Wema Sepetu na Kajala Beef Upya


Stori:  Shakoor Jongo na Musa Mateja

ZIKIWA zimepita wiki kadhaa tangu kuripotiwa kupatanishwa kwa mastaa wawili katika tasnia ya filamu Bongo, Wema Sepetu na Kajala Masanja, taarifa zisizo na shaka zilizotua kwenye meza ya Ijumaa Wikienda zinaeleza kwamba upatanisho huo haukusaidia chochote na sasa bifu jipya limeibuka kati yao.

Kwa mujibu wa chanzo chetu cha ndani kilichoomba hifadhi ya jina lake, zoezi la upatanishi kati ya mastaa hao lililofanyika kwenye msiba wa dairekta wa filamu za Kibongo, George Tyson, Mbezi Beach jijini Dar lilikuwa sawa na kazi bure.

“Hakuna yeyote kati yao aliyekuwa na nia ya dhati ya kumaliza tofauti zilizokuwepo, walikubali kupatana kwa sababu ya heshima ya waliokuwa wanawapatanisha lakini kiukweli ilikuwa ni sawa na danganya toto, bifu limelipuka upya,” kilisema chanzo hicho ambacho ni rafiki wa karibu wa mastaa hao wakubwa mjini.

TEAM WEMA, TEAM KAJALA WANOGESHA BIFU
Kwa mujibu wa sosi wetu, ukiachilia mbali kukosekana kwa utayari wa kupatanishwa kati ya wawili hao, pande mbili za mashabiki wao wenye ushawishi mkubwa kwenye mitandao ya kijamii waliojipachika majina ya Team Wema na Team Kajala, zimekuwa zikinogesha bifu hilo kwa kumwagia petroli kwenye moto, hali inayozidi kutibua mambo.

“Sikia nikwambie, kuna vitu vinafanyika katika mitandao ya kijamii hasa Instagram kuhusiana na hizi pande mbili halafu wahusika wakuu wanajifanya hawazijui, kuna Team Wema ambayo inamsapoti Wema na ile ya Kajala inayoitwa Team Kajala, wenyewe wanawajua fika ni akina nani wanaounda pande hizo ila ukiwauliza wanajifanya hawajui chochote.

“Wengine wananunuliwa mpaka simu za kisasa zenye uwezo wa kufungua mitandao ya kijamii ili wasambaze uzushi na uongo kuhusu upande pinzani, sasa timu hizo ziliposikia juu ya upatanisho huo, ziliwajia juu wahusika ambapo kila mmoja kwa upande wake alikanusha kupatana na mwenzake,” kilizidi kutiririka chanzo hicho.

KAJALA HATAKI KABISA SULUHU
Chanzo chetu kiliendelea kufunguka kuwa Kajala hataki kabisa kusikia kuhusu mambo ya suluhu kwa sababu Team Wema imemdhalilisha sana mtandaoni kiasi cha kumpa wakati mgumu kujieleza mbele ya mwanaye, Paula ambaye inadaiwa naye aliyashuhudia matusi hayo ya nguoni.

“Yaani Kajala anasema labda Wema mwenyewe ndiyo aende kumuomba radhi kwa kashfa zilizokuwa zinatolewa na timu yake anaweza kumfikiria mara mbilimbili kuhusu suluhu na siyo kusuluhishwa juujuu tu kama ilivyotokea,” alizidi kutiririka sosi wetu na kuongeza:

“We si unaona mara ngapi Wema na Kajala wanakutana sehemu na wewe mwenyewe kama mwandishi unashuhudia, umewahi kuwaona wakiwa pamoja au hata kusalimiana?”

MSIKIE KAJALA
Baada ya kusikia  kauli hizo kutoka kwa chanzo chetu, kama kawaida ya Ijumaa Wikienda liliingia mzigoni kutafuta mzani wa habari ambapo wa kwanza kutafutwa alikuwa ni Kajala ambaye hakutaka kabisa kulizungumzia kwa kina suala hilo. Hebu msikie:

“Kiukweli mi naona hili tatizo letu linachangiwa na hizi timu ambazo zipo kwa ajili ya kuongeza matatizo. Nasikia eti baada ya siku ile mimi na Wema kupatanishwa, watu wa timu yake walimpigia kumuuliza, akakataa kuwa hajakubali kupatanishwa na mimi ili kuwafurahisha watu wake, sasa unategemea mimi nitasema nini? Nafikiri siyo rahisi mimi kukaa karibu na Wema kama zamani,” alisema Kajala.

WEMA NAYE
Kwa upande wa Wema yeye alishangaa habari hizo na kutoa dukuduku lake kwa kusema anachojua ni kwamba hana bifu na mtu yeyote, siyo Kajala tu bali mtu yeyote ambaye walikuwa na tofauti huko nyuma yeye hana bifu naye tena.

“Mi nadhani watu wanahitaji kuona picha ambayo tumepiga pamoja na Kajala ndiyo waamini kuwa tumemaliza bifu letu, unajua huu unaokuja ni Mwezi Mtukufu wa Ramadhan na mimi ni mtoto wa Kiislam sasa nitafungaje Ramadhan huku nikiwa na bifu na mtu?” alisema Wema.
Kukinzana kwa maelezo ya wawili hao kunatosha kuonesha jinsi ambavyo suluhu ya awali haikuweza kumaliza bifu kati yao.

KUTOKA KWA MHARIRI
Wema na Kajala nyie ni wasanii wakubwa ambao jamii inawatazama kama kioo chao. Haipendezi kuendeleza malumbano yasiyo na msingi, huu si wakati wa kuwekeana visasi bali sameheaneni kutoka ndani ya mioyo yenu na mshirikiane kuisimamisha sanaa ya filamu za Kibongo.
GPL

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kajala mkundu tuu amwache wema wetuu mana anataka kuendelea kumsaga na wema hataki mana anataka kuishi ma mmewe diamond yy akasagane tu na huyo wolper ambae alishaugua ukimwi sio kutaka kumlazimisha tena wema alishamsaga bas inatosha wema hataki tena na wema tukikuona na kajala msagaji tunakuchuka sisi ni mashabiki wa damu kwako wema team wema for rever sasa huyo msukma kajala asilete usagaji wake kwa wake za watu hakuna kua nae karibu atakusaga tena na mtoto yupo tumboni.wapi team wemaa wa ukwelii.....

    ReplyDelete
  2. kajala sikio la kufa hana shukuran unashindwaje kujishusha utaweka bifu had lin badilika basi

    ReplyDelete
  3. makubwa mdau acha nipite

    ReplyDelete
  4. wema ujue ni mrembo pamoja na mambo yako yote lakini sisi tunakupenda for real,hiyo tabia yakisenge yakuvaa nguo zinazofanana umeitoa wapi wewe mtoto..wenzio wanakutumia hao hawana lolye la maana get a life ..achana kuambatana na malaya wasio na sura wala shepu..kwani uwezi kwenmda shemu mpaka uwe na mtu?hebu kua basi!!un atuangusha washabiki wako.ACHANA NA MAJALALALA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyu wema watu wanampenda lakin anajijusha hadhi yake kumbatana na mimalaya waliokosa soko sasa kuvaa sare ni nini si ushamba huo mkivaa sare ndo unawatangaza wenzio kuwa unawanunulia unapenda ushoha wa kijinga tafuta muda ukae na mashoga zako na muda mwingine kaa na diamond wako utamboa sasahivi diamond sasa kama antie ulienda nae afrika kusini kwa lipi? alafu huyo antie anatabia chafu kama nini unakuwa na rafiki aliyeshindwa ndoabkutwa kuzurura anajiuza antakupa ushauri gani wa maana ndo maana watu wanakusema unapenda kusagwa kila saa una shoga wa kike narudia kusema achana na kuvaa sare ni ushamba ni ujinga na diamond atakubwaga sasahivi.

      Delete
  5. kila mtu ana style yake ya kuishi huwez kulazmisha wema aishi kama unavyotaka ww..........

    ReplyDelete
  6. nyie mna yenu sion sababu ya kumtusi kajala wakat hamjui chochote isitoshe tofauti zao ni wahusika wenyewe ndo wana siri ya bifu lao! acheni mambo ya ajabu bas

    ReplyDelete
  7. Lisilokuhusu lisikushulishe.napita

    ReplyDelete
  8. kila mtu akae kwakwe na mambo yake

    ReplyDelete
  9. Nana junior,sasa ni sare na anti kwenda mbele,huuu kantangaze

    ReplyDelete
  10. MMKOME AUNT EZEKIEL WANGU MAMBWA NINYI KM WEMA KAMPENDA MNATAKA AWAPENDE NYINYIII...JILO LIKAJALA MASANJA LISAGAJI LINA MLILIA WEMA ETI LINAMKUMBUKA LIONE CHEZEA KUMA YA WEMA WEWEEE MPAKA WANAWAKE WANAGANDAAA....WEMA HATUTAKI KUKUONA NA HILO SAGAJI BORA UKAE NA AUNT ANAETIWA MBOO PIA SIO KAJALA MASANJA MSUKUMA PUMBAVUU LINASAGA WATOTO WA SHULE ...NA HUYO MTOTO WAKO LAZIMA TUMTOMBE SANA WEWE SI UNAWATOMBA WATOTO WA WENGNE NA SISI TUTAMTOMBA MWANAO...ILI UJUE UCHUNGU WA KUSAGA WATOTO WA WATU HATULIPENDI KAJALA..WEMA WEMA MWACHE WEMA WETU HAKUTAKI TENA HATUAKI KUSAGWA WEWEEEE HUSIKIIII LKN KWA NINI AU MPAKA TUKUFUATE NA MATALUMBETAA HAPO KWAKO?????????????????????MWACHE WEMA WETU TUNAMPENDA MWACHE ALE MBOO USILETE USHETANI WAKO KWA WEMA ASHAKUSAIDIA BASI..NA SASA HATAKI KUSAGANA TENA.

    ReplyDelete
  11. jaman kwanin kila mtu asifanye yake mbna mnamkalia mtoto wamwenzen kooni kajala anakosa gani sasa mnamtkana matusi makubwa kias hcho sio vzr kwahyo hyo malaya wenu ndio mnamuona mtu.

    ReplyDelete
  12. kweli kizizi cha wema balaa kimemkolea diamond na watu wengine wote,mwenyewe anadai hana ugonvi na mtu mmebaki wema wema hivi hamjioni kama wapumbavu wote?

    ReplyDelete
  13. wema hata hakujui,eti tuachieni wema wetu,acheni ujinga....

    ReplyDelete
  14. kama wema hamjui nini mnaumia nyinyi ni shabiki wake mwache mwenyewe na wewe kama unapenda njoo team wema hatari..usigusee wewe mbwaa

    ReplyDelete
  15. Kasheshe! Ila haya majani a.k. a P F unk alisema kajala mtoto wa uswahilini yule na anayajua yote ya duniani sasa kajala na wema ni km kuchanganya sukari na chumvi kwenye chai.

    ReplyDelete
  16. Kasheshe! Ila haya majani a.k. a P F unk alisema kajala mtoto wa uswahilini yule na anayajua yote ya duniani sasa kajala na wema ni km kuchanganya sukari na chumvi kwenye chai.

    ReplyDelete
  17. Kwahiyo Wema huwa anasagwa na hao mashost zake....na nyie mnaona sifa kumwambia uyo mwenye Team yake kama anasangwa.......kweli mkunwa na mkunwaji huona raha nina...!!pumbavu zenu

    ReplyDelete
  18. Mmekazana Wema,Wema hamnywi,hamli mkashiba utadhani huyo Wema anawajua ovyooooo. Mfyuuuuuxxxxz,mikundu yenu

    ReplyDelete
  19. Wema kuma yako kinoko kila mtu anaililia ukimtimua antie nae kaisha.ilamba atajinyonga unapenda sana kusagana na sukuma

    ReplyDelete
  20. Ila auntie nae kuma yake imeanzia mbali kutomwa na jumbe mara hao mapedeje mara kujiuza dubai na china hongkong jamani hiyo kuma balaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad