Umeipata Hii ya Shilole Kutapeli Hela ya Samir wa Kinyulinyuli? Kisa ni Hiki.

Stori za mastaa wetu wa Tanzania kila kukicha kunakuwa na vitu vipya ambavyo vinajitokeza mara kwa mara,kupitia You heard ya June 16 Soudy Brown ameamplify taarifa ambazo inasemekana Samir wa Kinyuli nyuli alihitaji kuwatumia wacheza show(dancers) wa Shilole na baada ya kuelewana Shilole aliombwa kutumiwa Laki 2 ili awalipe hao wacheza show.

Sasa ishu imekuja baada ya Shilole kupewa zile pesa hakufanikiwa kuwapeleka wale dancers na kitu kinachozungumziwa na Samir na kuhusu pesa aliyopewa anahitaji kurudishiwa maana video waliyotaka kuifanya tayari imekwishafanyika.

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. njaa mbaya,sasa laki mbili nayo ni hela ya kumtapeli mtu kujishushia hadhi kiasi hiki, kweli unakomaa na jiji hurudi ugunga

    ReplyDelete
  2. laki 2 ndo hela gani?sawasawa alivyoichukua..dancers ni laki 2!pumbavu

    ReplyDelete
  3. Du, itamsaidi kulipia kodi ya chumba Mbagalala.

    ReplyDelete
  4. kazi ipo mwaka uyu shilole njaa inamsumbua sana eti na yeye ni supa star hahahah majanga

    ReplyDelete
  5. Hiyo ndio shida ya kuwa na hela uzeeni!!! just laki mbili unaingia mitini? hiyo kwangu ni hela ndogo sana ni ya kufanyia shopping ya nguo za ndani yaani namaanisha CHUPI kweli shilole njaa itakupeleka pabaya mai dia

    ReplyDelete
  6. Ila tuseme ukwel shilole mziki wake haujakubalika kiivo ila yy show off zimemzid wajiona mastaa na baby wake kumbe kawaida sana, tulien fanyej kaz coz wote wanamuzik mtafanikiwa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad