Taarifa zilizonifikia toka Gare LUSHOTO, ni kuwa mama mmoja amefariki dunia kwa kukosa usafiri ulikotana na ukosefu wa fedha japo alikuwa alikua nazo kwenye Simu
M-Pesa (VODACOM).
Itakumbukwa kuwa huduma ya M-PESA haipatikani toka jumamosi iliyopita hadi hivi sasa!!!
SWALI KWA VODACOM;
-Hamuoni mmemleta madhara makubwa kwa wateja wenu?
-Tatizo ni nini ilihali nyie mko kimya na haijawahi kutokea tatizo lika-persist namna hii?
-Fedha za wateja ziko salama?
-Mtamsaidiaje au kumfidiaje mteja wenu alieathirika kama familia ya marehem mteja wenu huyu?
Voda wameshakua was....ge tu ndugu wa marehem wachukue hatua.
ReplyDeleteKiukweli hili tatizo limetu athiri sana wateja wa voda sana
ReplyDeleteHalafu walivyo wasenge bado wanaongeza uchafu mwingine na wakati huu hawajauweza eti M-power ya mikundu yao?
ReplyDeletehahaha
ReplyDeletetatizo wabongo cc hamna mtu anae taka kushitaki kampuni au taasisi yyote kwa manufaa ya wengi ndo mana tuna umia
ReplyDeleteMmesahahu ##DECI eheeee
ReplyDeleteMmesahahu ##DECI eheeee
ReplyDelete