume meng ni mavivu yanataka kulishwa yavishwe kama wanawake kwa nn mwanaume asikuchoke na bado anakfanyia hayo yote unatembea na nduguye ....I hate men since I born and 4rever

    ReplyDelete
    Replies
    1. Lkn jmn mtubkaenda kuishi hotel na nyumbani amekuachia totoz ungekua wewe ndio mbasha ungevumilia? Na huko hotel yeye yupo na nani? Kwanini asiende hata kwa wakwe zake? Mmhhh hii unknown inaumiza kichwa, Mungu mlinde mtoto wao Elizabeth na tujue kuwa hakuna mwl wa ndoa japo ndoa yangu ina 6 years tu sijui na mimi
      itakuaje

      Delete
  23. Usimsete mtumishi wa Mungu kidole, na usihukumu kabla hujaukumiwa

    ReplyDelete
  24. Flora si mwanamke mwenye upendo na nibashaur angeacha tu kuimba injili. Atahubr nini na atamfundisha nani? Katia aibu

    ReplyDelete
  25. Wewe ndio umetia Aibu mtaa mzima wanakujua Mbasha Anavyo kufira Mkundu sphincter zote zimelegea mimavi inakutoka.

    ReplyDelete
  26. Kaokoka kwa kuwa kahamia kwa pasta

    Changudoa kaanza umalaya akiwa totomiaka 13.mbasha shahidi
    mtoto wao wa kwanza siyo wa mbasha
    Flora maji maranusu.akikunyima basiumekutana n'a pakamwekundu

    ReplyDelete
  27. Angeacha na kumaliza nyamban angerudia tena Kwan angeona nikamchezo acha akale maharage

    ReplyDelete
  28. kinachonitia shaka ni mtu kubakwa mara mbili.. na tena asipige kelele kweli?! hiyo haiingii akilini..

    ReplyDelete
  29. wewe. flora akili yko co nzuri ungekaa kimyaa hayo mambo mkayamaliZia nyumbani ingekuwaje unaweka unamdhalilisha tuu huyo jamaa kwanza ndoa haitokuwepo tena hata mziki wako utakua umeshuka pili mtu mwenyewe unakua bize namziki unamuacha mume ndani na mdg wko mwenye shepu unategemea nini uliona wapi mtu akabakwa mara 3 ndoa imekushinda

    ReplyDelete
  30. me nawashangaa wanao sema wangeyamaliza nyumbani kama familia ndo maana matendo kama haya yanaendelea katika jamii zetu tuachane na imani hizo jamani hivi jaribu kufikiria kama kweli yule binti amebakwa wazazi wake wameumia vipi juu ya binti yao au ingekua mwanao ndo kafanyiwa hivo ungetulia tu au mnarahisisha kwa wengine hata kama ingekua mimi hata kama nampenda vipi mume wangu ningemuacha akaozee jela

    ReplyDelete
  31. Kwanza flora alifanya kijana wa watu akabadili dini bila ridhaa ya wazaz wake sasa Ima atakua mgen wa nan alimwamini mke wake jamn inatia huruma sana

    ReplyDelete
  32. Issue ni kubaka,km kweli kabaka apakatwe tu huko jela aone utamu wa kubaka,hopeful hajasingiziwa mana Tz haiminiki hii

    ReplyDelete
  33. Controlling the human mind is a very easy when you have the tactics, just look for the invent of someone famous and critics her/his decision without investigating then seat behind and laugh on how you had been hold people. Tunakatuna jadili, tunakosoa na kujitia washauri wazuri, wenye huruma na wachambuzi yakinifu ili hali aliye post hii habari katulia pembeni anacheka. ni afadhali ukakaa kimya walau unapunguza kuongea pumba. Kazi kwenu.

    ReplyDelete
  34. MIMI NI MWANAUME NAONA WOTE HAWANA MAKOSA. IF I WAS MBASHA NINGEMMEGA ULE DEMU ANA TAKOOO. NA. KWA FLORA NI SAHIHI AS MBALI KUWA NI MTU WA GOSPEL PIA NI MWANADAMU NA ANA HASIRA SO NGOMA KABATI

    ReplyDelete
  35. wanawake wana roho mbaya sana aisee, watu hawajui tu, na hilo ni kweli kabisa!

    ReplyDelete
  36. Hii article is blah blah za kumfanya Florah ajisikie vibaya. Haisaidii lolote kwakuwa wote tunaoujua huo mkasa tuna akili timamu. Tena huyo Mbasha kampigia shemeji yake simu kumwomba msamaha huku analaumu. Eti anasema:
    Naomba msamaha na wewe ni hiari yako kunipa au kutonipa..... Baada ya kufungwa mimi shemeji yako wewe utafaidika nini..... Kama ningekuwa sikupendi nisingekutafutia kazi..... Mimi nasaidia ndugu, Suzy hana elfu tano, elfu saba, alikuwa anaumwa akapiga, anakuja nimepokea stendi mwenyewe, nimetoa elfu kumi kumpeleka hospitali......, we Esther juzi umeumwa mbona nimekusaidia, leo hii mnaona mnikandamize ...... watu wanavunjana maisha yanaendelea, hii ni nini? Floraha anateseka, tuyamalize asiendelee kuumia blah blah blah.....!

    Who caused it if is not you stupid devilish Mbasha?? This Mbasha man is such a bull and foolish man.

    Eti anadiriki kusema: Mimi ndio kila kitu kwa Florah, kama vile hata koo na mdomo wa Florah kuimba upo mwilini kwa Mbasha. Anafikiri yeye ni oxygen na maji ana akiwa hayupo basi Florah atakufa. Sasa tunafanya test, aende jela halafu tuone kama yeye ndio kila kitu kwa Florah.

    Why would a beautiful woman like Florah marry such a foolish man jamani? Huyu mtu anahitaji kuingizwa kwenye mental correction institution. That is the only Msamaha he can get from Shemeji, Florah and all Tanzanians

    ReplyDelete
  37. Anony hapo juu u said it perfect! Huyo Mbasha Emma ni kilaza na loser Fulani! Kaichafua marriage institution! Bakabaka kisha roporopokaji!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad