Huyu bwana mkubwa jimboni kwake kuna wananchi hawajawahi kuona mabomba ya maji, wanatafuta na kubeba maji kwa Mnyama Punda, YAANI HAKUNA MAJI, HAKUNA UMEME , HAKUNA BARABARA ,WANAPITA KWENYE BARABARA ZILIZOTENGENEZWA NA NG'OMBE.
HAKUNA VYUO , BARABARA YA LAMI NI ILE IENDAYO MWANZA ETI LEO AJE AKOSOE JIMBO LA IRINGA MJINI.
WANACHI WA IRAMABA MAGHARIBI WAKIJA IRINGA MJINI WATADHANI WAKO MBINGUNI, WANAIRINGA HAWANA LA KUJIFUNZA KUTOKA IRAMABA MAGHARIBI, ....WANAIRINGA KITU gani cha kujifunza kwa mtu huyu mwongo,anayewatumia tu WATU maskini wa IRAMABA
safi sana msigwa, uyu mwigulu ni mamluki mamamaaaeeeee na tunamsubiri 2015
ReplyDeleteMsigwa mpe mpe huyo mbwa koko mwigulu vidonge vyake.
ReplyDeleteHivi vijana wa Afrika mumelaaniwa na nani??? Hivi mukipewa nchi hamtaichoma moto .Afrika ya kusini walimpiga chini MALEMA hivi munafikiri BARACK OBAMA angekuwa MAPEPE kama nyinyi angepewa nchi
ReplyDeleteOya jomba mbona husomeki yaani uko nje ya mada kabisa ulitaka kuongea pumba gani?maana unaonekana akili yako haina akili kabisa.
Deletehahaha umenichekesha 12:58 halafu sijui mburundi manake mu zimetawala kweli
DeleteYour blog is informative, keep it up, Udaku Specially
ReplyDeleteSafi sana Msigwa,huyu Mwigulu hana anachokifanya jimboni kwake zaidi ya kukesha akiratibu mauaji na mikakati ya kuua na kutesa wapinzani,boko haram huyu
ReplyDeleteMwigulu, huna kitu! Yote yako ni kelele tu. Rudi jimboni mwako na kafanye kazi huko. Sifa ya kweli ya kiongozi ni maendeleo kwa watu wake, heshima yake haitafuti mbali bali anakotokea. Have development mind and inspiration bro!
ReplyDeletemwigulu 2015 jipange, ckupi kura angu, we rudi na skafu yako ukimbize mwenge, sahau kuusu ubunge tena mana hakuna ulichofanya hata kimoja
ReplyDeletehuyu mwigulu hana lolote anapenda umaarufu wa kisenge anawivu wa wazi kabisa na mbowe sema mbowe hana mambo ya kiswahili ni mstaaharabu napenda alivyocool uwaga anamwiginoo mwigulu anamuona bonge mshamba big up kk freeman mpotezee huyu mshenzi atabaki kuvaa skafu ya ccm subiri mwaka 2015 uone kitu tutafanya kajipange mzee
ReplyDeleteNyie atawaloga huyo jamaa.si huku jimboni kwake tunamwogopaga wazee wanasemaga kachawi kenyeenye halo.
ReplyDeleteKachawi halo kataloga mtuu hako
ReplyDelete