Tuwe Makini Yanayotokea Kenya Hata Tanzania Yanawezekana.

Jamani naombeni niwe mkweli hata kama nikionekana kuwa mimi ni mubaguzi, kwa kweli wasomali mimi huwa sina imani nao popote pale walipo, kwa sababu mashambulio ya kigaidi yanayotokea kenya, magaidi huhifadhiwa na wasomali waliopewa hifadhi ya ukimbizi kenya, angalizo kwa Tanzania juzi juzi tanzania imewapa uraia, raia wa somalia jambo ambalo mm naliona ni hatari..kwani hao ndio sasa wanaisumbua Kenya...jamani Watanzia hii nchi ni ya kwetu na siyo ya viongozi leo hii usalama ukivurugika viongozi wao watapaa kwenda nje wakati ss tunabaki Tunahangaika.
JF
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wasomali wapo ndani ya nchi hii hata kabla wewe ujazaliwa sio kenya wameyataka wenyewe wache wafe kimbele mbele chao wenyewe ndicho kinawagarimu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anonymous 7:51
      sisi wakenya twaomboleza ww waongeaga vtu visomsingi....styl up u mathafucker

      Delete
    2. Weunaakilikweli mdau watu tumezaliwa Tanzania tunadamu zakisomali tumejikutanazo.mbona babuzetu hawakufanya fujo.nanimaraia wa Tanzania miaka 50nyuma.hao wanayao maugomvi waliyaanzisha ifike mahali wasuluhishwe basi yaishe.maana visasi sivizuri.natanzania hainaga ugomvi nawasomali toka Enzi ijekuwasasa minaomba hayamambo tusiyaingilie sanasana tusaidie kuomba amani kwawenzetu wamalizane

      Delete
  2. We mkenya unaetukana ni kweli mliyataka wenyewe tena huyo rais wenu kawasababishia matatizo yote hayo hivyo mlie na yy tu acha kutukana watu bure kwa ujinga wenu ila poleni sn

    ReplyDelete
    Replies
    1. jaman msamehen huyo na yeye hajui kitu yupoyupo tu kama kuku wa kuchora, hawiki wala hatagi, so kwa maneno mengine waweza muita kajambanani.

      Delete
  3. Nyie wa tanzania mnaacha kutupatia pole bado mnaatumiza tena kwa lugha chafu, foolish mind this country

    ReplyDelete
  4. Eti Wakenya rais wenu ni nani? maana mara twasikia Raila, mara kenyata.

    ReplyDelete
  5. Mambo musiyoyajua musiwe mnacomment jamani.Hivi karibuni kuna watu wameshikwa hapa Tanzania wakiwa wanajifunza kivita porini,walipoulizwa walitoa sababu zao,lakini kwani kulikuwa na msomali anahusika kwenye hayo mambo?Rafiki atabaki kuwa rafiki na atapata msaada kama tulivyokuta tangu enzi na enzi,mambo mengine hayakwepeki.

    ReplyDelete
  6. Iwapo kenya wataondoka somalia hali ya usalama itakua nzuri. Ondokeni somalia hao alshabab hamuwawezi. Kwanza walishatangaza kenua ni uwanja wa vita.kinachotokea kinajulikana.kujitia kimbelembele kubaya sana

    ReplyDelete
  7. Pole kubwa sanaa kwa ndugu zangu kenya na somalia pia kwani siku zote wanakufa wengi wasiokuwa na hatia jamani ndugu watanzania nawaomba kama mtanzania mwenzenu tusijiusishe na swala hambalo haturijui wasomali wapo dunia nzima wengi sana na wengi wamekimbia ichi yao 7bu ya vita nawaomba kulingana na misuko suko ya kenya na somali haituusu basi zaidi ya kusema pole tusijiusishe zaidi naomba tuendeleze ichi yetu tanzania kwa umoja na amani kwani Umoja wetu ndio nguzo na silaha kubwa ya Africa ni vile to mzungu anatengeneza siraha lakini hajui wapi kwa kuuzia na pale kwenye vita basi wengi wanatajirika tusiwe na fikra potofu za kulaumu nnchi hadi nnchi tutafute njia busara na yenye muelekeo wa amani kwa ndugu zetu kenya na somalia bado umoja wa africa hauja komaaa na sasa nimuda wa kutafuta njia ya kukakamaza umoja wetu, kumbuka watoto wetu tunawaatayarishia maisha yapi? kwa umuhimu upi? angalia nnchi jirani zilizopigana vita mmefika mkaona watu walioponapona kwenye mapanga na masururu bado nguvu zenu muimu na mawazo yenu pia. jaribu kuwa mwelekezaji sio mpotoshaji, EWE MUNGU BABA SAIDIA NNCHI ZETU ZIISHI NA AMANI NA USHILIKIANO
    UMOJA UMOJA UMOJA UMOJA NIIIIIIIIIIIII NGUVUUUUU TUWE PAMOJA NA WANANCHI WANAOTESEKA KATIKA VITA NA MABOM HAYO MAONI YAKO YAWE NI NJIA YA UMALIZAJI WA VITA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad