Skendo Chafu Zamkimbiza Masogange Bongo, Aamua Kwenda Kuishi South Afrika Kuepuka Vidole vya Watu

Imebainika kuwa Mwanadada Agness Masogange ameihama nchi na kwenda kuishi South Africa Kutokana na Skendo zinazomkabili kubwa ikiwemo ile ya Madawa ya Kulevya Ambayo alikamatwa South Africa lakini alishinda kesi na kuachiwa..Rafiki yake wa karibu aitwaje Jeniffer alihabarisha mtandao huu na kusema Agness Ameenda huko ili kutulia kwasababu hapa Bongo kila mahali alikuwa ananyooshewa Vidole kitu ambacho alikuwa akipendi kabisa...Si kweli amepata Maisha mazuri kama alivyosema.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hv wewe mbona unapenda mfatilia huyu dada,huna lingine lakujaza kwenye hii blog yako au?

    ReplyDelete
  2. labda anamtaka

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad