Ukweli Kuhusu Tetesi za Lady Jay Dee Kuomba Msamaha kwa Ruge wa Clouds FM

Judith Daines Wambura Mbibo, known as Lady Jaydee  a Tanzania  R&B/Zouk/Kwaito singer ,
Denial a rumors that she apology Ruge Mutahaba….. These fiction was written on Gazeti  la Udaku…. Today On her Instagram  account she posted the Gazeti font page pic and she wrote  this…."Katika ulimwengu huu kumbe bado kuna watu wanafikiri wanaweza kutunga uongo na dunia ikawaamini??? Duuuh! mmechelewa sana Ila km hiyo ni ndoto yenu, basi endeleeni kuota na km ni njia tu ya kujiingizia kipato, bs kila kheri. Mi nipo, mtanikuta tu.... "

 
Before this she posted this ……

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huna lolote jide, ni kweli mwenyezimungu pekee ndo wakuombwa msamaha? mungu anakupa msamaha endapo uliemkosea umemuomba radhi na akakukubalila lol, na wewe unavijitabia vyako vya kijita vya kujisikia sana wewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ww acha usenge WA kutaja kabila za watu, ongea point acha kuropoka, k.....m.. nn ww

      Delete
  2. habar ndo iooo...ww usitumie uzoefu kujaj watu hujui ruge na jide walifanyiana nn huko nyumaa kwaiyo maneno yasikutokee kiivooooo jamii itakushangaa

    ReplyDelete
  3. huyu ndo mwanamke shupavu anaekula kwa jasho lake,anapiga kazi uck na mchana, asiekuburuzwa na mtu,nataman mastaa wote wa kike mngekuwa kama jide, wengine mnajiita mastaa afu mnaishi kwa kutegemea kuma

    ReplyDelete
  4. Wajita nao wanavihulkasanaaa ILA kwa jide siingilii ishuyake wanajuana wenyewe.ilawajita wanahulka hasaa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jide siyo mjita, ni mkurya!

      Delete
    2. Jide siyo mkurya ni msimbiti wa kinesi

      Delete
  5. Nampenda sana jide huyo ndo Komando

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kudadadeki!! Jide ndo komando,nampenda zaidi ya saaana. Komaa mdada achana na hao walozoea kupakatwa tena wackuzoee waendelee kungoja saaana. Mi shabiki wako wa kufa mtu. Lo! mnadiiis utadhan ruge ni baba yenu. Endelea kufanya yako,tafuta riziki yako uache hao walokalia kuongea tu. Much lov on you gal.
      Tchaoooooooo

      Delete
  6. Anaburuzwa na gadner mumewe. Ndo kiboko yake

    ReplyDelete
  7. C mumewe ulitaka um buruze ww acha wivu

    ReplyDelete
  8. Dada judith ww ni komandoo wakwel

    ReplyDelete
  9. Wakuache wa jinaa ....ur super women

    ReplyDelete
  10. Bora Jide anakula kwa jasho lake sio kicheche Wema Sepetu anaetegemea k.....m ndo Aisha mjini. Go ooooo Jide go

    ReplyDelete
  11. Jde upo juuuuuuuuuuui!

    ReplyDelete
  12. we kima wema kaiingiaje hapa bila kumtaja wema huna raha au uendi choo? kaa mbali na wema mwacheni mtotot wa watu nyamambufu wewe kila saa wema wema mpaka mtoto wa watu atapaliwa bure!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad