Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa yuko Bongo kwa kuwa ndipo nyumbani kwao lakini hana hamu ya kuendelea kuishi nchini kutokana na kuzushiwa mambo kila kukicha.
Akizungumza na Risasi Mchanganyiko wikiendi iliyopita, mwigizaji huyo alisema anapenda awe na maisha ya furaha na wanawake wenziye kwa kubadilishana mawazo ya hapa na pale lakini kwa sasa hana upendo huo kwa kuwa kuna watu wanaishi kwa kutegemea bifu.
“Unajua inauma sana, unaenda klabu unamkuta mtu ambaye huko nyuma alikuwa shoga’ko, kula, kuvaa na kila aina ya ushirikiano mnapeana, sasa mnakuja kugombana, kiukweli roho huwa inauma ndiyo maana nashindwa hata kwenda klabu kuepusha mengi, nasubiria viza yangu itoke nisepe zangu China,” alisema Kajala.
Kwa muda mrefu kumekuwa na ugomvi usiokwisha kati ya Kajala na mwigizaji mwenzake, Wema Sepetu.
Umeipata Hii ? Kajala Kakimbia Nchini…Chanzo ni Bifu Kati Yake na Wema Sepetu
28
June 25, 2014
Tags
kwani utakaa china milele kay? na nilazima uende club? muda wa kwenda club c umsimamie mwanao afanye home work
ReplyDeletewadada wabongo mnashida sana yan nikimbie nchi yangu sbb ya mtu duuuuu kwel kazi unayo au unatishia watu wasiyo kwenda nje ya nchi tu eti viza nayo viza ya china inaugumu ok poa
ReplyDeleteAna yake yanayompeleka china bhana,kwa nini usingeenda mwanza badala ya china?umnyime haki mwanao kisa kukimbia mtu?yeye ndo kakuzaa, ama?ujinga mtupu.
ReplyDeletekumbuka m2 kwao mama na mkataa kwao m2mwa!! kuna jambo uko china c bure.....xx umexhajifunza kichina au ndo utajifunza uko uko?
ReplyDeleteHaya xafar njma!!!
kwan c urud kwenu mwnza? au mwanz hamna club? au ucpoenda uko club utakufa jaman? Ujinga m2pu!!
ReplyDeleteJaribu kubadilika wewe ni mmama sasa sio msichana tena unasubiri uzee tu hapo. Ule mda wa kwenda club utumie kusoma biblia. Sio kwenda china
ReplyDeleteWe kajala akili mgando kweli wewe,sema basi hata ukifia china uzukiwe hukohuko.Kubwa jinga
ReplyDeleteKajala hakikisha ukikimbia unakimbia na mwanao...sio unamtelekeza mtoto kwa ujinga wako! Fadhila za Wema zinakutia uchizi wewe.lol
ReplyDeletehata lolote, kwani aende china kaomba uraia wa china? au ndo jeuri ya clement, ukakae china umnambuli labda ukajiuze kama wenzio wanajiuza mpaka wanataka serikali iwasaidie warudi kwao tz
ReplyDeletehuyu kuku kajala anaumia kuona wema anakua na mashabiiki miaa kidogoo yy hamna tena anaumia kumwona anakua na wengne mana alizoea kumsaga na kumla mate ovyooo wema wetu sasa nooooooooo kafie chinaa kwan lazima uendelea kumtomba wema wewe unamlilia hasa nini si ukasage wengne yy hataki tena nini lkn kajala unakua kuma hivyooo
ReplyDeleteMbavu zanguuuuuuuuuuu!mpaka machozi yametoka
Deleteanonymous 2.15 matusi ya nini sasa?na usidhani kuwa umemdhalilisha kajala tu bali na wema umemtukana sana, asante umetujuza kumbe na wema mchafu wa kusagana,tunajuaga akiwa na rafiki ni wa kawaida kumbe ndio hivyo?hatumpi watoto wetu kucheza nao filamu tena,atawafundisha uchafu bure.
ReplyDeleteteam wema mmejitahidi kushambulia.kajala
ReplyDeleteAnonymous 2.36 umekomesha, na kweli sikuwahi kusikia kama wema anasaga,nimejua leo.
ReplyDeleteUnahama nchi kısa binadamu mwenzio mama? Polee sana ningekuwa mimi ningefanya yangu pita juu nipite chini tusikutane, wakukimbia nchi ingekuwa flora mbasha au viki kamata itakuwa wewe
ReplyDeleteww mzuri mapaja hayo na kiuno uwiii
ReplyDeleteAnonymous 2:15 asante kutujulisha kama wema ni msagaji tukimuona tumkimbiye ndio mana sura limekuwa baya
ReplyDeleteTulia mwangalie mwanao wema nani! Aneyekufanya ishindwe kunywa maji mdada mzuri unajiaibisha2. Sasa mda wakufanya yko co kumwangalia mtu anakusema au laa
ReplyDeletekumaaabaakoo wema analiliwa na wasagaji na hataki kajala anamlilia mpaka anahama nchi kuma kweli mamaae zenu wakusaga ni wema tena akome huyo kajala kumsumbua wema ni wa chibu sio wa kumsumbua tena komen nyinyi mnaosema wema msagaji anataftwa na huyo kajala amsage na hataki ndo mana mama zima linashindwa kulea mtoto wake linamlilia wema eti linaumia lione limekomaa mpakaa..na mtakoma wema hana habari na ninyi na analia si amsage mwanae si ana kuma pia. huyo paula funk ngoja ajipitishe kwa wasagaji nae wamsage mana mama yake anasaga watoto wa watu mpaka anachanganyikiwa
ReplyDeletekajala wewe ni mzuri,mimi machozi yako ndio yananimaliza kabisa
ReplyDeleteKajala fanyayako waseme mpk wajambe wahareee mwendo Mdundo,ishi maishayako nausiwe namashoga tena.uwe na limit ktk marafiki.heshimu babayako na mama yako,muombe mungu Leah mwanao achana na team zakipumbavu flash them chooni.be yr self nausijali nani kakutukana jua binadamu hatuna wema na hakuna mkamilifu samehe potezea
ReplyDeleteAtoke zake na roho mbaya yake mimi nilimshusha tu alivyoenda kws penny na wolper mbaya sana mtu wa aina hiyo anaweza hata kukuuwa wema kaa mbali sana na kajala yeye wa kumtete wema kisa laki mbili loooo
ReplyDeleteKajala huwezi kununua historia ya mtu wala kuhamishia makumbusho ya bagamoyo yaende Kigoma, umeona mwenzzio Wema anavyopendwa licha ya kuandikwa2 hovyo, wewe ni mmama mwenzetu tulia lea mtoto huko club usiende nenda hata Malaika band, king kiki huko club utakuja kukutana na Paula bure! Hlf unamwaibisha Paula na hizo tabia zako, wewe ni mkubwa sn kwa huyo Wema jishushe maisha yaende, sasa huko China Wema akisema nae anahamia huko utahamia Uganda? Upekepeke wako umekuponza hukuona wanaume wengine kweli jmn, ujana una mwisho K tulikumis sn kipindi upo jela uje kutupa burudani ya Filamu kibao, sasa hizi ndio filamu ulizoahidi? Au unaenda kuzitolea China! Kaa chini utazame ni wapi umejikwaa then endelea kupiga kazi, bado tunapenda kazi zako na malumbano hayana mshindi mama labda kama unataka kufahamika
ReplyDeletekajala malaya sna mma wa miaka.zaid 30. inawaza kwenda club ama kweli ulistaili kuishi segerea we malaya maan.tumeisha.kuchoka eti club na mwanao ataenda wapi. na china unaenda kuziuza ndo zenu mademu wa bongo.kuma la.mam yako kajala
ReplyDeleteEt mtu uliekua unacheka nae, mnaenda nae out na utakumbuka sana meng na kukosa raha hyo dhambi inakutafuta ya kumfanyia mwenzako vbaya lol,
ReplyDeletehuyo malaya mchafu mwache akasage kuma yake huko......umalaya uashamnogea!!!
ReplyDeletesasa ulipoenda kupiga picha na pen na huyo msagaji wolper ulipata nini au kwa kua tabia zetu zinafanana kuuza mwili
ReplyDeleteKafanye biashara na ulipe ile hela.....
ReplyDelete