Ni longtime kidogo ulikua hujamsikia Nakaaya na hii ni kwa sababu alikua na break ya uzazi akiwa ndio amejifungua mtoto wake wa kwanza nyumbani kwao Arusha.
Mwimbaji huyu ambae ujazo wa jina lake uliongezeka baada ya kutoa ile single ya ‘Mr. Politician’ sasa hivi anamiliki mawimbi na single yake mpya inaitwa ‘blessing’ aliyoifanya Noizmekah Arusha.
Nakaaya ameamua kuifanya hii single mpya kama dedication kwa mtoto huyu aitwae Kai kuonyesha ni jinsi gani amemgusa moyoni, vilevile kumpa ahadi ambayo ni mama pekee anaiweza.
m.mungu akukuzie mwanao.ampe makuzi yenye kheri ya shari amuondolee......AAMIIN..........waache wale malaya wanaosema wao hawajaona wanaume wa kuwazalisha..(mrs aidindi)..........jizalie mwaya ....
ReplyDeletehongera sana atakufaa kesho huyo sio hao wanaojiona bado bado wapo until death kazi kutumbukiza chooni sijui na mama zao wangefanya wanavyofanya wangepatikana wapi
ReplyDeletenakaya wewe ni mwanamke mwenye akili,mungu akupe mwanga zaidi mlee mwanao vizuri na molaa atambariki sana
ReplyDeleteBaba. Ni Nani? MANAKE umevurugwa mmmmh!!' au Ni Wa Peter?
ReplyDeleteHayakuhusu! Chunguza maisha yako cyo ya wenzio.
DeleteKamvuruga nababa ako pia ndiomana ukaropoka.hongera nakaaya.mungu akukuzie.uwe mama bora.umefanya lamaana sana
ReplyDeleteHongera sana dada yetu Mungu akujalie afya tele uweze kumlea mwanao
ReplyDeleteSo cute! Hongera ma dia! Kila la heri.
ReplyDelete