Ulimbukeni wa Pesa Waanza Kumchafua Young Killer..Amwanika Demu wake Kifua Wazi

Picha hizi zimezua story kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii, baada ya Demu wa Rapper anaechipukia kutoka Tz kuonekana akiwa amejimwagia pesa juu ya kifua chake huku sehemu ya chuchu upande mmoja ikiwa wazi.
Pengine ni furaha ya pesa imesababisha mpigaji picha na mpigwaji kutokuona hiyo sehemu, pia imeleta mtazamo tofauti kwa watu kuwa Rapper huyo ameshaanza kuvuta mpunga kwa sasa hivyo kama pesa zinampa mzuka wa kufanya haya, Na hii Picha ni yeye aliyompiga huyu Demu ...Young Killer Bado ni Mdogo Sana kufanya hivi Vitu ...Kama ana Manager Basi Yabidi kumuonya..Justin Bieber Alianza hivi hivi kidogo kidogo

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hawa watoto wote bado ni malimbukeni sana vijisenti vichache tu vinawasumbua.

    ReplyDelete
  2. Umaskini na ulimbukeni ndo unawasumbua,akishika million 5 tu anaona kashamaliza.

    ReplyDelete
  3. mukitaka kila mtu aoneshe utajiri wake watu mutakimbia hapa

    ReplyDelete
  4. Kutokujielewa huku kwan juz akiwa anataka kwenda chuo ana ata mia alikuwa anaomba misaada saiv kushnda tuzo nashavu la kil tour kwisha na kusahau alipotoka na bilashaka na chuo kashaacha nadhan....

    ReplyDelete
  5. Yng k huo ni uk nina dnt do it tna

    ReplyDelete
  6. Yng k huo ni uk nina dnt do it tna

    ReplyDelete
  7. Yng k huo ni uk nina dnt do it tna

    ReplyDelete
  8. Upuuzi mtupu; zikisha utamskia anaanza kulalamikia selikar kuwa wanaibiwa kumbe na kile kidogo wanachokipata badala ya kukiendeleza wanakimalizia kwenye starehe, mbona amjifunzi kutoka kwa wenzenu waliokua nazo sasa ivi wamebaki omba omba.

    ReplyDelete
  9. Young killer ndio nani jamani? Samahani lakini...

    ReplyDelete
  10. Watoto wa namna hii ndo huwa wanakua mabwabwa baadae, tusubir tu hakuna marefu yasio na ncha

    ReplyDelete
  11. Ziwa lote nje,unakenua minjino kwa hizo Tshilings,mmewasahau wabongo eeh,dakika mbili wanakusahau,

    ReplyDelete
  12. dogo anajishusha, fid q mpe somo mdogo ako , kwamba hii ndo dar... Ohooo

    ReplyDelete
  13. Huyo yung killer ana udogo gan nyie nyokoooo mwachen kjana wa watu ale maisha na mpenz wake kashavuka miaka 18 n mtu mzima kma pesa pesa zake na nyiny tafuten za kwenuuuuu

    ReplyDelete
  14. UKUMA TU HUO.NA WW UNAEMSAPOTI UNAONESHA NI JINC GAN ULIVYO NA AKILI ZA KIKUMA.MKIFILICKA MNAANZA KUPIGA KELELE.TIGO WEE.

    ReplyDelete
  15. Ukuma wako mwenyewe msenge wew maisha ya mtu yanakuhusu nini nyoko wew tena ukafir....... p..mbu zakooooo kama nyanya chungu fata yanakuhuxuu makalio wew nenda ukakalieeeee unajfundixha matuc wakat wenzio tumezaliwa nayoo peleka ukooooo usnitch wakooo

    ReplyDelete
  16. Ukuma wako mwenyewe msenge wew maisha ya mtu yanakuhusu nini nyoko wew tena ukafir....... p..mbu zakooooo kama nyanya chungu fata yanakuhuxuu makalio wew nenda ukakalieeeee unajfundixha matuc wakat wenzio tumezaliwa nayoo peleka ukooooo usnitch wakooo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad