Usibadilike Temporarily Kwa Sababu Unataka Uonekane Wife/Husband Material ili Umu Impress Mtu

Usibadilike TEMPORARILY kwa sababu unataka uonekane Wife/Husband Material ili umu-impress mtu halafu mkifika ndani unarudia rangi-rangi zako zilezile ambazo ndio NATURAL YOU
Muache akupende kwa Ulevi wako,Kwa Umbea wako,Kwa Kutoa kwako udenda ukilala,Kwa kuwa mchafu na kutofua Boxer,Kwa kunuka kikwapa cha njano,Kwa Umaharage ya Mbeya wako,Kwa sababu kama akikupenda KAMA ULIVYO LEO hata mkiingia ndani ATAKUPENDA TU kwa sababu alijua aina ya mtu anayeingia naye ndoani na ameshajipanga kisaikolojia kuvumilia harufu ha Boxer zako...Ukimuimpress kwamba hunywi kwa miezi mi3 akakuoa halafu HAMAD anakuta chupa za Ndovu stoo PATACHIMBIKA
Zimwi likujualo halikuli likakwisha,Muonyeshe rangi zako halisi akupende kwa Uhalisi wako lasivyo utaolewa leo SAWA na bajeti ya milioni 96 lakini Jiandae kuwa mjane baada ya Miezi 6 kwa karatasi ya Talaka ya Sh 50 Steshenari.
BE YOURSELF.
By Seth
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. uctulazimishe kubadilika wkt kuna usemi usemao tabia ya mtu haijifichi

    ReplyDelete
  2. Mdau hujaelewa mada isome tena

    ReplyDelete
  3. hahahaa kuna mtu kapanic wakati hajaelewa mada...i love this...wabongo very poor kwenye reading and understanding....pole sana..SOMA TENA BROTHER...niliandika hii nikiwa na akili...na ww soma ukiwa na akili...Wasalaam...SETH GIOVANNI(Author)

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hajaelewa mada wp ww?? Kati ya mada hii nayo unaiita mada,,, upuzi mtupu.. unang'ang'ania tu oooh Boxer hazifuliwi,, mara Boxer zinaharufu... c bure unamsema bwanaako hapa...

      Delete
  4. Soma ukiwa umetulia. Sio uko juujuu km kapu la sadaka

    ReplyDelete
  5. Soma tena baba hujaelewa

    ReplyDelete
  6. jamani hapo c ndo mficha makucha akiwekwa ndani anayakunjua ama cvyo?

    ReplyDelete
  7. Giovanni mwalimu aliyekufundisha inaonekana alipata sana tabu kichwa chako kigumu kaka una ubongo wa mende(najubaby)

    ReplyDelete
  8. mbona mimi cpo ivo, cna tabia izo ulizoorodhesha hapo juu.... We giovanni umetumwa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad