Stori za mastaa wetu wa Tanzania kila kukicha kunakuwa na vitu vipya ambavyo vinajitokeza mara kwa mara,kupitia You heard ya June 16 Soudy Brown ameamplify taarifa ambazo inasemekana Samir wa Kinyuli nyuli alihitaji kuwatumia wacheza show(dancers) wa Shilole na baada ya kuelewana Shilole aliombwa kutumiwa Laki 2 ili awalipe hao wacheza show.
Sasa ishu imekuja baada ya Shilole kupewa zile pesa hakufanikiwa kuwapeleka wale dancers na kitu kinachozungumziwa na Samir na kuhusu pesa aliyopewa anahitaji kurudishiwa maana video waliyotaka kuifanya tayari imekwishafanyika.
njaa mbaya,sasa laki mbili nayo ni hela ya kumtapeli mtu kujishushia hadhi kiasi hiki, kweli unakomaa na jiji hurudi ugunga
ReplyDeletelaki 2 ndo hela gani?sawasawa alivyoichukua..dancers ni laki 2!pumbavu
ReplyDeleteDu, itamsaidi kulipia kodi ya chumba Mbagalala.
ReplyDeletekazi ipo mwaka uyu shilole njaa inamsumbua sana eti na yeye ni supa star hahahah majanga
ReplyDeleteHiyo ndio shida ya kuwa na hela uzeeni!!! just laki mbili unaingia mitini? hiyo kwangu ni hela ndogo sana ni ya kufanyia shopping ya nguo za ndani yaani namaanisha CHUPI kweli shilole njaa itakupeleka pabaya mai dia
ReplyDeleteIla tuseme ukwel shilole mziki wake haujakubalika kiivo ila yy show off zimemzid wajiona mastaa na baby wake kumbe kawaida sana, tulien fanyej kaz coz wote wanamuzik mtafanikiwa
ReplyDelete