Judith Daines Wambura Mbibo, known as Lady Jaydee a Tanzania R&B/Zouk/Kwaito singer ,
Denial a rumors that she apology Ruge Mutahaba….. These fiction was written on Gazeti la Udaku…. Today On her Instagram account she posted the Gazeti font page pic and she wrote this…."Katika ulimwengu huu kumbe bado kuna watu wanafikiri wanaweza kutunga uongo na dunia ikawaamini??? Duuuh! mmechelewa sana Ila km hiyo ni ndoto yenu, basi endeleeni kuota na km ni njia tu ya kujiingizia kipato, bs kila kheri. Mi nipo, mtanikuta tu.... "
Before this she posted this ……
Ukweli Kuhusu Tetesi za Lady Jay Dee Kuomba Msamaha kwa Ruge wa Clouds FM
16
June 20, 2014
Tags
huna lolote jide, ni kweli mwenyezimungu pekee ndo wakuombwa msamaha? mungu anakupa msamaha endapo uliemkosea umemuomba radhi na akakukubalila lol, na wewe unavijitabia vyako vya kijita vya kujisikia sana wewe
ReplyDeleteWw acha usenge WA kutaja kabila za watu, ongea point acha kuropoka, k.....m.. nn ww
Deletehabar ndo iooo...ww usitumie uzoefu kujaj watu hujui ruge na jide walifanyiana nn huko nyumaa kwaiyo maneno yasikutokee kiivooooo jamii itakushangaa
ReplyDeletehuyu ndo mwanamke shupavu anaekula kwa jasho lake,anapiga kazi uck na mchana, asiekuburuzwa na mtu,nataman mastaa wote wa kike mngekuwa kama jide, wengine mnajiita mastaa afu mnaishi kwa kutegemea kuma
ReplyDeleteWajita nao wanavihulkasanaaa ILA kwa jide siingilii ishuyake wanajuana wenyewe.ilawajita wanahulka hasaa.
ReplyDeleteJide siyo mjita, ni mkurya!
DeleteJide siyo mkurya ni msimbiti wa kinesi
DeleteNampenda sana jide huyo ndo Komando
ReplyDeleteKudadadeki!! Jide ndo komando,nampenda zaidi ya saaana. Komaa mdada achana na hao walozoea kupakatwa tena wackuzoee waendelee kungoja saaana. Mi shabiki wako wa kufa mtu. Lo! mnadiiis utadhan ruge ni baba yenu. Endelea kufanya yako,tafuta riziki yako uache hao walokalia kuongea tu. Much lov on you gal.
DeleteTchaoooooooo
Anaburuzwa na gadner mumewe. Ndo kiboko yake
ReplyDeleteC mumewe ulitaka um buruze ww acha wivu
ReplyDeleteDada judith ww ni komandoo wakwel
ReplyDeleteWakuache wa jinaa ....ur super women
ReplyDeleteBora Jide anakula kwa jasho lake sio kicheche Wema Sepetu anaetegemea k.....m ndo Aisha mjini. Go ooooo Jide go
ReplyDeleteJde upo juuuuuuuuuuui!
ReplyDeletewe kima wema kaiingiaje hapa bila kumtaja wema huna raha au uendi choo? kaa mbali na wema mwacheni mtotot wa watu nyamambufu wewe kila saa wema wema mpaka mtoto wa watu atapaliwa bure!
ReplyDelete