Tatizo la Vodacom (M-PESA) Laua Lushoto

Taarifa zilizonifikia toka Gare LUSHOTO, ni kuwa mama mmoja amefariki dunia kwa kukosa usafiri ulikotana na ukosefu wa fedha japo alikuwa alikua nazo kwenye Simu
M-Pesa (VODACOM).

Itakumbukwa kuwa huduma ya M-PESA haipatikani toka jumamosi iliyopita hadi hivi sasa!!!

SWALI KWA VODACOM;

-Hamuoni mmemleta madhara makubwa kwa wateja wenu?

-Tatizo ni nini ilihali nyie mko kimya na haijawahi kutokea tatizo lika-persist namna hii?

-Fedha za wateja ziko salama?

-Mtamsaidiaje au kumfidiaje mteja wenu alieathirika kama familia ya marehem mteja wenu huyu?
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Voda wameshakua was....ge tu ndugu wa marehem wachukue hatua.

    ReplyDelete
  2. Kiukweli hili tatizo limetu athiri sana wateja wa voda sana

    ReplyDelete
  3. Halafu walivyo wasenge bado wanaongeza uchafu mwingine na wakati huu hawajauweza eti M-power ya mikundu yao?

    ReplyDelete
  4. tatizo wabongo cc hamna mtu anae taka kushitaki kampuni au taasisi yyote kwa manufaa ya wengi ndo mana tuna umia

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad