Unakumbuka Mauaji ya Erasto Msuya? Mahakama Yaelezwa A-Z Jinsi Alivyouwawa Kwa Kutumia Bunduki ya SMG

Moshi. Bunduki ya kivita aina ya Sub Machine Gun (SMG) iliyotumika kumuua mfanyabiashara tajiri wa Mirerani, Erasto Msuya, ilinunuliwa kwa Sh4 milioni nchini Kenya, Mahakama imeelezwa.

Imeelezwa pia kwamba wauaji wanne waliokwenda eneo la tukio kutekeleza mauaji hayo, walilipwa Sh5 milioni kila mmoja na washirika wao wakilipwa Sh3 milioni kila mmoja.

Hayo yamo katika maelezo ya mashahidi 57 kwa washtakiwa yalisomwa mbele ya Hakimu Mkazi wa Mkoa Kilimanjaro, Munga Sabuni juzi na mawakili wa Serikali, Stella Majaliwa na Florentina Sumari waliokuwa wakipokezana kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi saa 11:00 jioni.

Msuya aliyekuwa anamiliki vitega uchumi kadhaa, aliuawa kwa kumiminiwa risasi Agosti 7, mwaka jana saa 6:30 mchana Mijohoroni wilayani Hai, Kilimanjaro na katika maelezo yake, mtaalamu aliyeufanyia uchunguzi mwili wa marehemu, Dk Paulo Christopher alisema ulikuwa na matundu 26 ya risasi yaliyotokana na risasi 13 zilizoingia na kutokea upande wa pili zikichanachana utumbo, mapafu, ubongo na bandama.

Ushahidi huo unadai kuwa katika eneo la tukio, polisi waliokota maganda 22 ya risasi za SMG.

Mtaalamu wa makosa ya kijinai ya kompyuta, Koplo William Obeid alieleza kuwa katika kufanikisha mauaji hayo, laini mpya tano za Airtel zilisajiliwa kienyeji, zote zikiwa na jina la Motiti Ndoole na laini iliyotumika kumvuta marehemu eneo la tukio ilikuwa 0682405323.

Katika ushahidi huo, Inspekta Samwel Maimu alidai kuwa washtakiwa walikiri kosa na kueleza kuwa bunduki aina ya SMG ilinunuliwa Namanga, upande wa Kenya. Inspekta Maimu alidai kuwa mshtakiwa wa kwanza, Shariff Mohamed ndiye aliyetoa Sh4 milioni za kununua silaha hiyo na kutoa fedha za kusajili line mpya tano za simu.

Pia alidai kuwa mshtakiwa huyo, ndiye aliyetoa Sh3,350,000 zilizotumika kununulia pikipiki mbili moja aina ya Toyo na nyingine King Lion zilizotumiwa na wauaji siku ya tukio.

Katika maelezo hayo yaliyosomwa mahakamani, mshtakiwa wa kwanza (Shariff), anadaiwa kueleza namna alivyotoa maagizo ya kusajiliwa kwa line mpya.

Mshtakiwa huyo anadaiwa kueleza kuwa mshtakiwa wa saba, Ally Mussa ndiye aliyemshauri atoe jiwe moja la Tanzanite litakalotumika kumshawishi marehemu Msuya. Katika maelezo hayo, ilidaiwa kuwa ndiye aliyelipa Sh4 milioni za kununua bunduki hiyo ya SMG na kwamba siku ya tukio aliibeba kwa gari lake hadi eneo la tukio na kuwakabidhi wauaji.

Katika ushahidi huo, mshtakiwa wa tano, Karim Kihundwa anadaiwa kueleza kuwa yeye ndiye aliyemmiminia risasi marehemu ambazo hajui idadi yake na kwamba bunduki hiyo aina ya SMG waliinunua Namanga na ilihifadhiwa nyumbani kwa Shariff sambamba na pikipiki zilizotumika.

Katika maelezo yake, mshtakiwa wa saba, Ally Mussa au Majeshi anadaiwa kueleza kuwa ndiye aliyepewa kipande cha madini na kwenda kumuuzia marehemu hotelini kwake SG Resort siku moja kabla ya mauaji.
Mshtakiwa huyo anadaiwa kukikiri kuwa siku hiyo alikwenda na vipande vitatu vya madini lakini akakataa kuuza vipande viwili akisema yuko na wenzake na kukubaliana kufanya biashara siku inayofuata na kwamba siku ya mauaji, yeye ndiye aliyemtumia ujumbe wa maandishi ya simu marehemu na kukutana naye na kwenda naye hadi eneo la mauaji.

Katika maelezo yake shahidi huyo anadaiwa kusema: “Tulipofika Mjohoroni, Erasto alishuka ili kukutana na Karimu, mimi nikabaki kwenye gari, ndipo Karim akatoa bunduki na kuanza kummiminia risasi Erasto.”

Alidai kuwa baada ya mauaji hayo, alipakia pikipiki aina ya Toyo iliyokuwa ikiendeshwa na Karimu aliyekuwa na bunduki hiyo ya SMG.

Mshtakiwa wa pili, Shaibu Jumanne maarufu kama Mredii, anadaiwa kueleza kuwa Julai 26 mwaka jana, Shariff alimfuata na kumweleza kuwa kuna kazi ya kumuua Erasto.

“Nilimweleza siwezi kuifanya ila nitamtafutia vijana wa kufanya. Alinipa Sh300,000 na kunijazia mafuta ‘full tank’ niende kuwatafuta Ally Majeshi na Jalila,” ushahidi huo umedai.

Kesi hiyo, imehamishiwa Mahakama Kuu ya Tanzania na inasubiri kupangiwa Jaji.

Tags

Post a Comment

48 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ahsante tulilia namkiwaachia hawa mtatujua wapare ninani mmezoea.mnashitaki watu badae mnawaachia sasa waachieni nahawa malipo mtayaona tushachoka.

    ReplyDelete
  2. Ukiua kwa upanga utauwawa kwa upanga malipo ni hapa hapa!!!

    ReplyDelete
  3. dah!kwanini jamani pesa inatuondolea utu kiasi hiki?

    ReplyDelete
  4. duh! yn mijitu mngne bhana utafikiri miisrael mitoa roho! badala ya kutafuta hela kama marehemu alivyojituma kutafuta wao wamekalia kuua wenzao.

    ReplyDelete
  5. Msikoment msiyoyajua! we unajua kwa nini Shariff katoa milioni Nne kununua Bunduki, Milioni Tatu na Nusu kununua Pikipiki, Milioni Ishirini kulipa vijana wanne waliokuwa eneo la tukio, Na Milioni tatu kwa ambao hawakuwepo, Katoa Madini yake Yenyethamani ya zaidi ya shilingi milioni mia(hapo bado haijasemwa endeleeni kuvuta subira yataongelewa) na akauziwa kwa hela ndogo ili kumvuta. Unadhani ni Ujambazi? kwanini hao vijana maagizo waliyopewa ni KUUA? Waza kabla hujaropoka mambo yako ya mpare sijui mtafutaji sijui nini!! that is some deep shit situation right there!! Waist Deep.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ila kweli hapa kuna namna usikute uyo marehemu kadhulumiana na shariff ndio maana achukua hatua ile. Ila pia ni dhambi kuchukua uhai wa mwenzio hata uwe na chuki kiasi gani. Sisi yetu maskio bado tunasikilizia kesi itakavyoendelea.

      Delete
    2. Yaani huyo shariff wakimuachia tutammaliza taratibu kwa mateso.hata miaka kumi nandio aage dunia.hatakama ni dhuluma.unatakiwa upambane kiume sio kuua.maadam kaua nae atauliwa mtake msitake.tunasubiri tu wamuachie muoneshoo.

      Delete
  6. Anonymous 2.09 wewe pia muuaji ila hujashikwa tu.

    ReplyDelete
  7. Huyo baba ukifika arusha ukiulizia historia yake utasema nawewe ungekuwepo ungeongezea japo jiwe moja kumsindikiza ili afe vizuri

    ReplyDelete
  8. Duhh, me nafuatilia, bado, Nataka tu, nijue sababu, ya kifo, Shariff Mpaka kuamua kumuuwa msuya ndo sababu, Nnayo itaka haswa

    ReplyDelete
  9. Yeye aliyelala amelisha mamia ya watanzania. Jiulize ww unamchango gani kwa watanzania wenzako. Hao walioachiwa watakimbia na dunia kama kaini hadi wataota pembe. Dhambi hiyo itawatafuna na familia zao. Nao waliotoa dhamana ya kuwatoa watakunywa kikombe hichohicho.

    ReplyDelete
  10. Wapo waliotoa hiyo null prosecution kuachia wauaji kwa kufurahia michuzi nao ipo siku watalala kama huyo aliyelala. Uliona wapi mtu akashitakiwa kwa kesi ya kuua watu wawili kwa kipindi cha miezi miwili (july na august) kisha kutolewa. Huwa kesi za mauaji zinafualiwa miaka lakini yake chusa wiki mbili inatosha na director of prosecution anatoa idhini aachiwe. Sisi ni watanzania tunayaona haya na yanatuuma.

    ReplyDelete
  11. Dpp angalia jinsi ya kutumia madaraka uliyopewa na serikali. Hizo null prosecution utoaji wake hasa kwa Chusa unatia mashaka. Au unandugu yako kwenye huo mgodi?

    ReplyDelete
  12. Waaaaaai watu wamepikwa wakapikika kichawi mtawaweza?

    ReplyDelete
  13. Chusa, Kaburu na ridhiwani kuleni sikukuu.

    ReplyDelete
  14. Damu ya Erasto haitamwagika bure hata wachawi watasaluti tu.

    ReplyDelete
  15. Erasto lala salama umetutendea mema mengi mno hata mungu anajua ila kwa binadamu baya moja linafunika mema 100000. Wewe ulikuwa mchapakazi hata matajiri wenzako wanalijua hilo. Ww ni mfano wa kuigwa katika jamii ya watanzania.

    ReplyDelete
  16. Erasto ulijitoa kwa wema na wabaya. Wema wako umekuponza. Wapo matajiri waliodharau maskini, yatima, wajane na wasiojiweza. Wewe umewalisha, ukawavisha, ukawasomesha na kuwaheshimu. Naamini wema uliotenda utaambatana nawe. Natamani hiyo siku ifike ili dunia ijue ukweli wa mauti yako. Lala kwa amani.

    ReplyDelete
  17. Amekufa kafiri hapo anakula kichapo tu,uzidi kuchomeka - rest in hell erasto

    ReplyDelete
  18. Tena naskia huyo nguruwe Erasto alitaka kumuua sharif naona akawahiwa,Safi sana mradi ni lijikafiri wala hakuna kusikitika...big up sharif.

    ReplyDelete
  19. Hapo hakuna cha r.I.p ni r.I.h

    ReplyDelete
  20. Hamjielewi nyie nguruwe mnaoingiza dini apa pole kwa ufupi WA akili zenu

    ReplyDelete
  21. Hapa BOKO HARAM washaingilia kati mjadala! napita!

    ReplyDelete
  22. umeonaeee, BOKO HARAM walivyojiingiza

    ReplyDelete
  23. Kwa wale waliokua mahakamani juzi wamesikia wazi maelezo ya sharifu kuwa chusa alimshawishi mara tatu ili amuue Erasto kwa kile alichodai kuwa ataozea rumade kwa kuwa erasto ameshinikiza awekwe rumande baada ya chusa kumuua rafiki wa Erasto.

    ReplyDelete
  24. Chusa alishitakiwa kwa kumuua Willy kwa kumpiga risasi na akawekwa rumande akisubiri kesi. Cha kushangaza ni jinsi director of prosecution alivyomtoa kwa muda mfupi kwa null prosecution. Jitihada za Erasto kutetea damu ya rafiki yake ilimrudisha chusa rumande. Chusa ameelezewa kumshawishi sharifu amuue Erasto ili yy atoke rumande. Sasa jiulize kwa nini Chusa alitoka rumande mara baada ya Erasto kufa. Alivyotajwa na wauwaji wenzake akatolewa tena.

    ReplyDelete
  25. Kilochomrudisha rumande ni nini na kilichomtoa mudafupi baada ya Msuya kufa ninini? Uliza DPP anamajibu

    ReplyDelete
  26. Ikiwa Chusa alimshawishi Sharifu kumuua Erasto na akiwa chini ya ulinzi rumande jiulizeeeeee watanzania tutalindwa na nani. Ni aibu kubwa mnooooo na fedheha kwa nchi. Nimefuatilia crime investigation nyingi na ushahidi wa watumiwa wenza watatu unatosha kumtia hayianimtu lakini kwa Chusa hautoshipaka Erasto afufuke ili atoe ushahidi. Sasa kwa hili hii ikiwa Erasto ni boko haramu hao walioshitakiwa kuua watu wawili ndani ya miezi miwili nao ni nani, na waliowaachia ni nani. Katika historia ya tanzania Erasto alimuua au kumjeruhi nani?

    ReplyDelete
  27. Mahakama kuu itatuambia boko haramu ni nani kati ya wauaji na Erasto.

    ReplyDelete
  28. Ila dunia ni mbaya mno watu walioshiriki kumuua Msuya wengine waliwahi hata kwenda kuposa na wengine kula na kunywa. Pesa ni mbaya mno kwa vipande 30 yuda alimsaliti yesu. Sharifu ww ni baba mwenyenyumba wa mdogo wa marehemu, kweli unampita na kuchukua kodi kisha kumuua ndugu yake? Huyo ndiye bokoharamu wa kweli.

    ReplyDelete
  29. Sharifu anatolewa anabanjuliwa.wezire anarudiswa. Amekonda kama ng'ombe mwenye andrax! Erasto anaweza kupanga kumuua sharifu kweli? Mbona ni kifo na usingizi! Sharifu alokushauri ufanye huo ujinga amekalia akili yake na ameijambia! Si mwingine ni chusa. Sasa subiria utakavyonyongwa mpaka uharishe dam! Mamaoooo! R.I.P sharifu

    ReplyDelete
  30. Mahakamani eti sharifu kila siku anaomba watu wasachiwe wasiingie na silaha anaogopa atapigwa risasi! Sasa uko magereza unaogopa je ukiwa uraiani. Shetani mkubwa unafunga unaua! Kuzim watakunya mshikaki! Na ulivyo na elimu ya machokoni ulijua upumbu mwenzio anaokushauri ukifanya utauziwa mawe! Sasa utatoka nyoro. Mkeo kashapata msukuma zege anasuguliwa. Anakuja mahamahakamani kukuenjoy kama fala.

    ReplyDelete
  31. Tunafahamu fika kuwa mgodi wa Chusa unafadiliwa ma watoto wa vigogo wa nchi na ndio wanamkingia kifua. Ndio maana anatamba hadharani kuwa anakula jikoni. Tunaomba wahusika waangalie swala hili upya ilitanzania mwenzetu atendewe haki alikolala. Ila maswali yanabaki, kwa nini mtu mmoja (DPP) apewe dhana kubwa hivi? Hii inatoa mwanya wa maovu haya tunayoyaona kwa macho. Vyombo vya habari tunaamini mnanguvu ya kutosha kusaidia watanzania kufichua uovu huu unaoleta laana nchini.

    ReplyDelete
  32. Lakini jamani sharifu na erasto wapi na wapi? Hizi tamaa ni mbaya sana. Mererani yetu nani, asiyemjua sharifu tangu utoto . Mwizi wa kuku na malapa msikitini jamani huyu mtu anaingia je kwa erasto? Mtu aliyeanza kuwa na mgodi mwaka 2011 huyu si kkinuka mkojo wa juzi. Si bora zingekufa sharifu 10 akabaki erasro mtu aliyekua anasaidia kila mtu.

    ReplyDelete
  33. Anyongweeee hadi anye mavi makubwa kama mkono! Ili ajue serikali sio ya mama ake

    ReplyDelete
  34. Anyongweeeeee hadi ajisaidie

    ReplyDelete
  35. Kweli watu ni wa ajabu, ndani yafungo wa ramadhani mnwaga damu tena ya mtu aliyadiriki hata kujitoa kujenga msikiti. Ama kweli mlifunga vilivyo.

    ReplyDelete
  36. Anyongwe mpaka aharishe. Sharifu jini

    ReplyDelete
  37. Kabla hajanyongwa tunataka kujua Chusa katokaje ili amani iwepo. Mtu huyu ni mbaya kuliko jini makata.

    ReplyDelete
  38. Clouds fm mnafaa sana kazi mliyoianza msiache hadi DPP atueleze Chusa katokaje. Mnafaa sana nyie. Big up.

    ReplyDelete
  39. Ikiwa wanahabari wa tanzania mtakosa majibu, CNN, BBC na Al jazeera watapata majibu.

    ReplyDelete
  40. Mhh kwenye historia ya dunia sijawahi sikia mtu anaua watu wawili na kuachiwa kipumbavu hivi. Aliyekufa ni mtu mwenye thamani kubwa sio mbwa huyo.

    ReplyDelete
  41. Mredii kweli ww unakula chakula kila siku kwa mdogo wa marehemu lakini laki tatu na full tank ya mafuta ukamsaliti duuuuuu. Waliosema adui ni mtu wa karibu yako hawakukosea.

    ReplyDelete
  42. nyie wasenge mnaomsapoti chusa,na sharif tutaonaa hatakama nimkubwa anambeba hawezikumfikisha mbinguni mamaaae lazima kitaeleweka tu mlizoea kuua kisenge tu kwakujuana bsai safari hii mtashaa.watu tunahasira naimetuuma mlivyomuua kinyama erasto.lazima kigeuke tu.dpp nae mungu siwako walikuwepo madpp zaidi ya wewe wakowapi?hatanawe utapita tu natutakusahau.tunataka haki kubebana kwenu tumekuchoka.mmezidi

    ReplyDelete
  43. wote wanyongwe

    ReplyDelete
  44. Naona watu mapovu yanawatoka,sasa sijui ndo huyo marehemu atafufuka,kama imewauma sana na nyie jiueni mkamsaidie na kibano,hakuna kumsikitikia kafiri.

    ReplyDelete
  45. We fala tu umevundikwa na makombee umekuwa zoba km joka lililofugwa kwa magessa shenz wewe hapo juu.umetumwa namakhafiri wenzio senge wewe

    ReplyDelete
  46. Nakumbuka jinsi Tundu Lisu alivyopiga kelele ITV kuhusu DPP kupewa madaraka makubwa mno ila hatukuelewa. Lisu una akili kubwa mno ndo maana uko bungeni. Nadhani huyo DPP wamempa hayo madaraka ili kufeva wakubwa. Ila kwa hili la Erasto Msuya dunia itajua uozo uliopo Tanzania.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad